brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
- Thread starter
- #21
Wapi nimeandika anataka kufadhili?Sawa Mkuu nitaileta yote ila hakuna sehemu aliposema yupo tayari kuifadhili Yanga,Rostam mwenyewe anapinga hilo suala yeye anasisitiza ni jukumu la wanachama kuchangia club yao!
Hujui tofauti ya udhamini na ufadhili?
Rostam amesema anaweza kudhamini Yanga kupitia moja ya makampuni yake ila hayuko Tayari kufadhili maana kufadhili Ni mlango wa nyuma wa kumiliki kwa anavyo amini yeye.