Si kweli, mfumo mpya haujawa bado operational, sasa sijui amewapigia wapi!mo kawapiga mbumbumbu fc
Hapo ndipo wakina Kilomoni,Mkwabi nanwengineo wanapopapigia kelele.Kwa maneno mengine share moja thamani yake ni karibu na billion. Sidhani kama thamani ya Simba na Yanga zinatofautiana sana. Kama ndiyo hivyo basi MO kailalia Simba kwa kupata 49% ya umiliki kwa 20 billions ambazo pia hazijalipwa.
Sio lazima hizo 49% apewe mtu mmojaSheria inasemaje??
Mfumo mpya upi huo ambao haujawa operational,na hizo 49% na 20bl zake alipewa kwa utaratibu upi?Si kweli, mfumo mpya haujawa bado operational, sasa sijui amewapigia wapi!
Teh teh teh Mbumbumbu mshapagawa mnaleta propaganda za CCM.Rostam Aziz akanusha taarifa ya kutaka kununua Yanga SC hisa zenye thamani ya dola milioni 19. Aseme yeye si muumini wa mfumo wa kuuza hiza kuendesha vilabu vya soka nchini.
“ taarifa zinazoendelea mitandaoni ni za uzushi na hazihusiki na mimi kwa namna yoyote ile . “
Poleni sana Mikia
cheki sasa huyu! hata historia za Chelsea na man city huzijui unakurupuka kuzifananisha na simba na yanga!Kwani Abramovich wa Chelsea yupo na nani au Mwarabu wa Mancity.msikariri vitu
Kwani Abramovich wa Chelsea yupo na nani au Mwarabu wa Mancity.msikariri vitu
We utakuwa Mwananchi. Nisaidie link ya whatsup please kwenye dm yangu. Nilifrash SIM ikapoteza magroup yangu ya Yanga. Usiitume humu wanawake wataidandiayanga haiigi WANAWAKE.