ni hivi: rostam alikuwa mmiliki wa Vodacom kwa asilimia 35% Jumanne ya wiki hii ambayo inaishia huyo Rostam kauza asilimia 17.2% ya hisa zake kawauzia hao hao Vodacom wamemlipa shiling billioni 384/- kwa ajili ya hisa hizo.
Rostam anamiliki sehemu ya Vodacom kupitia Kampuni yake moja ambayo kaisajili kwenye kakisiwa fulani kanaitwa Jersy ambako mtu akiweka hela zake huko hazitozwi kodi kokote.