Rostam Aziz: Nimekuwa Kwenye Biashara kwa miaka 32 Sasa, kuchelewa Mradi wa Gesi Asilia ilikuwa ni kupata Mkataba Bora na Kuepuka Laana ya Rasilimali!

KADA Maarufu wa CCM na mfanyabiashara aliyeahidiwa Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini na Shujaa Magufuli ndugu yetu Rostam Aziz amesema Uwekezaji umeendelea kuimarika kutoka Viwango vidogo hadi vikubwa katika vipindi vyote vya Utawala.

Aziz amesema amekuwa kwenye biashara kwa miaka 32 Sasa na kwamba Kwa muda wote Uchumi umekuwa ukiendelea kukua.

Kuhusu Gesi Asilia Aziz amesema ucheleweshaji ulisababishwa na Juhudi za Serikali kupata makubaliano mazuri zaidi Ili Kuepuka Laana ya Rasilimali.

Soma Pia: LNG Project: Njooni tujadili unadhani kwanini mradi wa gesi ya LNG unachelewa na nini chakufanya ili utekelezwe kwa wakati

Na kuhusu DP World mfanyabiashara huyu Rafiki kipenzi Cha Shujaa Magufuli na sasa akimsaidia kwa karibu Mpendwa Wetu Mh Rais Samia amesema Wanafanya vizuri na hakunaga uchelewesho wa Meli tena.

Source Mwananchi
Eti kipenzi cha magufuli? Shenzi kabisa. Huyu mwizi na mpigaji mkubwa nchini kwetu unasema kipenzi cha magufuli? Mtu usiwe kibaraka kupromote watu hatari kwa nchi. Hakuna kashfa kubwa za hujuma na upigaji mkubwa nchi hii jina la Rostam Aziz halitajwi. Mtoa hoja kua makini kuna wawekezaji wansleta mtaji nvhini ambao ndio taifa linawahitaji na kuna wapigaji ambao lengo lao ni kuiba rasmali za umma. Watu hao taifa linapaswa kujihadhari nao.
 
Jamaa kapiga bingo sasa anajipongeza😅😅
KADA Maarufu wa CCM na mfanyabiashara aliyeahidiwa Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini na Shujaa Magufuli ndugu yetu Rostam Aziz amesema Uwekezaji umeendelea kuimarika kutoka Viwango vidogo hadi vikubwa katika vipindi vyote vya Utawala.

Aziz amesema amekuwa kwenye biashara kwa miaka 32 Sasa na kwamba Kwa muda wote Uchumi umekuwa ukiendelea kukua.

Kuhusu Gesi Asilia Aziz amesema ucheleweshaji ulisababishwa na Juhudi za Serikali kupata makubaliano mazuri zaidi Ili Kuepuka Laana ya Rasilimali.

Soma Pia: LNG Project: Njooni tujadili unadhani kwanini mradi wa gesi ya LNG unachelewa na nini chakufanya ili utekelezwe kwa wakati

Na kuhusu DP World mfanyabiashara huyu Rafiki kipenzi Cha Shujaa Magufuli na sasa akimsaidia kwa karibu Mpendwa Wetu Mh Rais Samia amesema Wanafanya vizuri na hakunaga uchelewesho wa Meli tena.

Source Mwananchi
 
Eti kipenzi cha magufuli? Shenzi kabisa. Huyu mwizi na mpigaji mkubwa nchini kwetu unasema kipenzi cha magufuli? Mtu usiwe kibaraka kupromote watu hatari kwa nchi. Hakuna kashfa kubwa za hujuma na upigaji mkubwa nchi hii jina la Rostam Aziz halitajwi. Mtoa hoja kua makini kuna wawekeza ambao ndio taifa linawahitaji na kuna wapigaji ambao lengo lao ni kuiba rasmali za umma. Watu hao taifa linapaswa kujihadhari nao.
Ata ukasirike ndo ukweli magufuli alimwita rostam ikulu huku anacheka mpaka gego la mwisho linaonekana
 
KADA Maarufu wa CCM na mfanyabiashara aliyeahidiwa Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini na Shujaa Magufuli ndugu yetu Rostam Aziz amesema Uwekezaji umeendelea kuimarika kutoka Viwango vidogo hadi vikubwa katika vipindi vyote vya Utawala.

Aziz amesema amekuwa kwenye biashara kwa miaka 32 Sasa na kwamba Kwa muda wote Uchumi umekuwa ukiendelea kukua.

Kuhusu Gesi Asilia Aziz amesema ucheleweshaji ulisababishwa na Juhudi za Serikali kupata makubaliano mazuri zaidi Ili Kuepuka Laana ya Rasilimali.

Soma Pia: LNG Project: Njooni tujadili unadhani kwanini mradi wa gesi ya LNG unachelewa na nini chakufanya ili utekelezwe kwa wakati

Na kuhusu DP World mfanyabiashara huyu Rafiki kipenzi Cha Shujaa Magufuli na sasa akimsaidia kwa karibu Mpendwa Wetu Mh Rais Samia amesema Wanafanya vizuri na hakunaga uchelewesho wa Meli tena.

Source Mwananchi
Rostam ni dalali wa mali za umma
 
Tuendelee kutumia gesi ya kupikia hii ndio nishati safi.
 
Back
Top Bottom