platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Waulize wafanyakazi wa Caspian na Miombo Safari upate ukweli, huyo ni Mhajemi (Persian)
Caspian alikuwa na kandarasi ya uchimbaji mgodi wa GGM , Mwadui (Wilson diamond mine), alipewa kandarasi mradi wa Kinyerezi na kampuni ya Toshiba na pia mgodi wa Barrick gold - Kahama. Staff wanalipwa vizuri. Naona ni Mtanzania zaidi kuliko Muajemi