Rostam Aziz! Reginald Mengi - 34,Said Salim Bakhresa na Mohamed Dewji - 38!Mwanasiasa huyo ni nani? Mchina umegoma kufungua.
aisee, wamemsahau Rizimoko kwenye listkwa hiyo kwa Tanzania tajiri wa kwanza ni
27.Rostam (1)
34. Mengi (2)
38. Dewji (3)
38. Bakhresa (4)
nisingetarajia kumwona mtanzania kuwemo kwenye list ya matajiri kwan tz ni nchi maskini, nashangaa kuwaona watanzania kwenye hiyo
Mkuu usishangae. Hiyo huwa inawezekana kama kwenye nchi husika kunakua na unfair distribution of country's wealth.nisingetarajia kumwona mtanzania kuwemo kwenye list ya matajiri kwan tz ni nchi maskini, nashangaa kuwaona watanzania kwenye hiyo
wamejumlisha na mabilion yaliyoko Uswis au hawajaweka huko?kwa hiyo kwa Tanzania tajiri wa kwanza ni
27.Rostam (1)
34. Mengi (2)
38. Dewji (3)
38. Bakhresa (4)
(5) Bepari Mingoikwa hiyo kwa Tanzania tajiri wa kwanza ni
27.Rostam (1)
34. Mengi (2)
38. Dewji (3)
38. Bakhresa (4)
Vipi Mbowe? Hayumo kwenye list?
kwa hiyo kwa Tanzania tajiri wa kwanza ni
27.Rostam (1)
34. Mengi (2)
38. Dewji (3)
38. Bakhresa (4)