Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Miafrika ndivyo Tulivyo!...
Yuko wapi, Nyani Ngabu!
Bado yuko jela!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miafrika ndivyo Tulivyo!...
Yuko wapi, Nyani Ngabu!
Huyu hapa https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/26072-1month-ban-nyani-ngabu.htmlMiafrika ndivyo Tulivyo!...
Yuko wapi, Nyani Ngabu!
Unajua nillikuwa napitia hii listi ya wala rushwa Kenya na mapesa waliyoiba naona sisi bado mwendo wetu ni mdogo mno...na itatuchukua miaka labda 20 kuwafikia hawa jirani zetu
hebu tazama hii hapa chini:
KTM report - Wikileaks
Kila nisomapo mambo ya hawa jamaa huwa namshukuru sana Mwalimu kwa urithi aliotuachia japo alikuwa mdini lakini kwa hili nampa 100
duh!
Huyu BIWOT ana ranchi ya hecta 100 AUSTRALIA! inamaan rift valley yote waliwauzia ma setla wa kiingereza au?
The looting of Kenya under President Moi - Wikileaks
Josiah Kiplagat
According to Source A, Josiah Kiplagat and separately Kulei arranged about seven or eight private meetings between ex-President Moi and Alnoor Kassam. During each occasion Kassam was advised to bring a briefcase stuffed with KSh2 to 4 million and to leave it behind after the meeting. This was considered payment for access to the president.
Alnoor Kassam
Alnoor Kassam was posed to buy a 25 percent holding of Nairobi's Intercontinental Hotel, held by Kulei. Kassam agreed the deal with Alec Furrer, a Lebanese businessman who was area manager for Intercontinental Hotels. Shortly before the deal was go to through, Kassam received a call to say that Kulei had called on behalf of the then president to inform them that Moi wanted the share. Moi and Kulei,Paid USD12 million for their share.
Huyu ni Alnoor Kassam wa Tanzania (aliyekuwa waziri wa fedha under Nyerere) au mwingine?
Nadhani yule wa Tz alikuwa ni Alnoor Kassum.Huyu ni Alnoor Kassam wa Tanzania (aliyekuwa waziri wa fedha under Nyerere) au mwingine?
Afadhali kwa jirani zetu, wezi wao wakuu ni wanaKenya na watazikwa hapo hapo chini kwao. Wezi wetu ni wakuja wanaotumia migongo ya WaTanzania na wengi wao watazikwa Ulaya, Asia, na Marekani - nje kabisa la continenti la Afrika.
Kibaya zaidi afadhali hata hizo za jirani zina hesabika, za Bongo hazihesabiki. Uchumi wa Dunia unasemekana umechangiwa kwa asilimia si ndogo na hazina ya Tanganyika katika kipindi cha miaka 20 na ushee - cha mlevi huliwa na mgema.
Jamhuri ya Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu - ukijua inavyoliwa na wageni utalia. Mara mia heri kwa jirani zetu - asilimia kubwa wanawekeza humo humo nchini. Wageni huingia Bongo wakiwa masikini, lakini huondoka mamilionea wakituachia mahandaki !!
Unajua nillikuwa napitia hii listi ya wala rushwa Kenya na mapesa waliyoiba naona sisi bado mwendo wetu ni mdogo mno...na itatuchukua miaka labda 20 kuwafikia hawa jirani zetu
hebu tazama hii hapa chini:
KTM report - Wikileaks
Kila nisomapo mambo ya hawa jamaa huwa namshukuru sana Mwalimu kwa urithi aliotuachia japo alikuwa mdini lakini kwa hili nampa 100
duh!
Huyu BIWOT ana ranchi ya hecta 100 AUSTRALIA! inamaan rift valley yote waliwauzia ma setla wa kiingereza au?
The looting of Kenya under President Moi - Wikileaks