Na huyo ndiye mfadhili mkuu wa roho tour, na hatimaye sasa hv serikali yote iko mfukoni mwake!!.
Hata baraza la mawaziri lijalo, ataamua yeye nani akae wapi na kwann...huyu mama ye atatusomea majina tuu!.
Bila shaka kuna mengi makuwa. Fikiria tu hata hii kasi ya utekaji wa watanzania wenzetu na kuwapoteza inakoneksheni kubwa na haya mautetezi ya RA, kuvamiwa JF na kutiishiwa kupotezwa mkurugenz wa jf. Kwa ufupi kunakundi hatari linalofanya kazi kwa maslahi ya kundi fulaniWakuu baada ya kufatilia maojiano ya The Chanzo na mwanzilishi wa Jf kuhusu kufungiwa kwa huu mtandao nikabaki na maswali mengi! Moja ya sababu iliyotajwa na TCRA ni kuhusishwa kwa RA na ununuzi wa mgodi wa makaa ya mawe!
Sasa kama ikiwa ni kweli au si kweli kwanini huyo jamaa asijitetee mwenyewe? Mbona alipoitwa fisadi papa na Mengi miaka ile IPP haikufungiwa!? Kipi hasa kimetokea kwenye hizi tuhuma za sasa?
Hii inakuja baada ya kukamatwa kwa Tundu Lissu na baadaye kupewa kesi ya uhaini ni baada ya kuongelea habari ya mgodi wa makaa ya mawe!
Sasa kwanini nguvu ni kubwa hivi kuzima sauti za wananchi, inawezekana kweli huu ulaji wa makaa ya mawe ukawa unaishia kwa RA peke yake au kuna namna nyingine?
Kwa maelezo ya hapo juu, mfumo ni RostamHakuna Single individual ni Mkubwa kuliko Mfumo.
Mbona alipoitwa fisadi papa na Mengi miaka ile IPP haikufungiwa!
JF chap chap imewajibishwa kwa kuposti habari wasizotaka.Wakuu baada ya kufatilia maojiano ya The Chanzo na mwanzilishi wa Jf kuhusu kufungiwa kwa huu mtandao nikabaki na maswali mengi! Moja ya sababu iliyotajwa na TCRA ni kuhusishwa kwa RA na ununuzi wa mgodi wa makaa ya mawe!
Sasa kama ikiwa ni kweli au si kweli kwanini huyo jamaa asijitetee mwenyewe? Mbona alipoitwa fisadi papa na Mengi miaka ile IPP haikufungiwa!? Kipi hasa kimetokea kwenye hizi tuhuma za sasa?
Hii inakuja baada ya kukamatwa kwa Tundu Lissu na baadaye kupewa kesi ya uhaini ni baada ya kuongelea habari ya mgodi wa makaa ya mawe!
Sasa kwanini nguvu ni kubwa hivi kuzima sauti za wananchi, inawezekana kweli huu ulaji wa makaa ya mawe ukawa unaishia kwa RA peke yake au kuna namna nyingine?
MO alishajiondoa Tanzania kwa uonevu na ukandamizaji wa ccc.Rostam ndiye anayeongoza nchi nyuma ya pazia. Ndiye kiongozi wa Guptar group ta Tanzania. Behind that kuna akina GSM, Asasi na Bakhresa et al. Soon MO hana ujanja itabidi join the party.
Rostam na kundi lake kwasasa ndio wanaendesha serikali na wamepora mamlaka yote ya Serikali na CCM.Wakuu baada ya kufatilia maojiano ya The Chanzo na mwanzilishi wa Jf kuhusu kufungiwa kwa huu mtandao nikabaki na maswali mengi! Moja ya sababu iliyotajwa na TCRA ni kuhusishwa kwa RA na ununuzi wa mgodi wa makaa ya mawe!
