Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Nyie hizo 51% zenu zina thamani gani?Mo anataka ajue kwanza hizo 51% zenu zina thamani gani nzio aweke mzigo mezaniAcha uongo.. MO hajatoa 20B tulizo kubaliana.. atapataje hiyo 49%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie hizo 51% zenu zina thamani gani?Mo anataka ajue kwanza hizo 51% zenu zina thamani gani nzio aweke mzigo mezaniAcha uongo.. MO hajatoa 20B tulizo kubaliana.. atapataje hiyo 49%
NilizozitajaTimu ipi hapo kati ya ulizotaja ni ya wanachama?
Ila aendelee kutakatisha pesa kupitia uchangiajiYaani Karne hii anawashauri muendeleze Bakuli na nyie bila kutafakari mnakubali..Ok lakini msije kulalamika tu kuwa Ohhh Simba Ohh TFF..SimbaNguvuMoja
Mzee Kilomoni amejua kuwanyoosha aiseeYaani Karne hii anawashauri muendeleze Bakuli na nyie bila kutafakari mnakubali..Ok lakini msije kulalamika tu kuwa Ohhh Simba Ohh TFF..SimbaNguvuMoja
Nakumbuka vizuri huo mkasa wahindi ni watu washenzi wanatudharau sana sema ndio hivyo wapo kwetuHela ya Mo imejaa damu za watu kama Fupe akiwa Mkemia Mkuu wa serikali aliikataa ngano mbovu iliyoingizwa na MoTL. Akafa kifo cha ajabu. RIP Fupe.
SimbaNGUVUyaMoYaani Karne hii anawashauri muendeleze Bakuli na nyie bila kutafakari mnakubali..Ok lakini msije kulalamika tu kuwa Ohhh Simba Ohh TFF..SimbaNguvuMoja
Mjanja huyu hataki misala na mfumo.Hongera Rostam, Yanga changamkiemi fursa hiyo mtumieni Rostam vyema katika ustawi wa klabu.
Ila hapo naona karusha jiwe gizani kwa mikia likampata mooo
SimbaNGUVUyaMo
Mjanja huyu hataki misala na mfumo.