Rostam Aziz alifanya makubaliano haya tuache uzushi!

Pesa tunazo, viwango ndo vinatofautiana.

Kama Rost tamu ni mfanya biashara mkubwa kuliko wote nchini, iweje Kampuni zake zisiongoze Kwa ulipaji Kodi nchini?

Una jibu la swali Hilo?
1. Rostam ndio ana Tenda za Dhahabu za Barrick, Geita Gold Mining ni ya pili kwa Ulipaji kodi Nchi hii baada ya TBL.

2. Alikua ana Hisa Voda sasa hivi Anamiliki Tigo, Tigopesa na Tigo wenyewe wanalipa Kodi kubwa tu Mamia ya Bilioni, Data za 2017 walilipa Bilioni 700 miaka 3.

3.taifa gas pia inalipa bilioni za kutosha Kodi.

Huyo ni Rostam anayelipa mamia ya bilioni kodi, wewe je umeifanyia nini Nchi yako? Hata Mashine ya EFD unamiliki?
 
Swali la msingi ni je Rostam alikuwa akisign kama nani, kama mfanyabiashara binafsi au kama mwakilishi wa serikali. Kama ni binafsi je sa100 anahusikaje? Kama ni serikali, je ana wadhfa gani serikalini?
Ni kama vile Rostam ndie alijigeuza Rais wa Tanganyika, akaingia makubaliano yenye tija kwa taifa huku Samia akiaa kama ndie mfanyabiashara, tuna kiongozi inept sana.
 
Rostam ni tapeli haswa, kimsingi wahindi wote ni matapeli tupu
Utapeli hauna dini, rangi wala kabila.
Kwani humu nchini waarabu na wahindi ndio wanaongoza polisi, usalama, takukuru, RC, DC, RPC, bandari, TRA, BoT, mawizara na mashirika?Acha ujinga
 
Utapeli hauna dini, rangi wala kabila.
Kwani humu nchini waarabu na wahindi ndio wanaongoza polisi, usalama, takukuru, RC, DC, RPC, bandari, TRA, BoT, mawizara na mashirika?Acha ujinga
Mumeo, hawa dili zote kubwa ni wahindi na waarabu kashifa zote
 
Huyu mama angekuwa anajua anakopelekwa angejimwagia maji baridi azinduke

 
Still bado rostam sio mwenzetu wa Tz na hili halina mjadala!
Alikuwa aki-sign kama nani hapo? waziri? katibu mkuu?
Mtu mchafu hawezi kuchafuka tena, akae mbali na Tz yetu tunajua mengi sana kuhusu yeye!
Bora Slaa milioni kumi kuliko rostam mmoja!
 

And your point is?
 
Swali la msingi ni je Rostam alikuwa akisign kama nani, kama mfanyabiashara binafsi au kama mwakilishi wa serikali. Kama ni binafsi je sa100 anahusikaje? Kama ni serikali, je ana wadhfa gani serikalini?
Nimeiangalia picha hapo juu mara saba , baada ya kuisoma hii comment yako mkuu. Naona Samia anamuangalia tuu Rostam Aziz kwa mbali kidogo🤣🤣🤣 Haya mambo yanafikirisha sana
 
Wanamzushia tuu wakati wanashau kwamba Ziara za Marais Huwa zinabeba wafanyabiashara ambao hukutana na wenzio na kusaini deals kazaa za biashara
 
Kwann Rost tamu, na asiwe Waziri wa KILIMO?

Waziri ndo alipaswa kusaini akiwa na hao wadau wakishuhudia.
Waziri wa Kilimo Bashe, kijana wake alikuwa anasimamia magazeti yake pale sinza kijiweni kabla ajagombea ubunge kule Tabora...

Rostam ni mtu hatari sana, Samia kaingia kichwa kichwa angalia picha anaonekana kama siyo president
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…