Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Huyu mwandishi something is wrong na maandishi yake, kwa sababu anasahau kuwa Kiwete, alitoa hotuba nzito Zanzibar kabla ya kwenda Dodoma, akikaripia sana viongozi wasiofuata maadili ya uongozi, ambao alisema wamelihujumu sana taifa letu,

exactly, Kiwete alikuwa anamuongelea nani? Kama Lowassa ni bora na Kikwete alikuwa anampenda sana kama muandishi anavyotaka tuamani then why alimnyima umakamu wa ccm? Ilikuwaje Rostam akatolewa kwenye uweka hazina kama Kikwete anawapenda sana hawa?

Ukweli ni kwamba Lowassa na Rostam ni marafiki wa karibu sana wa Kikwete, sio siri, lakini pressure za wananchi ndio zimemfanya Kikwete kuwafanyia ambayo hakutaka kabisaa, na wao hawamkusaidia au kujisaidia wenyewe kutokana na mambo waliyoyafanya ya uwizi, muandishi ninaaamini kuwa anajaribu kuwafagilia hao watu lowassa na rostam, nilisema siku nyingi kuwa hawa wawili wana mtu huko Tanzania Daima, maana mara nyingi huyu mkuu huchukua mpango toka kwa hawa wakuu na kuua articles za kuwatwanga.

Kikwete, kama ana huzuni sana basi na yeye aoondoke awafuate wenziwe, kikwete, hawezi kushindana na bunge, na hasa sasa baada ya Kingunge, na lowassa kuondoka, it is over, six na lowassa ilikuwa paka na panya, kwa sababu lowassa alikuwa akimtisha sana six, sasa ni six ndiye mwenye ubavu ndani ya bunge, kwa hiyo kama kikwete akiendelea na kucheza na taifa letu itakuwa ni bad news kwake toka bungeni kila siku, maana hana mtu tena mle Makamba hawezi tisha mtu, baraza alilochagua sasa ukweli ni temporary tu, mimi ninaamini kuwa bado kuna viongozi ambao kikwete angependa kuwatema anasubiri wakanyagwe na bunge tena,

Rostam should understand kuwa mwisho wake kisiasa, unakaribia sana, so far anashikilia uzi wa sindano tu, serikali imepewa miezi mitatu kujibu mapendekezo ya kamati ya Mwakyembe, na pm ameahidi kiyajibu, wakati tunasubiri hayo hatuhitaji kudanganywa na hawa waandishi uchwara!

Amina mkuu, nadhani huyu bwana pia aangalia anachoandika maana hapa JF hapendwi mtu hata awe mwandishi wa habari
 
Mkuu

Ukipewa Mtoto Umulee akakushinda unamrudisha kwao tu.

Huyu jamaa amepata faida nyingi amelelewa vizuri Tanzania mimi nafikiri amechoka.

Sasa anaanza kuanzisha makampuni ya kutuibia wananchi wa kawaida, dawa yake ni moja tu, inafaa kurudishwa kwao.

Vinginevyo afuate sheria za nchi, UFISADI atafute sehemu za kuufanyia na siyo Tanzania.

Inafaa arudishwe kwao???????????
Kwao ni wapi?????
 
Rostam: Siwajui Richmond

na Mwandishi Wetu

MFANYABIASHARA na Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz (CCM), amesema hana uhusiano wowote, na wala haijui Kampuni ya Richmond Development Company LLC ambayo ilishinda zabuni ya kuzalisha umeme wa dharura baada ya kuingia mkataba wenye utata na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).
Kauli hiyo ya kwanza kutolewa hadharani nje ya Bunge na Rostam, mmoja wa wafanyabiashara na rafiki mkubwa wa Rais Jakaya Kikwete, na aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa, inakuja siku kadhaa sasa tangu jina lake lihusishwe kwa kiwango kikubwa na kampuni hiyo hewa, ambayo utata kuhusu kuwapo kwake na namna ilivyoshinda zabuni katikati ya mwaka 2006, vilibainishwa na Kamati Teule ya Bunge iliyoongozwa na Mbunge wa Kyela, Dk. Harrison Mwakyembe.

Rostam aliyepata kuwa Mweka Hazina wa CCM Taifa hadi mwaka ujana, alitoa kauli ya kuikana Richmond jana, wakati alipofanya mahojiano ya simu na Tanzania Daima, alipotakiwa kutoa ufafanuzi wa kinachosababisha jina lake lihusishwe na kampuni hiyo ya kitapeli na ile ya Dowans ambayo ilirithi mkataba wa Richmond.

Alisema, haijui kabisa kampuni hiyo, hawajui wamiliki wake na wala hajapata kuwasiliana nayo. Mbali ya hilo, Rostam ambaye nyota yake ilianza kuingia doa tangu alipotajwa kuwa kwenye orodha ya mafisadi (The List of Shame) iliyotangazwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, aliieleza Tanzania Daima kwamba, iwapo kampuni hiyo ingelikuwa ni yake, basi isingekuwa rahisi kushindwa kuileta mitambo ya kuzalisha umeme wa dharura kama ilivyotokea kwa Richmond.

