Rostam Aziz, ndiye tajiri namba moja Tanzania kwa sasa!!!

kwa hiyo kwa Tanzania tajiri wa kwanza ni
27.Rostam (1)
34. Mengi (2)
38. Dewji (3)
38. Bakhresa (4)

LOWASA VP? maana tunaskia ameliibia sana taifa au za kwake nyingi zimefichwa ughaibuni hivyo hazijulikani?
 
duh! kweri bongo watu wana hela jamani, ila dangote funga kz.
mo yupo kimyaa kumbe bilionea safi sna hapo hawajachanganya za hawa wanasiasa zile za uswis
 
Richmond,EPA,Barrick,Vodacom(kodi) and the list goes on
 
Mbona Bakhressa ndio namba moja Tanzania imekuwaje?

Halafu yule Msudani wa Airtel mbona hayupo ?
 
Yaani Mengi ni Tajiri kuliko Bakresa?
 
Bakhresa kaka jipange,Mengi ongeza mtonyo ufike juu,K-lyn askuchune sanaRostam,kaka dai chenji zako za DOWANS uongeze mkwanja ufike on top 10.Mo Dewji,ongeza ubora wa bidhaa zako kaka..Lowassa kumbe walikuwa wanakuonea bure."Mrithi namba Moko" sijaona jitihada zako mbona?"Nlikuwepo"
 

sawa bwana!
 
nisingetarajia kumwona mtanzania kuwemo kwenye list ya matajiri kwan tz ni nchi maskini, nashangaa kuwaona watanzania kwenye hiyo


Maskini wewe kwa uvivu wako.
 
hii list kwa upande wa bongo imekaa kiuchokozi kweli, hawa Forbes wanatuchokoza wenye vijisent vyetu ili tutoe evidence ya account zetu za nje na ndani ndo na sisi tuandikwe hapo?? hahahahaha ngastuka na machale kundesa!
 
kwa hiyo kwa Tanzania tajiri wa kwanza ni
27.Rostam (1)
34. Mengi (2)
38. Dewji (3)
38. Bakhresa (4)

Katika orodha hii, kwa maoni yangu ni na (4) ndiye mwenye uwekezaji unaoonekana na kuendeshwa kitaalamu. Hao wengine ni wajanja wajanja tu!
 
pamoja na yote hayo Waziri. Mhongo anasema hawana hela ya kuwekeza kwenye Vitalu vya gesi!
 
Tatozo fobes wanafanyia kazi taarifa rasmi sio utajiri wa magumashi wa kusafisha hela haramu na madawa
 
Hata Bakhresa ni akina Mwinyi wamejifichia humo.
 
Mzee mengi anatisha kumbe ndiyo maana mtoto k-lyne huwa anajisemea rohoni<br>'' SURA TUTAVUMILIANA''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…