Rostam Aziz earns ths. 384 billion/- from Vodacom

ALFMOJA

Senior Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
163
Reaction score
53
The richest man in Tanzania gets richer....

http://www.tzbusinessnews.com/rostam-aziz-earns-ths-384-billion-from-vodacom/

 
hongera yake kwa kuwa billionair
 
Serikali TRA imepata kiasi gani kama kodi?
 
Ni kwa namna gani jamaa anamiliki port ya Dar Es salaam
 
hivi hiyo mihela yote ataifanyia nini!!
 
hivi hiyo mihela yote ataifanyia nini!!
Hapo kweli red,mbona bado ni vijisenti tuu?na ata posho zangu za ubunge kuanzia nilivyoanza bunge mwaka 1993 mpaka nilipong'atuka sijazigusa na sijui ni kiasi gani.
 
Matajiri wale wale,masikini wale wale..masikini atazidi kuwa masikini naye tajiri atajirike zaidi
 
Hakuna kupepesa macho huyo ni mwizi wetu aliyeshirikiana na mlinzi wa mali zetu CCM kutuibia!!!! Utashangaa mijitu kama hii ndo iko nyuma ya kuchakachua Katiba ya wananchi kuondoa kipengele cha uwazi, uadilifu na uwajibikaji ili waendelee kutuibia,,, utashangaa jibu linashangilia CCM bila hata kujua CCM inawenyewe!!!
 
Iiiiiii maaaamaaa mngetuandikiapo na kakiswahili ili tuelewe
 
Yaani mtu kauza share zake serikali inakata kodi?
Kama serikali inaendeshwa kwa misingi ya sheria ni lazima kodi ikatwe. Ila JK na TRA yake watamwachia tu; si ataichangia CCM kwenye uchaguzi wa 2015!
 
Ni kwa namna gani jamaa anamiliki port ya Dar Es salaam
jamaa ana miliki nchi nzima na viongozi wote....anaitafuna nchi hi anavyotakaaa aache aww zilionea
 
Ulaya, Asia, America watu wakitajirika , wanarudisha fadhila kwa jamii kupita asasi zao mbalimbali! Kuna mfano wa Belinda-Gates foundation, Clinton Foundation, Tajiri wa USA aliyetoa Chopa kupambana na ujangili, je huyu jamaa anasaidia vp jamii kwa hizi hela zake!?

Tabia za fisadi ni ubinafsi! Je, R. Aziz ni fisadi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…