“Siijui hata kidogo, siwatambui na siwafahamu. Mimi ni mfanyabiashara, sina sababu ya kuficha, kama ingekuwa ni kampuni yangu, nisingeshindwa kutekeleza mradi huo. Leo hii kutokana na kuwepo kwa mawasiliano ya kutosha, si rahisi mmiliki wa kampuni hiyo asijulikane. Mimi sidhani kama imekuwa ni ngumu kiasi hicho,” alisema Rostam.

Wakati akikana kuifahamu Richmond na wamiliki wake, Rostam, alikiri kuwahi kutaka kufanya kazi na Kampuni ya Dowans Holdings S.A ambako Kampuni ya Richmond ililazimika kuhamishia mkataba wake huko, baada ya kushindwa kuutekeleza kwa muda uliowekwa.

“Mimi ni mkandarasi. Nina kampuni inaitwa Caspian. Sina uhusiano na Dowans ingawa niliomba kupatiwa kazi ya ukandarasi,” alisema Rostam.

Matamshi haya ya Rostam yanatokana na shaka iliyojitokeza baada ya Kamati Teule ya Bunge kueleza katika ripoti yake kwamba, iligundua kuwa Dowans iliwahi kutumia anwani ya barua pepe ya Kampuni ya Caspian Construction Ltd inayomilikiwa na mfanyabiashara na mwanasiasa huyo.

Akifafanua kuhusu hilo, Rostam alisema alilazimika kuacha anuani yake kwa Dowans baada ya kuomba kazi kwa kampuni hiyo.

“Nilipoomba kazi kama mkandarasi, nilitakiwa kuacha anuani, unapoomba kazi lazima uache anuani,” alisema kwa ufupi.

Akizungumza kuhusu kauli ya Kamati Teule ya Bunge kuwa alikwepa wito wa kwenda kuhojiwa juu ya anwani ya kampuni yake kutumiwa na Dowans, na pia baadhi ya wafanyakazi wa kampuni yake kusemekana kuwa wafanyakazi wa Dowans pia, alisema barua hiyo ya wito ilichelewa kumfikia.

“Barua ya kuitwa kwenye kamati inaonekana iliandikwa Desemba 24, 2007 ikieleza kuwa niende kuwaona Desemba 27,2007, lakini hata hivyo barua niliipata tarehe 2 Januari, 2008 baada ya kamati kumaliza kazi yake. Kipindi hicho cha mwezi Desemba, mimi nilikuwa nje ya nchi nikiwa likizo na familia yangu,” alisema Rostam.

Alipoulizwa kuhusu ushahidi uliotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Salvatory Rweyemamu kuwa yeye ndiye aliyemuunganisha na Mkurugenzi wa Richmond, Mohammed Gire kufanya kazi ya ushauri wa habari katika kampuni hiyo, Rostam alikana kwa kusema kuwa, alichowahi kufanya ni kumuunganisha kufanya kazi kama hiyo kwa kampuni ya uwakala wa kupakua mizigo bandarini.

“Si kweli. Mimi sikumuunganisha na watu wa Richmond, isipokuwa nilimuunganisha na Kampuni ya Freight Forwarders inayomilikiwa na Hassan Dala ya kupakua mizigo bandarini, walikuwa wanatafuta PR company (kampuni inayojihusisha na masuala ya mahusiano ya umma) na hiyo kampuni ya uwakala wa mizigo ndiyo ninayotumia mimi katika shughuli zangu,” alisema Rostam.

Aidha akizungumzia uamuzi wa Bunge wa kutaka athibitishe au afute kauli yake kuwa, Kamati Teule ilifanya kazi yake nje ya muda iliyopewa, alisema hilo atalizungumzia bungeni, ambako atatoa ufafanuzi wa kauli yake hiyo.

Katika majumuisho ya mjadala wa ripoti yake, Kamati Teule ililiomba Bunge limtake Rostam kufuta au kuthibitisha kauli yake kwamba ilifanya kazi nje ya muda iliyopangiwa.

Hata hivyo, Rostam hakuweza kufuta au kuthibitisha kauli yake hiyo kwa sababu hakuwepo bungeni kwa kipindi kirefu baada tu ya kamati kutangaza ripoti yake.

Kuhusu Kampuni ya Kagoda Agriculture Ltd ambayo ilitajwa katika orodha ya kampuni zilizohusika kuchota fedha za akaunti ya madeni ya nje (EPA) ambayo jina lake linatajwa kuhusishwa nayo, Rostam ambaye jana alikuwa akitoa majibu mafupi kwa kila swali aliloulizwa, alikana pia na kusema kuwa haijui kabisa kampuni hiyo.

Kampuni ya Kagoda inadaiwa kuchotewa kiasi cha zaidi ya sh bilioni 40 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wiki nne tu baada ya kusajiliwa. Na yapo madai zaidi kwamba, sehemu ya fedha hizo zilitumika katika kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 zilizomuingiza madarakani Rais Jakaya Kikwete, jambo ambalo hata hivyo lilipata kukanushwa na Katibu Mkuu wa CCM, Yussuf Makamba.

Katika kuonyesha kuwa tuhuma zinazoelekezwa kwake hazijamyumbisha kisiasa, Rostam alisema kutajwa kwa jina lake katika kashfa ya Richmond na ile ya BoT hakujamshushia hadhi kama mbunge wa Igunga, kwa sababu bado wapigakura wake wanampenda na kumuunga mkono.