Sasa kama ikiwa ni kweli au si kweli kwanini huyo jamaa asijitetee mwenyewe? Mbona alipoitwa fisadi papa na Mengi miaka ile IPP haikufungiwa!? Kipi hasa kimetokea kwenye hizi tuhuma za sasa?
Hii inakuja baada ya kukamatwa kwa Tundu Lissu na baadaye kupewa kesi ya uhaini ni baada ya kuongelea habari ya mgodi wa makaa ya mawe!
Sasa kwanini nguvu ni kubwa hivi kuzima sauti za wananchi, inawezekana kweli huu ulaji wa makaa ya mawe ukawa unaishia kwa RA peke yake au kuna namna nyingine?
Bi Urojo na Mkwere ni chawa wa Rostam, sasa hapo si Rostam ndiye rais wa nchi.Wakuu baada ya kufatilia maojiano ya The Chanzo na mwanzilishi wa Jf kuhusu kufungiwa kwa huu mtandao nikabaki na maswali mengi! Moja ya sababu iliyotajwa na TCRA ni kuhusishwa kwa RA na ununuzi wa mgodi wa makaa ya mawe!
Sasa kama ikiwa ni kweli au si kweli kwanini huyo jamaa asijitetee mwenyewe? Mbona alipoitwa fisadi papa na Mengi miaka ile IPP haikufungiwa!? Kipi hasa kimetokea kwenye hizi tuhuma za sasa?
Hii inakuja baada ya kukamatwa kwa Tundu Lissu na baadaye kupewa kesi ya uhaini ni baada ya kuongelea habari ya mgodi wa makaa ya mawe!
Sasa kwanini nguvu ni kubwa hivi kuzima sauti za wananchi, inawezekana kweli huu ulaji wa makaa ya mawe ukawa unaishia kwa RA peke yake au kuna namna nyingine?
Tangu nimuone Lema akimtetea Rostam kwenye sakata la makaa ya mawe nimepoteza kabisa imani na yeye, sasa hivi namuona Lema hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Bi Urojo na Mkwere ni chawa wa Rostam, sasa hapo si Rostam ndiye rais wa nchi.
Yule Muajemi ni untouchable, yaani bora umnange Samia siyo Rostam.
Naunga mkonoTangu nimuone Lema akimtetea Rostam kwenye sakata la makaa ya mawe nimepoteza kabisa imani na yeye, sasa hivi namuona Lema hana tofauti na Lucas Mwashambwa.
Yaan Lisu amebambikiziwa kesi nzito sababu ya kuongelea ufisasi wa Rostam, halafu wewe unakuja kumtetea huyo huyo Rostam tena kwenye hilo hilo sakata liliomuweka lisu ndani.
💸🤑💰Wakuu baada ya kufatilia maojiano ya The Chanzo na mwanzilishi wa Jf kuhusu kufungiwa kwa huu mtandao nikabaki na maswali mengi! Moja ya sababu iliyotajwa na TCRA ni kuhusishwa kwa RA na ununuzi wa mgodi wa makaa ya mawe!
Sasa kama ikiwa ni kweli au si kweli kwanini huyo jamaa asijitetee mwenyewe? Mbona alipoitwa fisadi papa na Mengi miaka ile IPP haikufungiwa!? Kipi hasa kimetokea kwenye hizi tuhuma za sasa?
Hii inakuja baada ya kukamatwa kwa Tundu Lissu na baadaye kupewa kesi ya uhaini ni baada ya kuongelea habari ya mgodi wa makaa ya mawe!
Sasa kwanini nguvu ni kubwa hivi kuzima sauti za wananchi, inawezekana kweli huu ulaji wa makaa ya mawe ukawa unaishia kwa RA peke yake au kuna namna nyingine?
Mbona familia yake ipo sana, unamfahamu uncle wake (Azim Dewji)?MO alishajiondoa Tanzania kwa uonevu na ukandamizaji wa ccc.
Jamaa anao mfuko mpana sanaSerikali hii iko mfukoni kwa Rostam Aziz