GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Na wenye Akili tunajua kuwa huyo FISADI Mwenzako mwenye Makazi mengi Dar es Salaam achilia kule kulikotupwa Kitovu chake Bagamoyo ndiyo amekutuma uharakishe kufanya Press ili kusafisha Upepo, ila jua ya kwamba umeshachelewa na kilichobakia sasa Wewe subiria tu Watanzania waungane na Wakushtakie rasmi kwa Mwenyezi Mungu uone kama hiyo Pua yako Ndefu kama Gia ya Lori la Leyland haijahamia Ugokoni mwako.