“Kashfa hizi hazijanishushia hadhi, wananchi wa Igunga wananiunga mkono. Hizo ni chuki za kisiasa, hata Mwakyembe alipotoa ripoti yake, hakusema kama Kampuni ya Richmond ni ya kwangu,” alisisitiza Rostam kisha akakata simu.
 
Siijui hata kidogo, siwatambui na siwafahamu. Mimi ni mfanyabiashara, sina sababu ya kuficha, kama ingekuwa ni kampuni yangu, nisingeshindwa kutekeleza mradi huo. Leo hii kutokana na kuwepo kwa mawasiliano ya kutosha, si rahisi mmiliki wa kampuni hiyo asijulikane. Mimi sidhani kama imekuwa ni ngumu kiasi hicho, alisema Rostam.

Wakati akikana kuifahamu Richmond na wamiliki wake, Rostam, alikiri kuwahi kutaka kufanya kazi na Kampuni ya Dowans Holdings S.A ambako Kampuni ya Richmond ililazimika kuhamishia mkataba wake huko, baada ya kushindwa kuutekeleza kwa muda uliowekwa.

Mimi ni mkandarasi. Nina kampuni inaitwa Caspian. Sina uhusiano na Dowans ingawa niliomba kupatiwa kazi ya ukandarasi, alisema Rostam.

Matamshi haya ya Rostam yanatokana na shaka iliyojitokeza baada ya Kamati Teule ya Bunge kueleza katika ripoti yake kwamba, iligundua kuwa Dowans iliwahi kutumia anwani ya barua pepe ya Kampuni ya Caspian Construction Ltd inayomilikiwa na mfanyabiashara na mwanasiasa huyo.

Akifafanua kuhusu hilo, Rostam alisema alilazimika kuacha anuani yake kwa Dowans baada ya kuomba kazi kwa kampuni hiyo.

Nilipoomba kazi kama mkandarasi, nilitakiwa kuacha anuani, unapoomba kazi lazima uache anuani, alisema kwa ufupi.

Akizungumza kuhusu kauli ya Kamati Teule ya Bunge kuwa alikwepa wito wa kwenda kuhojiwa juu ya anwani ya kampuni yake kutumiwa na Dowans, na pia baadhi ya wafanyakazi wa kampuni yake kusemekana kuwa wafanyakazi wa Dowans pia, alisema barua hiyo ya wito ilichelewa kumfikia.

Barua ya kuitwa kwenye kamati inaonekana iliandikwa Desemba 24, 2007 ikieleza kuwa niende kuwaona Desemba 27,2007, lakini hata hivyo barua niliipata tarehe 2 Januari, 2008 baada ya kamati kumaliza kazi yake. Kipindi hicho cha mwezi Desemba, mimi nilikuwa nje ya nchi nikiwa likizo na familia yangu, alisema Rostam.

Alipoulizwa kuhusu ushahidi uliotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Salvatory Rweyemamu kuwa yeye ndiye aliyemuunganisha na Mkurugenzi wa Richmond, Mohammed Gire kufanya kazi ya ushauri wa habari katika kampuni hiyo, Rostam alikana kwa kusema kuwa, alichowahi kufanya ni kumuunganisha kufanya kazi kama hiyo kwa kampuni ya uwakala wa kupakua mizigo bandarini.

Si kweli. Mimi sikumuunganisha na watu wa Richmond, isipokuwa nilimuunganisha na Kampuni ya Freight Forwarders inayomilikiwa na Hassan Dala ya kupakua mizigo bandarini, walikuwa wanatafuta PR company (kampuni inayojihusisha na masuala ya mahusiano ya umma) na hiyo kampuni ya uwakala wa mizigo ndiyo ninayotumia mimi katika shughuli zangu, alisema Rostam.

Aidha akizungumzia uamuzi wa Bunge wa kutaka athibitishe au afute kauli yake kuwa, Kamati Teule ilifanya kazi yake nje ya muda iliyopewa, alisema hilo atalizungumzia bungeni, ambako atatoa ufafanuzi wa kauli yake hiyo.

Katika majumuisho ya mjadala wa ripoti yake, Kamati Teule ililiomba Bunge limtake Rostam kufuta au kuthibitisha kauli yake kwamba ilifanya kazi nje ya muda iliyopangiwa.

Hata hivyo, Rostam hakuweza kufuta au kuthibitisha kauli yake hiyo kwa sababu hakuwepo bungeni kwa kipindi kirefu baada tu ya kamati kutangaza ripoti yake.

Kuhusu Kampuni ya Kagoda Agriculture Ltd ambayo ilitajwa katika orodha ya kampuni zilizohusika kuchota fedha za akaunti ya madeni ya nje (EPA) ambayo jina lake linatajwa kuhusishwa nayo, Rostam ambaye jana alikuwa akitoa majibu mafupi kwa kila swali aliloulizwa, alikana pia na kusema kuwa haijui kabisa kampuni hiyo.

Kampuni ya Kagoda inadaiwa kuchotewa kiasi cha zaidi ya sh bilioni 40 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wiki nne tu baada ya kusajiliwa. Na yapo madai zaidi kwamba, sehemu ya fedha hizo zilitumika katika kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 zilizomuingiza madarakani Rais Jakaya Kikwete, jambo ambalo hata hivyo lilipata kukanushwa na Katibu Mkuu wa CCM, Yussuf Makamba.

