Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
- Thread starter
- #81
Sikuamini kiwango hichoTuma usafiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuamini kiwango hichoTuma usafiri
Hakika!Heshima kwake,mwisho wa siku kampuni zake zinaajiri mamia ya watanzania.Bravo
Umejuaje utajiri wake? Na lengo lako ni nini hasa au ndiyo uchawalism [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ana hela ana hela halafu ana hela tena. Siyo mtu wa makando kando, siyo mtu wa madili japo ilitumika nguvu kubwa kumchafua.
Aziz ni akili kubwa sana, tayari ashanunua shirika lenye ndege nyingi zaidi TZ. Nani mwingine ana jeuri hiyo?
Jamaa ni smart sana, kimavazi na upstairs.
Vijana wa TZ tuna la kujifunza hapa.
Chawa mwingine huyu hapa [emoji1787]Halafu ana roho smart ukipambana ukapata connection nae suala la kukusaidia milliono 100 ni jambo la kawaida sana kwake tena anakwambia nisamehe kwa hichi kidogo nilichojaaliwa ndugu yangu
Mada za maskini hizi hasa Tanzania. Mara nyingi maskini hawaishi kubishana na hata kupigana kwa sababu ya kutetea fulani ndiyo tajiri kuliko fulani.Ana hela ana hela halafu ana hela tena. Siyo mtu wa makando kando, siyo mtu wa madili japo ilitumika nguvu kubwa kumchafua.
Aziz ni akili kubwa sana, tayari ashanunua shirika lenye ndege nyingi zaidi TZ. Nani mwingine ana jeuri hiyo?
Jamaa ni smart sana, kimavazi na upstairs.
Vijana wa TZ tuna la kujifunza hapa.
SawaSikuamini kiwango hicho
Binafsi unani motivate kufika level hizo,unapokimbia usipojua umbali unaotakiwa kwendaUtajiri wake wewe unakunufaisha nini binafsi?
Binafsi unani motivate kufika level hizo,unapokimbia usipojua umbali unaotakiwa kwenda
hautokusanya pumzi zako ipasavyo,haya maisha usipokua na mtu unaemuangalia kama
kioo chako,hautofika popote,maisha yetu watafutaji yanahitaji sana kuwaskia skia hawa
watu,kina Mo,Diamond na wengineo wengi wengi,Huwezi ona Faida ya utajiri wake kama
hauna lengo la kufika alipo yeye,unahisi mafanikio ya YANGA team ya SIMBA inajiskiaje?
Usajili bora wa SIMBA yanga unawafaidisha nini? Fine,unaweza sema natolea mifano isiyo relate na mada, ila ukweli ni kwamba
Tunahitaji (hasa mimi) nahitaji sana sana kujua utajiri wa vijana waliopo Tanzania ili nijue natakiwa kimbia au tembea.
Wengine tuna ma Future Plan ya kuwaeka BENCHI wote hao wanaoitwa mabilionea wa leo,lakini hatutoweza kama hutojua ni yupi unatakiwa umfukuzie.
ROSTAM ni nyoko na NUSU acha kabisa yule kiumbe. Halafu sasa ROSTAM ananinufaisha sana hili jamaa ndio boss la TAIFA/MIHAN GAS
Maisha yangu leo hii yanamtegemea sana ROSTAM akifunga tu kiwanda ya MIHAN/TAIFA GAS narudi kupambana na migambo ya jiji shubaaamit.
Kwa sasa ROSTAM ananiweka mjini asee,maana katika gas nauza zinatoka ni Mihan/taifa gas na zinatoka kwasababu jamaa ana bei ya chini sana kulinganisha na kina ORYX.
wazee ROSTAM nasema tena ni NYOKO robo tatu,apewe sifa zake haina choyo wala nini.
Motivation wako ungechukuwa Kwa kina Mr Kuku, ukipanda sana level za juu basi Kwa level za kina Freddy Vunja bei, kuwa motivated na Rostam ni kujijaza upepo tu, hata Watoto wa Mengi waliorithi utajili hawawezi kuwaza level za Rostam.Binafsi unani motivate kufika level hizo,unapokimbia usipojua umbali unaotakiwa kwenda
hautokusanya pumzi zako ipasavyo,haya maisha usipokua na mtu unaemuangalia kama
kioo chako,hautofika popote,maisha yetu watafutaji yanahitaji sana kuwaskia skia hawa
watu,kina Mo,Diamond na wengineo wengi wengi,Huwezi ona Faida ya utajiri wake kama
hauna lengo la kufika alipo yeye,unahisi mafanikio ya YANGA team ya SIMBA inajiskiaje?
