Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 16,480
- 38,367
Wakuu baada ya kufatilia maojiano ya The Chanzo na mwanzilishi wa Jf kuhusu kufungiwa kwa huu mtandao nikabaki na maswali mengi! Moja ya sababu iliyotajwa na TCRA ni kuhusishwa kwa RA na ununuzi wa mgodi wa makaa ya mawe!
Sasa kama ikiwa ni kweli au si kweli kwanini huyo jamaa asijitetee mwenyewe? Mbona alipoitwa fisadi papa na Mengi miaka ile IPP haikufungiwa!? Kipi hasa kimetokea kwenye hizi tuhuma za sasa?
Hii inakuja baada ya kukamatwa kwa Tundu Lissu na baadaye kupewa kesi ya uhaini ni baada ya kuongelea habari ya mgodi wa makaa ya mawe!
Sasa kwanini nguvu ni kubwa hivi kuzima sauti za wananchi, inawezekana kweli huu ulaji wa makaa ya mawe ukawa unaishia kwa RA peke yake au kuna namna nyingine?