Rostam Aziz, ndiye tajiri namba moja Tanzania kwa sasa!!!

Kodi TRA wamelipa kiasi gani?Pia Jarida la Forbes kwa bahati mbaya halizingatii utajiri ulipatikanaje na kuwaengua wale wenye tuhuma za ufisadi hasa wanasiasa.Usishangae kwa Afrika hiyo List ikapinduka

Kwa muda mrefu sana Vodacom wamekuwa wakigomea kulipa kodi serikalini. Hii yote inatokana na Bw. Rostam Aziz ambaye kwa kweli amekuwa anajali kupata yeye kuliko mwingine yeyote, hasa serikali. Mimi nadhani serikali inabidi itazame upya kinachoendelea Vodacom. Kwenye nchi nyingine mashirika ya simu ndiyo yanayoongoza kwenye ulipaji wa kodi lakini si Tanzania. Kuna kasoro hapo.
 
Mohamed Singida
Rostam Tabora
Mengi kilimanjaro
Bakhreza Pemba

Wapi Zaramo ya Dar

Hahahaha ha hahaaaa mkuu unatuua!! Unajua binti kombo leo anachezwa ngoma? Na wa kwangu ni mwezi ujao,nitaftie mangi nimuuzie mashina kadhaa ya minazi kule charambe nipate pesa ya shughuli mie,nataka kwangu watu wacheze siku tano! Dalislama yote inanijua ati!! Achana na hao wakuja tumewapokea mjini leo wanaleta dharau ya kujenga mijigorofa hadi tunashindwa kuingia MSALANI
 
Last edited by a moderator:


Mkuu hata vodacom tu hautumii?? Hakuna jirani yako, kampuni yako au hata kampuni ya ndugu yako kama siyo nyumba yako mwenyewe inayolindwa na jamaa wanaitwa Ultmate securty??
 
Mbona wana pesa ndogo sana? Hakuna anayenifikia hapo!
 
Mkuu mbona sioni bilionea hata mmoja toka Arusha hapo?
Tatizo lenu watoto wa arusha mkiokota kabilion kamoja mnataka tanzania nzima wajue mnapenda sana media thats why mnakufa kijinga kumbe wenye hela zao wametulia tu. njooni bongo mjifunze
 
Tatizo la ma chaliii wa chuga tunaona kuwa ar ndio kila kitu..gap la maskini na tajiri arusha kubwa sana na hata hao wenye kujiita wana pesa ni pesa za matangazo....anyway. .madini na utalii basi..madini enyewe chenga...na utalii hadi season. Ila bakhresa unamla na kumnywa daily.
 
Rostam ana mahela lakini hamshindi Bakhressa .
Rostam ana miliki kampuni ya milambo 1 ambayo ina hisa 47 pale Vodacom na kampuni yake ya Caspian ( civil company ) imekeza sana kwenye machimbo ya madini na ipo vizuri sanaa..!!
 
Mwenye data please,Mengi,Mo,Bakhresa wote tunajua biashara zao(angalao chache) haya huyu NO 1,biashara zake ni zipi??????kumbuka alishakanusha kuwa RICHMOND sio yake sasa yake ni ipi mpaka kuwa number 1??

Pole kwa hilo!!!!!!!!!!!Anamiliki 35% ya hisa za Vodacom Tanzania, anamilki kampuni kubwa sana ya ujenzi na shughuli za Migodi-Caspean ambayo pia kabla ya 2010 ilipata tenda S.A kujenga viwanja vya world cup, anamiliki New Habari Corporation, na kwa sasa ameachana na siasa za majitaka ndani ya ccm!!!swali langu ni kwa YUSUFU MANJI,YEYE VP?
 
Rostam ana mahela lakini hamshindi Bakhressa .
Rostam ana miliki kampuni ya milambo 1 ambayo ina hisa 47 pale Vodacom na kampuni yake ya Caspian ( civil company ) imekeza sana kwenye machimbo ya madini na ipo vizuri sanaa..!!

Mkuu usiongozwe na hisia ongozwa na fact!so wewe unapingana na FORBES?
 
Huyo Rostam hizo ni pesa za Kagoda na Deep Green!!!!! Mwizi mkubwa huyu. Matajiri wa ukweli ni Mengi na Bhakresa!!!!

Tiba
dig enaf kuhusu hao matajri wako wa ukweli na historia za utajiri wao. nyuzi zimo humhumu jf.:tinfoil3:
 
Nashukuru kwa taarifa za hao matajiri, LAKINI je mchango wa uchumi hao matajiri kwa watanzania unaonekana???

 
wezi tu maaaana hata wachofanya biashara hawalipi kodi ni halali kuwa matrajili siwalipi kodi
 
Bakhresa sasa ushakuwa tajiri wa Kutisha wizi wa umeme uache sasa... au ndio hasidi aachi asili
 
Yaani Mengi ni Tajiri kuliko Bakresa?
Nilisoma Citizen ya jana, mengi alidai kuna baadhi ya biashara zake hazikuhesabiwa, huenda he is the richest man in tz
 
Katika orodha hii, kwa maoni yangu ni na (4) ndiye mwenye uwekezaji unaoonekana na kuendeshwa kitaalamu. Hao wengine ni wajanja wajanja tu!

mkuu hebu muongeze na Mengi naye anajitahidi kwangu mimi namba 4 ndo wakwanza
 
Wana JF
Napenda kuchukua nafasi hii kumpa hongera huyu tycoon!!!!

Ameweza kutumia vema siasa na kuchuma mali na kuziwekeza hapahapa nchini, (najua 99% ya wanasiasa wanakwapua kodi na kukimbiza nje.... Nawalaani). Hongeraaaaa




Rostam Azizi
Net Worth $1 B As of November 2013

At a Glance Age: 49 Source of Wealth: telecom, investments, self- made

Country of Citizenship: Tanzania Marital

Status: Married

Richest Profile Rostam Azizi debuts as a billionaire on Forbes list
of Africa's Richest this year. A fifth generation
Tanzanian of Persian origin, he owns a 35% stake
in Vodacom Tanzania, the largest mobile phone
company in Tanzania, with over 9.5 million
subscribers. He also owns Caspian Mining, a contract mining company that provides mining
services to giants like BHP Billiton and Barrick
Gold, and a minority stake in a container terminal in
Tanzania. Additional assets include real estate in
Tanzania and several Middle Eastern countries.

Source: Forbes
 
Akiwa kama muweka hazina mstaafu wa CCM atuambie mali za SUKITA ziko wapi? Kama hatujulishi tutachukulia ndio hizohizo ame-transform ktk mali zake binafsi. Kitengo cha uchumi cha CCM (SUKITA) kilipata mtaji wa mabilioni ya shilingi kutoka serikani wakati wa chama kimoja hivyo SUKITA ilikuwa mali ya umma ambayo kwa sasa imeyeyuka kwenda kwa akina ROSTAM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…