Fuatilia nani anaongoza kwa kulipa kodi serikalini Ni mohamed Dewji kiasi 3.3Trillions kwa mwaka...Unafikiri yuko hapo Juu kwa bahati mbaya?Forbes hua hawabahatishiAna hela ana hela halafu ana hela tena. Siyo mtu wa makando kando, siyo mtu wa madili japo ilitumika nguvu kubwa kumchafua.
Aziz ni akili kubwa sana, tayari ashanunua shirika lenye ndege nyingi zaidi TZ. Nani mwingine ana jeuri hiyo?
Jamaa ni smart sana, kimavazi na upstairs.
Vijana wa TZ tuna la kujifunza hapa.
Kupitia supply chain na kodi ya biashara za Rostam Aziz, karibia kila mtanzania anafaidika.Utajiri wake wewe unakunufaisha nini binafsi?
Marehemu Rais mstaafu wa Angolahuyo Dos simfaham
Na Mungu akufanikishie hiloHakuna mtu kwasasa natamani nikutane nae hata kwa Dakika 2 zaidi ya huyu Kaka Mkubwa Rostam Aziz.Najua itakuwa ndio mwanzo wa Mafanikio makubwa mbeleni.Inshallah ipo siku
ndo hivyo umafia lazima bila kuwa mafia na roho ngumu aumsogelea mzee Rostam.Kwa hiyo ile kujisogeza tu tayari nina 10% za kuwa mafia?
Hayo mengine siyajui ila si Persian bali ni Mtanzania mwenye asili ya Persia(Uajemi).Waulize wafanyakazi wa Caspian na Miombo Safari upate ukweli, huyo ni Mhajemi (Persian)
Na ww umeamini????Hao ndiyo matajiri wa kweli! Huyu jamaa ameni motivate sana hapa TZ. Ni icon kubwa. Pia ni humble sana. Yaani tajiri akuambie samahani hiki ndicho kidogo nilichojaliwa? Aisee tuna la kujifunza kabisa!
Ccm huo ujasiri wa kujiingiza kwenye biashara na kununua hisa za kampuni za vodacom wanautoa wapi? Tena ikiwa wao ndio wenye serikali! Inawezekana vipi hii!?Huyo si wanasema ni siiaiei? Utajiri wake uliongezeka alipowapiga ccm na kitu kizito baada ya kujimilikisha hisa za voda ambazo zilikuwa zao enzi zile ni mweka hazina.
Ila mwamba anani motivate sana. Anaonekana ni fighter kinoma.ndo hivyo umafia lazima bila kuwa mafia na roho ngumu aumsogelea mzee Rostam.
kwanza yule ni akili nyingi sana sana tena.alafu shule babaa ile ni product ya Harvard University.mafyekeche mengi sana pale yamelala.Ila mwamba anani motivate sana. Anaonekana ni fighter kinoma.
Ukiona tajiri ana shida basi hamjui Mungu huyo!Aliyekwambia Mimi nautaka utajili ni nani?
Si kila mtu anahitaji kuwa tajiri, ni vile tu hamjui shida za matajili.
Kamuulize Ruge Malila atakueleza vizuri.Ukiona tajiri ana shida basi hamjui Mungu huyo!
Hakumjua Mungu huyo!!..... Ayubu alifilisika mpaka mke kamkimbia.....lkn bado alipeta! IBRAhimu aliacha utajiri kibao mpaka leo! upo! alikufa kifo kizuri sana!Kamuulize Ruge Malila atakueleza vizuri.
Kama hili ni kweli alipa Kodi hiyo basi huyu ndio tajiri namba Moja nchi hii.Fuatilia nani anaongoza kwa kulipa kodi serikalini Ni mohamed Dewji kiasi 3.3Trillions kwa mwaka...Unafikiri yuko hapo Juu kwa bahati mbaya?Forbes hua hawabahatishi
Huna ulijuwalo unabwata tu, mashoga ndio matajili wakubwa dunia hii, wakati wacha Mungu ndio mafukara wa kutupwa.Hakumjua Mungu huyo!!..... Ayubu alifilisika mpaka mke kamkimbia.....lkn bado alipeta! IBRAhimu aliacha utajiri kibao mpaka leo! upo! alikufa kifo kizuri sana!
Bakhresa ni tajiri mkuu,afya tele sababu anakula na maskini kunuka ! mtoaji! ana afya tele hafi leo wala kesho!
Mcha Mungu naemjua!! anaemtegemea hawezi kuwa Maskini kamweeee!! kuna mungu wengi hao matajiri wa miungu wako ni matajiri kwa upande wenu!! kamwe usigenerlise na matajiri wa upande wa pili!Huna ulijuwalo unabwata tu, mashoga ndio matajili wakubwa dunia hii, wakati wacha Mungu ndio mafukara wa kutupwa.
Cesna nyingine ziliuzwa kwa bei ya baiskeli kule kijijini kwetu,Huyu mwamba simjuwi kwa ndani
Ila hakunaga tajiri atakupa vitu vya burebure bila kumfanyia jambo fulani au yeye kufaidika na wewe
Ova
Duuuuh ***** kumbe mchizi ni Havard?kwanza yule ni akili nyingi sana sana tena.alafu shule babaa ile ni product ya Harvard University.mafyekeche mengi sana pale yamelala.