Binafsi unani motivate kufika level hizo,unapokimbia usipojua umbali unaotakiwa kwenda
hautokusanya pumzi zako ipasavyo,haya maisha usipokua na mtu unaemuangalia kama
kioo chako,hautofika popote,maisha yetu watafutaji yanahitaji sana kuwaskia skia hawa
watu,kina Mo,Diamond na wengineo wengi wengi,Huwezi ona Faida ya utajiri wake kama
hauna lengo la kufika alipo yeye,unahisi mafanikio ya YANGA team ya SIMBA inajiskiaje?
Usajili bora wa SIMBA yanga unawafaidisha nini? Fine,unaweza sema natolea mifano isiyo relate na mada, ila ukweli ni kwamba
Tunahitaji (hasa mimi) nahitaji sana sana kujua utajiri wa vijana waliopo Tanzania ili nijue natakiwa kimbia au tembea.
Wengine tuna ma Future Plan ya kuwaeka BENCHI wote hao wanaoitwa mabilionea wa leo,lakini hatutoweza kama hutojua ni yupi unatakiwa umfukuzie.
ROSTAM ni nyoko na NUSU acha kabisa yule kiumbe. Halafu sasa ROSTAM ananinufaisha sana hili jamaa ndio boss la TAIFA/MIHAN GAS
Maisha yangu leo hii yanamtegemea sana ROSTAM akifunga tu kiwanda ya MIHAN/TAIFA GAS narudi kupambana na migambo ya jiji shubaaamit.
Kwa sasa ROSTAM ananiweka mjini asee,maana katika gas nauza zinatoka ni Mihan/taifa gas na zinatoka kwasababu jamaa ana bei ya chini sana kulinganisha na kina ORYX.
wazee ROSTAM nasema tena ni NYOKO robo tatu,apewe sifa zake haina choyo wala nini.