Rostam Aziz, ndiye tajiri namba moja Tanzania kwa sasa!!!

Rostam Aziz, ndiye tajiri namba moja Tanzania kwa sasa!!!

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,786
Reaction score
5,963
Forbes Wametoa Listi ya watu 50 matajiri zaid afrika huku Listi ikiongozwa na Mnigeria Aliko Dangote(pichani ) Na kwa upande wa Nyumbani, Mtanzania(mwanasiasa) Wa kwanza ameonekana akiwa katika nafasi ya 27 na Ana Utajiri wa Dola BILLIONI 1..cheki Listi nzima hapa chini…
 

Attachments

  • 1384416708756.jpg
    1384416708756.jpg
    25.7 KB · Views: 4,413
  • 1384416727105.jpg
    1384416727105.jpg
    27.1 KB · Views: 2,342
  • 1384416740661.jpg
    1384416740661.jpg
    25.5 KB · Views: 25,287
  • 1384416760123.jpg
    1384416760123.jpg
    25.6 KB · Views: 1,953
  • 1384416770557.jpg
    1384416770557.jpg
    25.9 KB · Views: 1,730
nisingetarajia kumwona mtanzania kuwemo kwenye list ya matajiri kwan tz ni nchi maskini, nashangaa kuwaona watanzania kwenye hiyo
 
Nilikuja mbio mbio kutaka kumshuhudia Mwanasiasa huyo maarufu ni nani??Kumbe Rostam Aziz!!
 
nisingetarajia kumwona mtanzania kuwemo kwenye list ya matajiri kwan tz ni nchi maskini, nashangaa kuwaona watanzania kwenye hiyo
Mkuu usishangae. Hiyo huwa inawezekana kama kwenye nchi husika kunakua na unfair distribution of country's wealth.
 
kwa hiyo kwa Tanzania tajiri wa kwanza ni
27.Rostam (1)
34. Mengi (2)
38. Dewji (3)
38. Bakhresa (4)

Yani siku zote nlikua najua Bakhresa anaongoza kwa utajiri Tz, list yangu ilikua ifuatayo basing on guessing;
  1. Bakhresa
  2. Mengi
  3. Rostam
  4. Dewji
 
Back
Top Bottom