- Thread starter
- #21
Iiiiiii maaaamaaa mngetuandikiapo na kakiswahili ili tuelewe
ni hivi: rostam alikuwa mmiliki wa Vodacom kwa asilimia 35% Jumanne ya wiki hii ambayo inaishia huyo Rostam kauza asilimia 17.2% ya hisa zake kawauzia hao hao Vodacom wamemlipa shiling billioni 384/- kwa ajili ya hisa hizo.
Rostam anamiliki sehemu ya Vodacom kupitia Kampuni yake moja ambayo kaisajili kwenye kakisiwa fulani kanaitwa Jersy ambako mtu akiweka hela zake huko hazitozwi kodi kokote.
habari ndo hiyo mtu wangu...