Rostam Aziz amkabidhi Spika Ndugai mashine ya kuwapulizia wabunge dawa ya kuua virus ili kudhibiti Corona

Rostam Aziz amkabidhi Spika Ndugai mashine ya kuwapulizia wabunge dawa ya kuua virus ili kudhibiti Corona

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge Mh. Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.

Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.
Naibu Spika.jpg
Spika.jpg

Maendeleo hayana vyama!
 
Huyu si ndio alisema bunge lisiendelee sasa mbona anataka hadi misiba iletwe bungeni?
Wangesema analetwa bungeni pia angekosoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walitakiwa watengue kanuni inayotaka misiba ya wabunge ipelekwe Bungeni na sababu ya kutengeua itolewe Bungeni then taratibu za mazishi ziendelee hakuna ambaye angehoji! Kwa kutofanya hivyo wanaacha ombwe la wananchi kuhoji!
 
... walitakiwa watengue kanuni inayotaka misiba ya wabunge ipelekwe Bungeni na sababu ya kutengeua itolewe Bungeni then taratibu za mazishi ziendelee hakuna ambaye angehoji! Kwa kutofanya hivyo wanaacha ombwe la wananchi kuhoji!
Hiyo kanuni wangetengua saa ngapi?
 
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge mh Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19.

Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
chini ya awamu ya 5 ni zamu ya mafisadi papa kutamba.

ni dhahiri mahakama ya mafisadi imejengwa kwa ajili ya wale waliopora 1.5tr yetu.... tutakula nao sahani moja kuanzia November hadi waitapike yote shubaaaamit!
 
HUYU ROSTAM NAONA KARUDI KIVINGINE, TUSIPOANGALIA TUTAKUJA KUWA NA RAIS MHINDI HAPO BAADAE
Hapo watanzania ndipo wanapokuwa watu wa ajabu. Angegawa pesa mitaani ungeenda kupanga foleni. Ametoa kifaa kitachosaidia watu wasibuambukizwe unaleta hoja za kitoto.Kwa hiyo hata Jack Ma na mwenzake wanataka tuwe na rais mchina!
 
Naona oktoba imekaribia na 'king maker' anajisogeza karibu, let us see.

Back
Top Bottom