Rostam Aziz akubaliana na Yanga kununua hisa 29%

Rostam Aziz akubaliana na Yanga kununua hisa 29%

Status
Not open for further replies.
Wewe umeandika kishabiki tu bila kujua sheria inasemaje kuhusu uwekezaji kwenye hizi timu zinazomilikiwa na wanachama.
Sheria inawataka wawekezaji kumiliki 49% na wanachama kumiliki 51% ya hisa.

Hivyo usijenge dhana kwamba kila kinachofanywa na Yanga kinaigwa toka simba mambo mengine ni matakwa ya kisheria usiwe mbumbumbu.

Uto mumeiga kwa Simba bhana
 
Mkuu hebu tuwekee Rostam atalipa bilioni ngapi ili kupata 29% ya umiliki na GSM hiyo 20% yao watalipa bilioni ngapi?

Taarifa iliyopo ni kwamba Rostam Aziz amekubaliana na Yanga kununua share 29% halafu GSM wao kununua 20% na wananchi kubakiwa na 51%.

Walikuwa wanaona simba inapotea kumpa Mo 49%,nao pia wanafanya kitu kile kile .

Tatizo hawa wenzetu wanabeza wanayofanywa na simba mwishoni wanaiga na kuja navyo bila aibu ila mwanzoni kujifanya wajuaji na kupinga.
 
Uto mumeiga kwa Simba bhana
Hujui kitu umekariri kuiga tu kuna kitu gani kipya ambacho simba mnakifanya na hakijawahi kufanyika sehemu nyingine yoyote duniani.
Nyie ni wabinafsi sana kama ni kuiga kwa nini ilianzishwa hiyo timu yako si mngeacha kwa kuhofia kuwaiga Yanga kwa kuwa ndiyo ilitangulia kuanzishwa .
Kweli itawagharimu miaka mingi mkiwa mbumbumbu.
 
Wewe umeandika kishabiki tu bila kujua sheria inasemaje kuhusu uwekezaji kwenye hizi timu zinazomilikiwa na wanachama.
Sheria inawataka wawekezaji kumiliki 49% na wanachama kumiliki 51% ya hisa.

Hivyo usijenge dhana kwamba kila kinachofanywa na Yanga kinaigwa toka simba mambo mengine ni matakwa ya kisheria usiwe mbumbumbu.
Sheria za uwekezaji ni sawa lakini simba ilipoanza huo mfumo mlikuwa mnalalamika nini
 
Kwa maneno mengine share moja thamani yake ni karibu na billion. Sidhani kama thamani ya Simba na Yanga zinatofautiana sana. Kama ndiyo hivyo basi MO kailalia Simba kwa kupata 49% ya umiliki kwa 20 billions ambazo pia hazijalipwa.

Rostam kasema yeye atalipa 29% ambayo bil 30
 
Hujui kitu umekariri kuiga tu kuna kitu gani kipya ambacho simba mnakifanya na hakijawahi kufanyika sehemu nyingine yoyote duniani.
Nyie ni wabinafsi sana kama ni kuiga kwa nini ilianzishwa hiyo timu yako si mngeacha kwa kuhofia kuwaiga Yanga kwa kuwa ndiyo ilitangulia kuanzishwa .
Kweli itawagharimu miaka mingi mkiwa mbumbumbu.

Utopolo mumeiga kutoka kwa Simba bhana
 
Sheria za uwekezaji ni sawa lakini simba ilipoanza huo mfumo mlikuwa mnalalamika nini
Waliokuwa wanalalamika ni wale ambao huwa wanalalamika tu bila kutafuta ukweli wa jambo bila shaka ni mbumbumbu wenzenu .
 
Simba ni viaz....%50 kwa billion 20 wakat Yanga %49 kwa billion 50.
Na simba lazima mkwame sababu sheria inataka % 49 kwa shareholders watatu na nyie Mo anataka apige zote peke yake,ngoma bado mbichi upande wa Simba.
Kwa kifup Yanga wanaweza nunua Simba ikaifanya Yanga princess.
 
yanga haiigi WANAWAKE.
Mentality ya kudharau wanawake ni ya kishamba. Ni kweli huenda ulikulia katika wanawake (mama zako, dada zako, shangazi zako) ambao walikuwa chini kwenye kila kitu, lakini I tell you, things change very rapid in this world!
 
kama sikosei suala la uwekezaji liliasisiwa na Otopolo FC ila sisi tuliwahi kulitekeleza.
Yeah, Yanga walishindwa kabisa kulitekeleza na badala yake lilileta mgawanyiko mkubwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom