Rostam Aziz akubaliana na Yanga kununua hisa 29%

Rostam Aziz akubaliana na Yanga kununua hisa 29%

Status
Not open for further replies.
Rostam Aziz akanusha taarifa ya kutaka kununua Yanga SC hisa zenye thamani ya dola milioni 19. Aseme yeye si muumini wa mfumo wa kuuza hiza kuendesha vilabu vya soka nchini.

“ taarifa zinazoendelea mitandaoni ni za uzushi na hazihusiki na mimi kwa namna yoyote ile . “
 
Kwa maneno mengine share moja thamani yake ni karibu na billion. Sidhani kama thamani ya Simba na Yanga zinatofautiana sana. Kama ndiyo hivyo basi MO kailalia Simba kwa kupata 49% ya umiliki kwa 20 billions ambazo pia hazijalipwa.
Hapo ndipo wakina Kilomoni,Mkwabi nanwengineo wanapopapigia kelele.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
1599751952363.png
 
Rostam Aziz akanusha taarifa ya kutaka kununua Yanga SC hisa zenye thamani ya dola milioni 19. Aseme yeye si muumini wa mfumo wa kuuza hiza kuendesha vilabu vya soka nchini.

“ taarifa zinazoendelea mitandaoni ni za uzushi na hazihusiki na mimi kwa namna yoyote ile . “
Teh teh teh Mbumbumbu mshapagawa mnaleta propaganda za CCM.
 
Kwani Abramovich wa Chelsea yupo na nani au Mwarabu wa Mancity.msikariri vitu
cheki sasa huyu! hata historia za Chelsea na man city huzijui unakurupuka kuzifananisha na simba na yanga!
Kwanza Abromovich anamiliki zaidi 50% ya shares kwahiyo ile timu ni yake, simba na yanga haziruhusiwi kisheria kumilikiwa hivyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom