Rostam Aziz ana pesa, ni tajiri namba 1 Bongo, tuache wivu

Rostam Aziz ana pesa, ni tajiri namba 1 Bongo, tuache wivu

Ukiona mwanaume anamsifia sanaa mwanaume mwenzie...ujue hapo baasi
 
Caspian alikuwa na kandarasi ya uchimbaji mgodi wa GGM , Mwadui (Wilson diamond mine), alipewa kandarasi mradi wa Kinyerezi na kampuni ya Toshiba na pia mgodi wa Barrick gold - Kahama. Staff wanalipwa vizuri. Naona ni Mtanzania zaidi kuliko Muajemi
Sahihi
 
Coastal aviation ilikuwa ya yule Mtaliano aliyefariki 2017, Bw. Nicola Colangelo. Baada ya kufarikia hakukuwa na namna lazima ingefika wakati wangefilisika au wakubali kuuzwa.

Yeah ni kweli!
 
Back
Top Bottom