Fisadi Mtoto
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 639
- 79
- Thread starter
-
- #61
visa mnavyo hapa kama hamtutaki mseme maana kosa liilikuwa kuwaletea taarifa hii mapema japo ku na watu walidai hapa kuwa mimi ni muongo.hio habari haipohata kama sio yeye papa ni wapambe wake wale wa gazeti fisadi la mtanzania. Kuna mmoja kasema alikuwa katikati ya mkutano, ndio hao wamelipiwa kila kitu na mkuu wao wa kazi. Jf tuwe makini na mabishano kuna watu wanatuchota akili.
Mkuu,
Kwa sisi tunaotembelea Tanzania nzima tunajua mengi.Huko Igunga kunamaendeleo mengi sana ukilinganisha na Jimboni kwa Akina Kilango na wenzake.
- Sasa kwa nini mwokozi wako Rostam hakuenda Busanda, eti unaweza kuwalinganisha Mama Kilango na Rostam, vipi mkuu are you okay?
- Mama kilango atazitoa wapi hela kama za Rostam? Yaani na wewe unashanglia kumpokea Rostam kwa kishindo,au?
FMEs!
nilipoleta taarifa kuwa kubenea kashindwa kesi mliniambai nimetunga lakini mlipokua ni kweli hamkuniomba msamaha.sasa now unasema hapa si kweli,huu ni ukweli na ndio ilivyo,magazeti mengi hayajapata nimeongea na msaki leo hajui.mimi nimesikia hutuba nzima na aziza mbunge wa viti maalumu alikuwepo akishangila japo huwa anazunguka na Mengi kumbe anamchora,na baskeli mia tatu alizogawa tabora kapewa na mengi kwa habari ambazo sijathibitisha
Kwani kosa hasa la Rostam ni nini? Kaiba? Kama kaiba, basi kaiba nini? Kaua? Kama kaua, kaua nani? Mpaka sasa mimi sijaona kosa la mtu huyu, mchukueni wenyewe mkamhukumu kwa sheria yenu. Leteni mashitaka halali kama mnataka hukumu. Kila siku RA, RA, RA, he, hakuna mambo ya kitaifa ya kufanya zaidi ya kuandika RA na Mengi? Mengi kataja mafisadi papa, mambo yapo mahakamani, mengine ya RA yapo PCCB, sisi tuchape kazi, tuache kupiga domo. Ohoo, Watanzania! Tutumie nguvu hizi kuwasaidia wa Mbagala etc.
Duh, kama ya Mh Chenge baada ya kutuhumiwa kuwa na vijisenti alikimbilia kwao BAriadi na kupokelewa na maelfu ya wapiga kura wake. Ni kama vile Lowasa baada ya kuvulwa Uwaziri Mkuu; alikimbilia kwao Monduli na kupokelewa na maelfu.