johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
KADA Maarufu wa CCM na mfanyabiashara aliyeahidiwa Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini na Shujaa Magufuli ndugu yetu Rostam Aziz amesema Uwekezaji umeendelea kuimarika kutoka Viwango vidogo hadi vikubwa katika vipindi vyote vya Utawala.
Aziz amesema amekuwa kwenye biashara kwa miaka 32 Sasa na kwamba Kwa muda wote Uchumi umekuwa ukiendelea kukua.
Kuhusu Gesi Asilia Aziz amesema ucheleweshaji ulisababishwa na Juhudi za Serikali kupata makubaliano mazuri zaidi Ili Kuepuka Laana ya Rasilimali.
Soma Pia: LNG Project: Njooni tujadili unadhani kwanini mradi wa gesi ya LNG unachelewa na nini chakufanya ili utekelezwe kwa wakati
Na kuhusu DP World mfanyabiashara huyu Rafiki kipenzi Cha Shujaa Magufuli na sasa akimsaidia kwa karibu Mpendwa Wetu Mh Rais Samia amesema Wanafanya vizuri na hakunaga uchelewesho wa Meli tena.
Source Mwananchi