Rostam Aziz asema nipo tayari kuidhamini Yanga SC

Acha uongo.. MO hajatoa 20B tulizo kubaliana.. atapataje hiyo 49%
Ni kweli bado pesa haijawekwa kwenye account ya Simba kwasababu taratibu hazijakamilika
Uwongo wangu uko wapi?
 
Yaani Karne hii anawashauri muendeleze Bakuli na nyie bila kutafakari mnakubali..Ok lakini msije kulalamika tu kuwa Ohhh Simba Ohh TFF..SimbaNguvuMoja
 
Hela ya Mo imejaa damu za watu kama Fupe akiwa Mkemia Mkuu wa serikali aliikataa ngano mbovu iliyoingizwa na MoTL. Akafa kifo cha ajabu. RIP Fupe.
Nakumbuka vizuri huo mkasa wahindi ni watu washenzi wanatudharau sana sema ndio hivyo wapo kwetu
Na hicho ndio ilikuwa chanzo cha hiyo familia kuanza kuvuna pesa

Damu ya fupe IPO siku it awalilia
 
MO ana chake katika Simba na Wanachama wana chao katika Simba SC..Wote wanaunganisha NguvuMoja

Mkuu, ile harambee hata 1b haikufika mkirudia tena itakuwa 5ml ndo mwisho oooh Simba anabebwa.
SimbaNGUVUyaMo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…