Katika kuonyesha kuwa tuhuma zinazoelekezwa kwake hazijamyumbisha kisiasa, Rostam alisema kutajwa kwa jina lake katika kashfa ya Richmond na ile ya BoT hakujamshushia hadhi kama mbunge wa Igunga, kwa sababu bado wapigakura wake wanampenda na kumuunga mkono.

Kashfa hizi hazijanishushia hadhi, wananchi wa Igunga wananiunga mkono. Hizo ni chuki za kisiasa, hata Mwakyembe alipotoa ripoti yake, hakusema kama Kampuni ya Richmond ni ya kwangu, alisisitiza Rostam kisha akakata simu.

I THINK SOMEBODY IF NOT EVERYBODY KNOWS STHING. Its just a matter of who will put the bell around the cat's neck!
 
Rostam: Siwajui Richmond

na Mwandishi Wetu

“Mimi ni mkandarasi. Nina kampuni inaitwa Caspian. Sina uhusiano na Dowans ingawa niliomba kupatiwa kazi ya ukandarasi,” alisema Rostam.

Matamshi haya ya Rostam yanatokana na shaka iliyojitokeza baada ya Kamati Teule ya Bunge kueleza katika ripoti yake kwamba, iligundua kuwa Dowans iliwahi kutumia anwani ya barua pepe ya Kampuni ya Caspian Construction Ltd inayomilikiwa na mfanyabiashara na mwanasiasa huyo.

Akifafanua kuhusu hilo, Rostam alisema alilazimika kuacha anuani yake kwa Dowans baada ya kuomba kazi kwa kampuni hiyo.

Alipoulizwa kuhusu ushahidi uliotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Salvatory Rweyemamu kuwa yeye ndiye aliyemuunganisha na Mkurugenzi wa Richmond, Mohammed Gire kufanya kazi ya ushauri wa habari katika kampuni hiyo, Rostam alikana kwa kusema kuwa, alichowahi kufanya ni kumuunganisha kufanya kazi kama hiyo kwa kampuni ya uwakala wa kupakua mizigo bandarini.

Katika kuonyesha kuwa tuhuma zinazoelekezwa kwake hazijamyumbisha kisiasa, Rostam alisema kutajwa kwa jina lake katika kashfa ya Richmond na ile ya BoT hakujamshushia hadhi kama mbunge wa Igunga, kwa sababu bado wapigakura wake wanampenda na kumuunga mkono.

“Kashfa hizi hazijanishushia hadhi, wananchi wa Igunga wananiunga mkono. Hizo ni chuki za kisiasa, hata Mwakyembe alipotoa ripoti yake, hakusema kama Kampuni ya Richmond ni ya kwangu,” alisisitiza Rostam kisha akakata simu.

Huyu Rostam anatufanya kuwa sisi wajinga hatujui lolote kuhusu mawasiliano, eti anadai Dowans walitumia anwani yake kwa kuwa aliwapatia anwani hiyo wakati anaomba kazi?? what is that fool? kama kweli mbona hakujitokeza kushtaki au kulalamika kwamba Dowans wanatumia anwani yake bila ridhaa yake?

Zaidi ya hilo, anasema kuwa SALVA yule wa ikulu amesahau kuwa siku anamtambulisha kwa Mohamed Gire walikuwa wanaongea masuala ya bandari siyo ya Richmond. ikumbukwe kuwa SALVA alishawahi kueleza kuwa Richmond ni ya Rostam na Mohamed Gire.

Bila aibu Mbunge huyu anasema shutma hizi na jina lake kuwepo kwenye list of shame, hakumkoseshi kura kwani watu wa Igunga wanazidi kumpenda na kumfurahia. naaomba watu waliopo Igunga watuletee maoni ya watu wa Igunga. Kama taarifa hazijafika Igunga, zifanyike jitihada za kuwajulisha watu wa Igunga kuwa Mbunge wao si msafi, yupo kwenye orodha ya mafisadi.
 
Rostam: Siwajui Richmond

na Mwandishi Wetu
Tanzania Daima~Sauti ya Watu

MFANYABIASHARA na Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz (CCM), amesema hana uhusiano wowote, na wala haijui Kampuni ya Richmond Development Company LLC ambayo ilishinda zabuni ya kuzalisha umeme wa dharura baada ya kuingia mkataba wenye utata na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).
Kauli hiyo ya kwanza kutolewa hadharani nje ya Bunge na Rostam, mmoja wa wafanyabiashara na rafiki mkubwa wa Rais Jakaya Kikwete, na aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa, inakuja siku kadhaa sasa tangu jina lake lihusishwe kwa kiwango kikubwa na kampuni hiyo hewa, ambayo utata kuhusu kuwapo kwake na namna ilivyoshinda zabuni katikati ya mwaka 2006, vilibainishwa na Kamati Teule ya Bunge iliyoongozwa na Mbunge wa Kyela, Dk. Harrison Mwakyembe.

