Wewe umeandika kishabiki tu bila kujua sheria inasemaje kuhusu uwekezaji kwenye hizi timu zinazomilikiwa na wanachama.
Sheria inawataka wawekezaji kumiliki 49% na wanachama kumiliki 51% ya hisa.
Hivyo usijenge dhana kwamba kila kinachofanywa na Yanga kinaigwa toka simba mambo mengine ni matakwa ya kisheria usiwe mbumbumbu.
Taarifa iliyopo ni kwamba Rostam Aziz amekubaliana na Yanga kununua share 29% halafu GSM wao kununua 20% na wananchi kubakiwa na 51%.
Walikuwa wanaona simba inapotea kumpa Mo 49%,nao pia wanafanya kitu kile kile .
Tatizo hawa wenzetu wanabeza wanayofanywa na simba mwishoni wanaiga na kuja navyo bila aibu ila mwanzoni kujifanya wajuaji na kupinga.
Hujui kitu umekariri kuiga tu kuna kitu gani kipya ambacho simba mnakifanya na hakijawahi kufanyika sehemu nyingine yoyote duniani.Uto mumeiga kwa Simba bhana
Sheria za uwekezaji ni sawa lakini simba ilipoanza huo mfumo mlikuwa mnalalamika niniWewe umeandika kishabiki tu bila kujua sheria inasemaje kuhusu uwekezaji kwenye hizi timu zinazomilikiwa na wanachama.
Sheria inawataka wawekezaji kumiliki 49% na wanachama kumiliki 51% ya hisa.
Hivyo usijenge dhana kwamba kila kinachofanywa na Yanga kinaigwa toka simba mambo mengine ni matakwa ya kisheria usiwe mbumbumbu.
Rostam kasema yeye atalipa 29% ambayo bil 30
Hujui kitu umekariri kuiga tu kuna kitu gani kipya ambacho simba mnakifanya na hakijawahi kufanyika sehemu nyingine yoyote duniani.
Nyie ni wabinafsi sana kama ni kuiga kwa nini ilianzishwa hiyo timu yako si mngeacha kwa kuhofia kuwaiga Yanga kwa kuwa ndiyo ilitangulia kuanzishwa .
Kweli itawagharimu miaka mingi mkiwa mbumbumbu.
Waliokuwa wanalalamika ni wale ambao huwa wanalalamika tu bila kutafuta ukweli wa jambo bila shaka ni mbumbumbu wenzenu .Sheria za uwekezaji ni sawa lakini simba ilipoanza huo mfumo mlikuwa mnalalamika nini
Sheria inasemaje??Simba walichofeli wamempa Kanjibai pekee yake hisa 49% , kinyume na sheria.
sipo hapa kukufundisha sheria, nenda wizara ya utamadun na michezo utapewa ufafanuzi.Sheria inasemaje??
Mentality ya kudharau wanawake ni ya kishamba. Ni kweli huenda ulikulia katika wanawake (mama zako, dada zako, shangazi zako) ambao walikuwa chini kwenye kila kitu, lakini I tell you, things change very rapid in this world!yanga haiigi WANAWAKE.
Yeah, Yanga walishindwa kabisa kulitekeleza na badala yake lilileta mgawanyiko mkubwakama sikosei suala la uwekezaji liliasisiwa na Otopolo FC ila sisi tuliwahi kulitekeleza.
Kwani Abramovich wa Chelsea yupo na nani au Mwarabu wa Mancity.msikariri vituSimba walichofeli wamempa Kanjibai pekee yake hisa 49% , kinyume na sheria.