Usajili bora wa SIMBA yanga unawafaidisha nini? Fine,unaweza sema natolea mifano isiyo relate na mada, ila ukweli ni kwamba
Tunahitaji (hasa mimi) nahitaji sana sana kujua utajiri wa vijana waliopo Tanzania ili nijue natakiwa kimbia au tembea.
Wengine tuna ma Future Plan ya kuwaeka BENCHI wote hao wanaoitwa mabilionea wa leo,lakini hatutoweza kama hutojua ni yupi unatakiwa umfukuzie.
ROSTAM ni nyoko na NUSU acha kabisa yule kiumbe. Halafu sasa ROSTAM ananinufaisha sana hili jamaa ndio boss la TAIFA/MIHAN GAS
Maisha yangu leo hii yanamtegemea sana ROSTAM akifunga tu kiwanda ya MIHAN/TAIFA GAS narudi kupambana na migambo ya jiji shubaaamit.
Kwa sasa ROSTAM ananiweka mjini asee,maana katika gas nauza zinatoka ni Mihan/taifa gas na zinatoka kwasababu jamaa ana bei ya chini sana kulinganisha na kina ORYX.
wazee ROSTAM nasema tena ni NYOKO robo tatu,apewe sifa zake haina choyo wala nini.
Thanx mamylove,napokea yote haya🥰Uzidi kufanikiwa bro
Rostam hana mpango wa kuweka records kwenye Forbes, hata Bakhressa huwezi kumkuta Forbes, huko ni sehemu za check Bob Mo Dewji.Mbona sisi Simba tunafahamu Tajiri no. 1 ni Boss Mo.
Haya yanaitwa mawazo ya kujikatia Tamaa,Mkuu katika maisha yangu huwa najiitaga "Record Breaker" hii ni Nick name yangu, na kama sio kutumia ID ya CONTROLA basi ningejiita "Record Breaker"hata Watoto wa Mengi waliorithi utajili hawawezi kuwaza level za Rostam.
Ingekuwa unaandika haya kwenye nchi zenye self made millionaire wengi kama Marekani ungeeleweka.Haya yanaitwa mawazo ya kujikatia Tamaa,Mkuu katika maisha yangu huwa najiitaga "Record Breaker" hii ni Nick name yangu, na kama sio kutumia ID ya CONTROLA basi ningejiita "Record Breaker"
Siwezi na Sijawahi na haitokaa itokee mimi kujikatia tamaa au kuji underrate kiasi hiki mkuu,Fred Vunjabei ana pesa za kawaida,nini FREDY anayo yakuiweka katika DREAMS kwa upande wangu?
Mkuu siwazi kuja kufungua maduka kama fredy,siwazi kuja kuuza kuku kama MR KUKU, tumetofautiana sana malengo na namna tunavyofikiri.
Ma role model wangu ni watu kama Kina ROSTAM na DANGOTE siku zote ndoto za maskini huonekana kama upumbavu machoni pa wengi, lakini nikwambie kitu Mkuu.
Diamond Platnumz ananunua CHOPPER na itakuja,ulishawahi waza kuna msanii Tanzania hii atamiliki CHOPPER? kwa mziki huu huu? Mkuu Sijilinganishi na yeyote chini ya JUA
mimi ni CONTROLA na siku 1 nitafahamika na hizi Comment zangu zitafukuliwa,Mungu aniachie uhai na viungo vyangu hivi hivi.
YOTE YANAWEZEKANA.
OkMada za maskini hizi hasa Tanzania. Mara nyingi maskini hawaishi kubishana na hata kupigana kwa sababu ya kutetea fulani ndiyo tajiri kuliko fulani.
[emoji23]
Bei ya kandege kamoja unaijua lakini?[emoji23]Vindege 15 tu ndo unasema tajiri?