Rostam Aziz, ndiye tajiri namba moja Tanzania kwa sasa!!!

Rostam Aziz, ndiye tajiri namba moja Tanzania kwa sasa!!!

Wasitudanganye mwaka jana tofauti ya bakhresa na rostam ilikuwa zaidi ya bil 200 ,ina maana withn a year jamaa kapata faida kiasi chote hcho? Ila kwa tanzania tu inawezekana

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

mwaka jana venture walikosea kwa kusema Rostam anamiliki asilimia 17 vodacom,wakati jamaa anamiliki 35 percent,forbbes wako sahihi
 
Wasitudanganye mwaka jana tofauti ya bakhresa na rostam ilikuwa zaidi ya bil 200 ,ina maana withn a year jamaa kapata faida kiasi chote hcho? Ila kwa tanzania tu inawezekana

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Hizi habari zina mkanganyiko mkubwa mwaka jana bakhresa alikua na utajili wa dola milion 620 sasa hivi tunaambiwa umefikia dola milion 500. Kama alipata hasara ndani ya kipindi hicho tungeona wafanyakazi wakipunguzwa.
 
S H Amon mwenye land mark hotel mbona hayumo? Huu utafit wa forbes ni wizi mtu yani hata RUGE MUTAHABA pia, pamoja na kumwibia saida karoli na wasanii kibao kumbe hakuna kitu? Au wamekosea utafiti wa Tanzania
 
Bila watekaji Mo angekuwa juu zaidi ..manake kabla ya kutekwa alikuwa na 1.5b
 
Nini kimetokea kwa Mo kutoka 1.6 b mpaka 500 M?????? sielewi.
 
kwa hiyo kwa Tanzania tajiri wa kwanza ni
27.Rostam (1)
34. Mengi (2)
38. Dewji (3)
38. Bakhresa (4)
Kwa muonekano wa nje mimi huwa naona Bakhresa ndo tajiri kuzidi wote, pia waga sielewi utajiri wa Mengi. Mwisho huwa nashangaa kwa nini bado mimi sionekani.
 
Watu mnachangia mada tu bila kuangalia ili postiwa lini huu na ni mzigo.
 
Back
Top Bottom