Barabara imeanza kuchoka Tanroads hoi
Everything is coincidence until truth reveals hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya ,wakina kigogo,watu wanaolipwa kupindisha ukweli, kusapot ata ambayo hayataikiw kusapotHope ni speculation tu na imani yako though...
Everything is coincidence until truth reveals hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya ,wakina kigogo,watu wanaolipwa kupindisha ukweli, kusapot ata ambayo hayataikiw kusapot
Magu suala la Lissu hawezi kurukayumo. kwanini tuhuuma zilipoelekezwa kwake hakuonesha jitihada zozote za kuwabaini wahusika ili wachukuliwe hatua. Magu aliwatuma wauaji. akafa yeye
Msoga anatakiwa kufa tu, period, otherwise hamna kitu kitafanyika, Rostam sio mwanasiasa ni mfanyabiashara yani anaitiwa mali za makenge na wanasiasa (apedomia syndrome) ili wapate tende na halua (RIP Mtikila) na kama mfanyabiashara yoyote mwingine akiona fursa hawezi kuacha!
Tunazunguka saaaana!
🤣Haya muda wa chai 😂
hahaha umenikumbusha swaiba wangu Mtikira aliishiwa kipindi fulani akaenda kulipa hela kwa RA.
dah amekufa na hoja yake ya Tanganyika.
RIP mwamba Mtikira .
ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
Porojo tu za vijiwe vya kahawa vya ilala temeke na gerezani.Ulisema Mwezi wa 7 kutatokea Msiba Mzito,
Vipi tuendelee kusubiri????
Acheni kuchukia matajiri,tafuteni hela vizazi vyenu viepuke makasiriko
Mwamba kweli kweli, mka shindwa kumlinda jemedari.hahaha umenikumbusha swaiba wangu Mtikira aliishiwa kipindi fulani akaenda kulipa hela kwa RA.
dah amekufa na hoja yake ya Tanganyika.
RIP mwamba Mtikira .
ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
Shemeji u hali gani?, naona Ume chelewa kuamka 😅
Hakuna serikali ya wasafi kwa asilimia 100 duniani, haipo hata moja. Roma inayoongozwa na Papa ina ufisadi sembuse Tanzania!.Hata kama anarudi, mtashindwa kunyamazisha sauti za wananchi mtandaoni, elewa hicho. Tuna haki ya kuwa na maoni. Yale mambo ya kihuni yaliyopitiliza mliofanya awamu ya 4 mtashindwa, yamepitwa na wakati. Dunia imefunguka. Hamna kitu mtaweza kufanya ndani ya nchi kisitoke nje. Na ndio kinachoponza vijana watukutu, wamekuwa wajeuri, sasa vitu vyao vimeanikwa na vinaaibisha mtandao mzima.
Hela zinazoibwa, mali zinazonunuliwa ndani na nje ya nchi, hata mkitumia diplomatic passports, mnaacha footprints kila mahali, na mna-advantage ya ufisadi na uharibifu serikalini ambao hai-hold wahalifu accountable but from anywhere at anytime ikitokea serikali ndani au nje ya nchi ambayo iko ready kuwa serious na kuforce wezi na wauaji kuwajibika justice will be served -- inaweza ikachuka miaka 10, 20, hata 100 -- kila kitu kitajulikana na Mungu anavyotujali justice delayed isn't justice denied -- watayapata kotekote.
Kuiba na kutakatisha hela mnabreak international laws -- lakini mkiletewa ushahidi serikali ifanye kazi yenyewe hamna kinachofanyika miaka nenda rudi (allegedly). Mnapewa sovereignty mnaimis-use (allegedly). International co-operation kupinga uhalifu upo -- simumeona Teddy alivyonyanganywa nyumba Paris na magari Geneva -- ndio maana kuna wenye viwanja mia hapa nyumbani (allegedly) -- it is easier kumake sure serikali ya hapa inabaki ilivyokuliko kurisk kunanganywa mali huko nje.
Aliamuwa kufunika kombe tu Jpm si wa kumuua lis kwa stail ile yani mi boss wako ninakulipa mshahara nakujuwa adi unapokunya nishindwe kukumaliza kirafiki?kwanini itumike njia ya kishenzi jpm alitakuwa kwamba he fuvcked up with this . What if angeruhusu uchunguzi alafu ikagundulika ni mtu mkubwa kama yeye ingeleta taswira gani,ok muda umepita jpm keshakufa kwanini adi leo file la lis halijafufuliwa? Na bado anapitia mateso mengine. Likifufuliwa la Lis bas na jpm kifo chake kitatakiwa kufanyiwe uchunguzi wa huruMagu suala la Lissu hawezi kuruka
Mmh! Nimepotea mazimaYule aliejilengesha kwenye Vinyago vyenye Camera
Mfanyabiashara ana financial indicators tu na kila senti anayotoa anaifactor tu kwenye ROI, IRR, Risk analysis nk, so wanasiasa kupata kande za siku moja wkt biashara italipa hamna ntu ataacha kubeba mzigo mkuu! Ndio fact, rostam ni rais wa shitholeni kwa kuwa mzawa wa kwanza kauuza ukubwa wake kwa kande za dengu!
Hata tukiongea na kutoa cheche mdomoni, rostam hajapanda mahali bila kupandishwa
LAAliamuwa kufunika kombe tu Jpm si wa kumuua lis kwa stail ile yani mi boss wako ninakulipa mshahara nakujuwa adi unapokunya nishindwe kukumaliza kirafiki?kwanini itumike njia ya kishenzi jpm alitakuwa kwamba he fuvcked up with this . What if angeruhusu uchunguzi alafu ikagundulika ni mtu mkubwa kama yeye ingeleta taswira gani,ok muda umepita jpm keshakufa kwanini adi leo file la lis halijafufuliwa? Na bado anapitia mateso mengine. Likifufuliwa la Lis bas na jpm kifo chake kitatakiwa kufanyiwe uchunguzi wa huru
Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.
Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .
Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!.
Jamaa akainunua Petra Diamonds na ndiye mfadhili wa Royal Tour.
Na sasa RA ndo anaiendesha serikali ya Malawi hapo kwa 100%
Huyu huyu RA baada ya kaka Fulan wa Upinzani kuanza kuingilia masuala ya Makaa ya stone akapiga simu muda huo huo
Kwa Marco Chilya kwamba kijana awekwe ndani na hakujua chaji ipi apewe kwa muda huo hadi walipowasiliana zaidi kupitia namba 071500...56,
Lissu yuko ndani kwa maelezo ya Rostam mkuu wa kaya kwa kuwa wameingilia ugali wao.
Hii ya makaa ya Mawe kupitia sasa kwa Athumani Kilatimi wa Lindi amepewa jukumu la kumsaka Humphrey Polepole !!
Baadae naendelea hii ni 1/100 hints za Uzi ujao
Hakuna serikali ya wasafi kwa asilimia 100 duniani, haipo hata moja. Roma inayoongozwa na Papa ina ufisadi sembuse Tanzania!.
Katikati ya vita za kupambana na ufisadi yapo mengi chanya yanayofanyika kila kukicha.