Labda Nyerere pits-au no 10 alamasi- Ila mpaka hawa wazungu - wameona ni bora wagawe share kufidia deni- kuliko kulipa Cash money, isije ikawa madini yamepungua, ingawa nilipata sikia soko la alamasi duniani limeshuka, Kipindi hiki Cha Corona, hata wadau wengine Kama Hilary sood, alisimama uzalishaji kwa Kipindi kirefu.Though hawawi majority shareholder lkn wanaweza kubadilisha sana biashara na uzalishaji wa huu Mgodi! Sijui kule Makamba Jeki bado kuna almasi?