johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyu si ndio alisema bunge lisiendelee sasa mbona anataka hadi misiba iletwe bungeni?
NCHI YA CCMHivi ni Nchi gani nyingine inatumia njia hii kudhibiti Corona ?
Walitakiwa watengue kanuni inayotaka misiba ya wabunge ipelekwe Bungeni na sababu ya kutengeua itolewe Bungeni then taratibu za mazishi ziendelee hakuna ambaye angehoji! Kwa kutofanya hivyo wanaacha ombwe la wananchi kuhoji!Huyu si ndio alisema bunge lisiendelee sasa mbona anataka hadi misiba iletwe bungeni?
Wangesema analetwa bungeni pia angekosoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kanuni wangetengua saa ngapi?... walitakiwa watengue kanuni inayotaka misiba ya wabunge ipelekwe Bungeni na sababu ya kutengeua itolewe Bungeni then taratibu za mazishi ziendelee hakuna ambaye angehoji! Kwa kutofanya hivyo wanaacha ombwe la wananchi kuhoji!
chini ya awamu ya 5 ni zamu ya mafisadi papa kutamba.Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge mh Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.
Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Ni mtanzania uyoHUYU ROSTAM NAONA KARUDI KIVINGINE, TUSIPOANGALIA TUTAKUJA KUWA NA RAIS MHINDI HAPO BAADAE
Mgombea wake ambae atamsaidiakitu gani?Rostam anaandaa mazingira ya kumpata mgombea wake 2025
Hapo watanzania ndipo wanapokuwa watu wa ajabu. Angegawa pesa mitaani ungeenda kupanga foleni. Ametoa kifaa kitachosaidia watu wasibuambukizwe unaleta hoja za kitoto.Kwa hiyo hata Jack Ma na mwenzake wanataka tuwe na rais mchina!HUYU ROSTAM NAONA KARUDI KIVINGINE, TUSIPOANGALIA TUTAKUJA KUWA NA RAIS MHINDI HAPO BAADAE
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge mh Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.
Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!