Rostam aliyepata kuwa Mweka Hazina wa CCM Taifa hadi mwaka ujana, alitoa kauli ya kuikana Richmond jana, wakati alipofanya mahojiano ya simu na Tanzania Daima, alipotakiwa kutoa ufafanuzi wa kinachosababisha jina lake lihusishwe na kampuni hiyo ya kitapeli na ile ya Dowans ambayo ilirithi mkataba wa Richmond.

Alisema, haijui kabisa kampuni hiyo, hawajui wamiliki wake na wala hajapata kuwasiliana nayo. Mbali ya hilo, Rostam ambaye nyota yake ilianza kuingia doa tangu alipotajwa kuwa kwenye orodha ya mafisadi (The List of Shame) iliyotangazwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, aliieleza Tanzania Daima kwamba, iwapo kampuni hiyo ingelikuwa ni yake, basi isingekuwa rahisi kushindwa kuileta mitambo ya kuzalisha umeme wa dharura kama ilivyotokea kwa Richmond.

“Siijui hata kidogo, siwatambui na siwafahamu. Mimi ni mfanyabiashara, sina sababu ya kuficha, kama ingekuwa ni kampuni yangu, nisingeshindwa kutekeleza mradi huo. Leo hii kutokana na kuwepo kwa mawasiliano ya kutosha, si rahisi mmiliki wa kampuni hiyo asijulikane. Mimi sidhani kama imekuwa ni ngumu kiasi hicho,” alisema Rostam.

Wakati akikana kuifahamu Richmond na wamiliki wake, Rostam, alikiri kuwahi kutaka kufanya kazi na Kampuni ya Dowans Holdings S.A ambako Kampuni ya Richmond ililazimika kuhamishia mkataba wake huko, baada ya kushindwa kuutekeleza kwa muda uliowekwa.

“Mimi ni mkandarasi. Nina kampuni inaitwa Caspian. Sina uhusiano na Dowans ingawa niliomba kupatiwa kazi ya ukandarasi,” alisema Rostam.

Matamshi haya ya Rostam yanatokana na shaka iliyojitokeza baada ya Kamati Teule ya Bunge kueleza katika ripoti yake kwamba, iligundua kuwa Dowans iliwahi kutumia anwani ya barua pepe ya Kampuni ya Caspian Construction Ltd inayomilikiwa na mfanyabiashara na mwanasiasa huyo.

Akifafanua kuhusu hilo, Rostam alisema alilazimika kuacha anuani yake kwa Dowans baada ya kuomba kazi kwa kampuni hiyo.

“Nilipoomba kazi kama mkandarasi, nilitakiwa kuacha anuani, unapoomba kazi lazima uache anuani,” alisema kwa ufupi.

Akizungumza kuhusu kauli ya Kamati Teule ya Bunge kuwa alikwepa wito wa kwenda kuhojiwa juu ya anwani ya kampuni yake kutumiwa na Dowans, na pia baadhi ya wafanyakazi wa kampuni yake kusemekana kuwa wafanyakazi wa Dowans pia, alisema barua hiyo ya wito ilichelewa kumfikia.

“Barua ya kuitwa kwenye kamati inaonekana iliandikwa Desemba 24, 2007 ikieleza kuwa niende kuwaona Desemba 27,2007, lakini hata hivyo barua niliipata tarehe 2 Januari, 2008 baada ya kamati kumaliza kazi yake. Kipindi hicho cha mwezi Desemba, mimi nilikuwa nje ya nchi nikiwa likizo na familia yangu,” alisema Rostam.

Alipoulizwa kuhusu ushahidi uliotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Salvatory Rweyemamu kuwa yeye ndiye aliyemuunganisha na Mkurugenzi wa Richmond, Mohammed Gire kufanya kazi ya ushauri wa habari katika kampuni hiyo, Rostam alikana kwa kusema kuwa, alichowahi kufanya ni kumuunganisha kufanya kazi kama hiyo kwa kampuni ya uwakala wa kupakua mizigo bandarini.

“Si kweli. Mimi sikumuunganisha na watu wa Richmond, isipokuwa nilimuunganisha na Kampuni ya Freight Forwarders inayomilikiwa na Hassan Dala ya kupakua mizigo bandarini, walikuwa wanatafuta PR company (kampuni inayojihusisha na masuala ya mahusiano ya umma) na hiyo kampuni ya uwakala wa mizigo ndiyo ninayotumia mimi katika shughuli zangu,” alisema Rostam.

Aidha akizungumzia uamuzi wa Bunge wa kutaka athibitishe au afute kauli yake kuwa, Kamati Teule ilifanya kazi yake nje ya muda iliyopewa, alisema hilo atalizungumzia bungeni, ambako atatoa ufafanuzi wa kauli yake hiyo.

Katika majumuisho ya mjadala wa ripoti yake, Kamati Teule ililiomba Bunge limtake Rostam kufuta au kuthibitisha kauli yake kwamba ilifanya kazi nje ya muda iliyopangiwa.

Hata hivyo, Rostam hakuweza kufuta au kuthibitisha kauli yake hiyo kwa sababu hakuwepo bungeni kwa kipindi kirefu baada tu ya kamati kutangaza ripoti yake.

