Rostam Aziz ana pesa, ni tajiri namba 1 Bongo, tuache wivu

Sio mtu wa makandokando? Nafikiri wakati wa scandal ya EPA wewe ulikuwa hujazaliwa.
 
Rostam ni mwizi number moja TZ, channel zote za hela ya kupiga alikua nazo yeye kwa kujificha nyuma ya mgongo wa CCM.

Mwanaume unakuja humu kusifia mwanaume mwenzako ni dalili ya us.....
 
Halafu ana roho smart ukipambana ukapata connection nae suala la kukusaidia milliono 100 ni jambo la kawaida sana kwake tena anakwambia nisamehe kwa hichi kidogo nilichojaaliwa ndugu yangu
aliwahi kukusaidia ngapi mkuu
 
Nakubari kaka

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Naam

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nafanyeje ili niwe mafia kama Rostam? Muongozo!
Akili kichwani mtu wangu, tumia uwezo wako wote kupata mafanikio awa jamaa awaishi kujifunza kwa namna mbalimbali bila kusahau usomaji wa vitabu,

Halafu mwisho kabisa ni akili kichwani yaani akili yako inanguvu kuliko kompyuta ukiitumia vizuri kwa kufikiri.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huyu mwamba simjuwi kwa ndani
Ila hakunaga tajiri atakupa vitu vya burebure bila kumfanyia jambo fulani au yeye kufaidika na wewe

Ova
mzee wa za ndanindani humfahamu huyu jamaa,kweli huyu mwamba mafioso
 
Kama wewe ni chawa wake sema tu ijulikane,unajua kampuni yake ya Caspian inavyo nyanyasa wafanyakazi wake usingekuja na ngonjera hapa,nenda mwadui pale ujionee unae msifia anavyo watesa wanyakazi wake.
 
Nje kabisa ya mada;

Mwanamke akishakupa hili jibu ndugu yangu jua kabisa hiyo imeshakula kwako hamna utakachoambulia hapo 😆

Nani nje ya maada mkuu? Mimi au yeye?
 
Hakuna mtu kwasasa natamani nikutane nae hata kwa Dakika 2 zaidi ya huyu Kaka Mkubwa Rostam Aziz.Najua itakuwa ndio mwanzo wa Mafanikio makubwa mbeleni.Inshallah ipo siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…