Rostam Aziz alifanya makubaliano haya tuache uzushi!

Nimependa wazo la kufanya tanzania kuwa food exporter japo nawaza wataendelea kufunga mipaka kuzuia grain export?
Aisee. Sawa mkuu. Kwamba sio msemaji wa serkali au wizara, yeye kama mfanyabiashara, kupitia kampuni zake halafu Tz iwe globla exporter.
Kuna vitu Nyerere hakuframe vzr ikiwemo katiba. Niishie hapo tu
 
Sasa walitaka wafanyabiashara gani aende nao huko...
Au walitaka aende na wauza vijora,
Watake wasitake RA ndy mfanyabiashara,deals za kumataifa
Mipango yote inampitia yeye

Ova

Huo ndio ukweli, magufuli akiambatana nae hatukusema leo anaambatana na samia tatizo, muda mwingine waswahili ni tatizo kubwa sana chini ya hii dunia
 
Huo ndio ukweli, magufuli akiambatana nae hatukusema leo anaambatana na samia tatizo, muda mwingine waswahili ni tatizo kubwa sana chini ya hii dunia
Wabongo wanatakiwa kuacha kulialia, kulalamika wapambane na wao wajiingize kwenye biashara kubwa
Mafuta,gas nk(biashara za kimataifa)
Export mazao nk
Wawe vizuri kiuchumi la sivyo kila siku tutaishia kusema tunaonewa

Ova
 
Sijuwi inakuwaje kuwaje mpaka watawala wanawaelewa sana wazee wa dili., sijuwi wazee wa dili wanakuwa na exposure zaidi kuliko watawala.., yaani daaah so sad.
 
Swali la msingi ni je Rostam alikuwa akisign kama nani, kama mfanyabiashara binafsi au kama mwakilishi wa serikali. Kama ni binafsi je sa100 anahusikaje? Kama ni serikali, je ana wadhfa gani serikalini?
Soma chini utagundua ni Kampuni yake ya Taifa na Kampuni ya Wamarekani kwenye zao ya Soya
 
Sasa hapo kosa lake liko wapi
 
......intended to help...... 'There is no such a thing as HELP'
 
Kuisaidia nchi? Kupitia kampuni gani? Na Rais hapo alisimama au kukaa kwa niaba ya nani.? Hizo pesa zinalipwa na kodi gani. Katika kujitetea mtafunua mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…