Kuhusu Kampuni ya Kagoda Agriculture Ltd ambayo ilitajwa katika orodha ya kampuni zilizohusika kuchota fedha za akaunti ya madeni ya nje (EPA) ambayo jina lake linatajwa kuhusishwa nayo, Rostam ambaye jana alikuwa akitoa majibu mafupi kwa kila swali aliloulizwa, alikana pia na kusema kuwa haijui kabisa kampuni hiyo.

Kampuni ya Kagoda inadaiwa kuchotewa kiasi cha zaidi ya sh bilioni 40 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wiki nne tu baada ya kusajiliwa. Na yapo madai zaidi kwamba, sehemu ya fedha hizo zilitumika katika kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 zilizomuingiza madarakani Rais Jakaya Kikwete, jambo ambalo hata hivyo lilipata kukanushwa na Katibu Mkuu wa CCM, Yussuf Makamba.

Katika kuonyesha kuwa tuhuma zinazoelekezwa kwake hazijamyumbisha kisiasa, Rostam alisema kutajwa kwa jina lake katika kashfa ya Richmond na ile ya BoT hakujamshushia hadhi kama mbunge wa Igunga, kwa sababu bado wapigakura wake wanampenda na kumuunga mkono.

“Kashfa hizi hazijanishushia hadhi, wananchi wa Igunga wananiunga mkono. Hizo ni chuki za kisiasa, hata Mwakyembe alipotoa ripoti yake, hakusema kama Kampuni ya Richmond ni ya kwangu,” alisisitiza Rostam kisha akakata simu.
 
Rostam: Siwajui Richmond

na Mwandishi Wetu
Tanzania Daima~Sauti ya Watu

MFANYABIASHARA na Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz (CCM), amesema hana uhusiano wowote, na wala haijui Kampuni ya Richmond Development Company LLC ambayo ilishinda zabuni ya kuzalisha umeme wa dharura baada ya kuingia mkataba wenye utata na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).
Kauli hiyo ya kwanza kutolewa hadharani nje ya Bunge na Rostam, mmoja wa wafanyabiashara na rafiki mkubwa wa Rais Jakaya Kikwete, na aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa, inakuja siku kadhaa sasa tangu jina lake lihusishwe kwa kiwango kikubwa na kampuni hiyo hewa, ambayo utata kuhusu kuwapo kwake na namna ilivyoshinda zabuni katikati ya mwaka 2006, vilibainishwa na Kamati Teule ya Bunge iliyoongozwa na Mbunge wa Kyela, Dk. Harrison Mwakyembe.

Rostam aliyepata kuwa Mweka Hazina wa CCM Taifa hadi mwaka ujana, alitoa kauli ya kuikana Richmond jana, wakati alipofanya mahojiano ya simu na Tanzania Daima, alipotakiwa kutoa ufafanuzi wa kinachosababisha jina lake lihusishwe na kampuni hiyo ya kitapeli na ile ya Dowans ambayo ilirithi mkataba wa Richmond.

Alisema, haijui kabisa kampuni hiyo, hawajui wamiliki wake na wala hajapata kuwasiliana nayo. Mbali ya hilo, Rostam ambaye nyota yake ilianza kuingia doa tangu alipotajwa kuwa kwenye orodha ya mafisadi (The List of Shame) iliyotangazwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, aliieleza Tanzania Daima kwamba, iwapo kampuni hiyo ingelikuwa ni yake, basi isingekuwa rahisi kushindwa kuileta mitambo ya kuzalisha umeme wa dharura kama ilivyotokea kwa Richmond.

“Siijui hata kidogo, siwatambui na siwafahamu. Mimi ni mfanyabiashara, sina sababu ya kuficha, kama ingekuwa ni kampuni yangu, nisingeshindwa kutekeleza mradi huo. Leo hii kutokana na kuwepo kwa mawasiliano ya kutosha, si rahisi mmiliki wa kampuni hiyo asijulikane. Mimi sidhani kama imekuwa ni ngumu kiasi hicho,” alisema Rostam.

Wakati akikana kuifahamu Richmond na wamiliki wake, Rostam, alikiri kuwahi kutaka kufanya kazi na Kampuni ya Dowans Holdings S.A ambako Kampuni ya Richmond ililazimika kuhamishia mkataba wake huko, baada ya kushindwa kuutekeleza kwa muda uliowekwa.

“Mimi ni mkandarasi. Nina kampuni inaitwa Caspian. Sina uhusiano na Dowans ingawa niliomba kupatiwa kazi ya ukandarasi,” alisema Rostam.

Matamshi haya ya Rostam yanatokana na shaka iliyojitokeza baada ya Kamati Teule ya Bunge kueleza katika ripoti yake kwamba, iligundua kuwa Dowans iliwahi kutumia anwani ya barua pepe ya Kampuni ya Caspian Construction Ltd inayomilikiwa na mfanyabiashara na mwanasiasa huyo.

Akifafanua kuhusu hilo, Rostam alisema alilazimika kuacha anuani yake kwa Dowans baada ya kuomba kazi kwa kampuni hiyo.

“Nilipoomba kazi kama mkandarasi, nilitakiwa kuacha anuani, unapoomba kazi lazima uache anuani,” alisema kwa ufupi.

