young stunna
Senior Member
- Jul 3, 2013
- 168
- 50
Wale Ma'billionea wa arusha mwaka huu hawapo???!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasitudanganye mwaka jana tofauti ya bakhresa na rostam ilikuwa zaidi ya bil 200 ,ina maana withn a year jamaa kapata faida kiasi chote hcho? Ila kwa tanzania tu inawezekana
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
mwaka jana venture walikosea kwa kusema Rostam anamiliki asilimia 17 vodacom,wakati jamaa anamiliki 35 percent,forbbes wako sahihi
Nashukuru kwa taarifa za hao matajiri, LAKINI je mchango wa uchumi hao matajiri kwa watanzania unaonekana???
Wasitudanganye mwaka jana tofauti ya bakhresa na rostam ilikuwa zaidi ya bil 200 ,ina maana withn a year jamaa kapata faida kiasi chote hcho? Ila kwa tanzania tu inawezekana
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Alikuwa mweka hazina chama tawalasamahani, utajiri wa rostam umetokana na nini vile?
Wale hawana akaunti zinazoeleweka mkuuMkuu mbona sioni bilionea hata mmoja toka Arusha hapo?
Tatizo hawana mahesabu yanayoelewekaKatika orodha hiyo bona wa darisalaam tu? Wale mabilionea wetu wa Arusha Vipi?
Kwa muonekano wa nje mimi huwa naona Bakhresa ndo tajiri kuzidi wote, pia waga sielewi utajiri wa Mengi. Mwisho huwa nashangaa kwa nini bado mimi sionekani.kwa hiyo kwa Tanzania tajiri wa kwanza ni
27.Rostam (1)
34. Mengi (2)
38. Dewji (3)
38. Bakhresa (4)
Mweusi mmoja na ni mchaggakwa hiyo kwa Tanzania tajiri wa kwanza ni
27.Rostam (1)
34. Mengi (2)
38. Dewji (3)
38. Bakhresa (4)
Hii mada ni ya miaka mitano iliyopita (2013). Kwasasa mo ndo kinaraNini kimetokea kwa Mo kutoka 1.6 b mpaka 500 M?????? sielewi.
Hii mada ni ya miaka mitano iliyopita (2013). Kwasasa mo ndo kinara
Za ujambazi hatuhesabuKatika orodha hiyo bona wa darisalaam tu? Wale mabilionea wetu wa Arusha Vipi?