Rostam Aziz ana pesa, ni tajiri namba 1 Bongo, tuache wivu

Rostam Aziz ana pesa, ni tajiri namba 1 Bongo, tuache wivu

Ana hela ana hela halafu ana hela tena. Siyo mtu wa makando kando, siyo mtu wa madili japo ilitumika nguvu kubwa kumchafua.

Aziz ni akili kubwa sana, tayari ashanunua shirika lenye ndege nyingi zaidi TZ. Nani mwingine ana jeuri hiyo?

Jamaa ni smart sana, kimavazi na upstairs.

Vijana wa TZ tuna la kujifunza hapa.
Habari za tajiri muulize maskini 🏃🏃
 
Hukutani nao tatzo hawapo kwenye cycle yako sipo hapa kupiga blahblah kwa jambo ambalo nina ushahidi nalo..au unadhani Million 100 kwa Rostam ni ngumu kama ilivyo kwetu sisi!?? Kawaulize wale wabunge waliopo bungeni kwamba mpaka wamefika pale wengi wao ni kwa msaada wa nani financially watakwambia!!
Jamaa lina mihela sana
 
Kuna jamaa yangu pale mjengoni aliambiwa hivyo uchaguzi 2020[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu kuna jamaa yangu mwingine pale Morogoro kapewa M150 awape wajumbe wa CCM kaishia kuwapa elfu kumikumi badala ya 70 kama walivyokubaliana kilichofuatia kapigwa chini hela iliyobaki kamalizia mjengo wake kihonda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe Kanunua hivi vi cassena single engines vinatumika kumwagilizia pembejeo kwenye mashamba makubwa ya ngano? Pia vilikuwa vinamwagilia pesticide kuua nzinge. Mbona hata matajiri wengi uchwara kina vunjabei wanaweza kuvinunua tu kwa wingi?
Mkuu tuache wivi bhana! Vunjabei hana jeuri hiyo
 
Ukiona mwanaume anamsifia sanaa mwanaume mwenzie...ujue hapo baasi
Eti eeh? Sikujua hili, ila nikukumbushe tu. Ukweli hauna spare. Ni kweli ana pesa. Hata wewe ukiwa nazo watasema TU! Siku utakapotoka kuwa broke utajua
 
Back
Top Bottom