Akizungumza kuhusu kauli ya Kamati Teule ya Bunge kuwa alikwepa wito wa kwenda kuhojiwa juu ya anwani ya kampuni yake kutumiwa na Dowans, na pia baadhi ya wafanyakazi wa kampuni yake kusemekana kuwa wafanyakazi wa Dowans pia, alisema barua hiyo ya wito ilichelewa kumfikia.

“Barua ya kuitwa kwenye kamati inaonekana iliandikwa Desemba 24, 2007 ikieleza kuwa niende kuwaona Desemba 27,2007, lakini hata hivyo barua niliipata tarehe 2 Januari, 2008 baada ya kamati kumaliza kazi yake. Kipindi hicho cha mwezi Desemba, mimi nilikuwa nje ya nchi nikiwa likizo na familia yangu,” alisema Rostam.

Alipoulizwa kuhusu ushahidi uliotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Salvatory Rweyemamu kuwa yeye ndiye aliyemuunganisha na Mkurugenzi wa Richmond, Mohammed Gire kufanya kazi ya ushauri wa habari katika kampuni hiyo, Rostam alikana kwa kusema kuwa, alichowahi kufanya ni kumuunganisha kufanya kazi kama hiyo kwa kampuni ya uwakala wa kupakua mizigo bandarini.

“Si kweli. Mimi sikumuunganisha na watu wa Richmond, isipokuwa nilimuunganisha na Kampuni ya Freight Forwarders inayomilikiwa na Hassan Dala ya kupakua mizigo bandarini, walikuwa wanatafuta PR company (kampuni inayojihusisha na masuala ya mahusiano ya umma) na hiyo kampuni ya uwakala wa mizigo ndiyo ninayotumia mimi katika shughuli zangu,” alisema Rostam.

Aidha akizungumzia uamuzi wa Bunge wa kutaka athibitishe au afute kauli yake kuwa, Kamati Teule ilifanya kazi yake nje ya muda iliyopewa, alisema hilo atalizungumzia bungeni, ambako atatoa ufafanuzi wa kauli yake hiyo.

Katika majumuisho ya mjadala wa ripoti yake, Kamati Teule ililiomba Bunge limtake Rostam kufuta au kuthibitisha kauli yake kwamba ilifanya kazi nje ya muda iliyopangiwa.

Hata hivyo, Rostam hakuweza kufuta au kuthibitisha kauli yake hiyo kwa sababu hakuwepo bungeni kwa kipindi kirefu baada tu ya kamati kutangaza ripoti yake.

Kuhusu Kampuni ya Kagoda Agriculture Ltd ambayo ilitajwa katika orodha ya kampuni zilizohusika kuchota fedha za akaunti ya madeni ya nje (EPA) ambayo jina lake linatajwa kuhusishwa nayo, Rostam ambaye jana alikuwa akitoa majibu mafupi kwa kila swali aliloulizwa, alikana pia na kusema kuwa haijui kabisa kampuni hiyo.

Kampuni ya Kagoda inadaiwa kuchotewa kiasi cha zaidi ya sh bilioni 40 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wiki nne tu baada ya kusajiliwa. Na yapo madai zaidi kwamba, sehemu ya fedha hizo zilitumika katika kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 zilizomuingiza madarakani Rais Jakaya Kikwete, jambo ambalo hata hivyo lilipata kukanushwa na Katibu Mkuu wa CCM, Yussuf Makamba.

Katika kuonyesha kuwa tuhuma zinazoelekezwa kwake hazijamyumbisha kisiasa, Rostam alisema kutajwa kwa jina lake katika kashfa ya Richmond na ile ya BoT hakujamshushia hadhi kama mbunge wa Igunga, kwa sababu bado wapigakura wake wanampenda na kumuunga mkono.

“Kashfa hizi hazijanishushia hadhi, wananchi wa Igunga wananiunga mkono. Hizo ni chuki za kisiasa, hata Mwakyembe alipotoa ripoti yake, hakusema kama Kampuni ya Richmond ni ya kwangu,” alisisitiza Rostam kisha akakata simu.

Napenda sana kumuona mwizi na mkoloni Rostam Akiwa kwenye fense maana amezoea kweli kuwachafua wenzake. Huu ni mzimu wa Salim Ahmed Salim umeanza kumuandama baada ya kuongoza kampeni ya kumchafua ndugu yetu bila huruma hata kidogo
 
What did you expect to hear from this guy anyway?, what do you hear from EL who is currently in Arusha, trying to cheat the cheap uneducated and poor Tanzanians there? Hawa Mafisadi ndivyo walivyo, haya maneno wakayaseme mahakamani!
 
Mahakamani hawataki kwenda na JK hayuko tayari kuona wanaenda Mahakamani maana ni washikaji sasa wanabakia kubwata maana wanajua hawataguswa no matter what .Like Tanzanians are watching na kutunza kumbukumbu.
 
Napenda sana kumuona mwizi na mkoloni Rostam Akiwa kwenye fense maana amezoea kweli kuwachafua wenzake. Huu ni mzimu wa Salim Ahmed Salim umeanza kumuandama baada ya kuongoza kampeni ya kumchafua ndugu yetu bila huruma hata kidogo

Chuki za kibanfsi hizo na ndio zinawafanya msiwe na maendeleo. Kajibu hoja zote kiufasaha kabisa sasa tungoje tume na tungoje bungeni atsema nini, wewe unalalama tu.
 
Napenda sana kumuona mwizi na mkoloni Rostam Akiwa kwenye fense maana amezoea kweli kuwachafua wenzake. Huu ni mzimu wa Salim Ahmed Salim umeanza kumuandama baada ya kuongoza kampeni ya kumchafua ndugu yetu bila huruma hata kidogo

Chuki za kibanafsi hizo na ndio zinawafanya msiwe na maendeleo. Kajibu hoja zote kiufasaha kabisa sasa tungoje tume na tungoje bungeni atsema nini, wewe unalalama tu, unanikumbusha "debe tupu ..."
 
Mahakamani hawataki kwenda na JK hayuko tayari kuona wanaenda Mahakamani maana ni washikaji sasa wanabakia kubwata maana wanajua hawataguswa no matter what .Like Tanzanians are watching na kutunza kumbukumbu.

Mahakamni hawataki kwenda? si uwashitaki tu, ushahidi wote wa kuwafikisha mahakamani si unao? unangoja nini? mie nashangaa. Au ndio hakuna cha kusema tena.

Wacheni tume zilizoundwa zifanye kazi, na kila mmoja alietenda dhambi atahukumiwa kisheria na ambae hana dhambi ameingizwa kimazingira nae atajulikana. Au unaona waliounda zile tume na wale waliopo kwenye hizo tume ni wajinga? Ya nini kuandikia mate na wino upo?
 
Chuki za kibanafsi hizo na ndio zinawafanya msiwe na maendeleo. Kajibu hoja zote kiufasaha kabisa sasa tungoje tume na tungoje bungeni atsema nini, wewe unalalama tu, unanikumbusha "debe tupu ..."

Wewe bwana bongo una matatizo gani? hoja gani kajibu kiufasaha, wakati unaambiwa alikuwa anajibu kwa mkato makato? Wewe ni mfaidika na ufisadi nini? if yes, nawe shubiri yakungoja!! Your days are numbered!!
 
Mahakamni hawataki kwenda? si iwashitaki tu, ushahidi wote wa kuwafikisha mahakamni si unao? unangoja nini? mie nashangaa. Au ndio hakuna cha kusema tena.

Wacheni tume zilizoundwa zifanye kazi, na kila mmoja alietenda dhambi atahukumiwa kisheria na ambae hana dhambi ameingizwa kimazingira nae atajulikana. Ya nini kuandikia mate na wino upo?

Wewe ndio unaonekana kuwa huna cha kuandika hapa... au huna taarifa ya tume na kamati ngapi zimeundwa tayari kuchunguza kile ambacho tume na kamati zilizopita zilichunguza.. ohh nimekumbuka ninamjibu mtetezi wa mafisadi hapa so ... take time kusoma JF kabla ya kubwabwaja hapa.
 
Wewe bwana bongo una matatizo gani? hoja gani kajibu kiufasaha, wakati unaambiwa alikuwa anajibu kwa mkato makato? Wewe ni mfaidika na ufisadi nini? if yes, nawe shubiri yakungoja!! Your days are numbered!!

festog,

hii ni strategy waliyopanga baada ya jaribio lao kuzima JF kushindwa vibaya. Wameamua kuingia kwa wingi hapa JF na kujaribu ku-take over na kubadili mwelekeo wa thread.

Mission ya kwanza ya this guy ilikuwa ni kumshambulia mwanakijiji na aliposhindwa ameanza haya. Wewe kamata popcorn ushuhudie explosion kwani huyu tunaye hadi mwisho.

Ndio mwanzo tu game imeanza!
 
Wewe ndio unaonekana kuwa huna cha kuandika hapa... au huna taarifa ya tume na kamati ngapi zimeundwa tayari kuchunguza kile ambacho tume na kamati zilizopita zilichunguza.. ohh nimekumbuka ninamjibu mtetezi wa mafisadi hapa so ... take time kusoma JF kabla ya kubwabwaja hapa.

Pole Mw Kike naona imekuchukua muda kujua mshikaji yupo kwenye payroll ya kusafisha mafisadi ...Dar Es Salaam nadhani anakesha hapa JF kujibu tuhuma...sehemu ya Job description yake pole pole hapa hafagiliwi boss wako!!
 
Hakuna abwabwajae ila wewe, hakuna ateteae ufisadi hata kidogo, bali kwenye ukweli ni ukweli tu. JK anafanya kazi zake vyema kabisa na zinaonekana mpaka IMF na kwa Bush na mafisadi wanashughulikiwa kisheria na si kwa kukurupuka na waambie wakae mkao wa kula JK anakuja systematically. JK unanikuna mpaka ndani ya loho.
 
Pole Mw Kike naona imekuchukua muda kujua mshikaji yupo kwenye payroll ya kusafisha mafisadi ...Dar Es Salaam nadhani anakesha hapa JF kujibu tuhuma...sehemu ya Job description yake pole pole hapa hafagiliwi boss wako!!

Hii kazi itakuwa ngumu sana kwake maana anapambana na uma wa watanzania ambao wanalia kila siku kwa kukosa madawa huku Kikwete na wenzake serikalini wakiendelea kulipa richmond (hadi leo hii ninapoandika hii post) mamilioni ya dola for nothing!
 
Back
Top Bottom