Rostam Aziz Tanzania First Billionaire sells his Vodacom Shares (Forbes Magazine)

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
11,966
Reaction score
11,218
[h=1]Tanzania's Richest Man To Sell Stake in Vodacom[/h]
Tanzania’s richest man, Rostam Azizi, has agreed to sell off a significant chunk of his stake in mobile telecoms outfit Vodacom Tanzania to Vodacom Group Ltd, the African subsidiary of British telecoms giantVodafone Group PLC, according to a statement from Vodacom.

In a press release statement, the company said it had fulfilled all requirements as mandated by the Tanzanian regulatory authorities and that the transaction was now unconditional.

“As all the conditions precedent to the transaction have been fulfilled, the transaction is now unconditional and closing is expected to take place today, 29 April 2014,” the company said.
rostam6.jpg
Rostam Aziz

Last November, Vodacom announced it would spend up to R2.5 billion ($240 million) to acquire a 17.2% stake in Vodacom Tanzania from Cavalry Holdings, a Jersey island-registered private investment company wholly controlled by Rostam Azizi. Cavalry previously held a 35% in Vodacom Tanzania.

With this acquisition, Cavalry’s holding the company is now reduced to 17.8%, while Vodacom Group, a Johannesburg Stock Exchange-listed entity that previously owned a 65% stake in the company will now own 82.2%. Vodacom Tanzania, which has more than 10 million active subscribers, is the country’s largest mobile phone company, and Vodacom Group’s second most successful operation in Africa, after its South African unit that boasts more than 23 million subscribers.

Azizi, 49, is Tanzania’s first billionaire with a fortune estimated at $1 billion, derived from stakes in contract mining firm Caspian Mining, a Port in Dar es Salaam, extensive real estate in Tanzania and the Middle East and, of course, cash coming from the sale of his stake in Vodacom Tanzania,.
 
Hapa ndo najiuliza maswali mengi, inamana huyu jamaa alikuwa hapati faida? kama anapata kwanini aziuze?

Kweli ujanja kuwahi, ilikuwaje huyu jamaa alizipata hizi hisa?
 
Binafsi sijali aliweza vipi kumiliki hizo shares kuuza si lazima kutokane na hasara inaweza kuwa share zimeongezeka value na jamaa kaamua kuuza kutokana na faida zilizopo.

Hila cha kushangaza ni hiyo tax evasion iliyopo mbele ya macho yetu 'Calvary Holdings Ltd' ipo registered in Jersey ambapo serikari ya huko italipwa Tax ya 10% or $24 million dollars under their tax laws, after the transfer of shares. Wakati serikari ya Tanzania inaweza isiambulie hata shillingi wakati walipa kodi ndio wateja?

Je ni wakati wa kuangalia upya swala la kodi zetu maana 'Calvary Holdings' would have required to pay 30% of that $240 million something like $72 million dollars through Tanzania tax laws. Hizi ndio sababu wafanyabiashara kukwepa kodi sio Tanzania bali duniani, kama hatuwezi kupunguza kodi tunafanyaje kuzuia watanzania kukwepa kulipa kodi. Maana sisi ni maskini na hela inahitajika sana, hiyo $24 ambayo Jersey wanaipata ndiyo imetutoa macho kwenye sakata la rada kwa miaka mingi tu, wakati wao wanairudisha kiulaini sana.
 
Hapa kuna kiini macho. Hizo hisa ni za Edward Lowassa anachukua mshiko wake kabisa kwa ajili ya MAPAMBANO. Rostam hisa zake 17.2% zinabaki kama zilivyo.

Hii issue iliishabumbuliwa na Wazee wa Sauti ya Umeme, Field Marshal ES na watu tukaijadili, hapo ni hela ya kununulia urais. Uliza Kenya kama kuna mtu ali resist kununuliwa pale Rostam alipoingia kazini

cc Field Marshal ES Wazee wa Sauti ya Umeme
 
Hapa ndo najiuliza maswali mengi, inamana huyu jamaa alikuwa hapati faida? kama anapata kwanini aziuze?

Kweli ujanja kuwahi, ilikuwaje huyu jamaa alizipata hizi hisa?
Labda anataka kuwekeza kwenye black gold.
 
Binafsi sijali aliweza vipi kumiliki hizo shares kuuza si lazima kutokane na hasara inaweza kuwa share zimeongezeka value na jamaa kaamua kuuza kutokana na faida zilizopo.

Hila cha kushangaza ni hiyo tax evasion iliyopo mbele ya macho yetu 'Calvary Holdings Ltd' ipo registered in Jersey ambapo serikari ya huko italipwa Tax ya 10% or $24 million dollars under their tax laws, after the transfer of shares. Wakati serikari ya Tanzania inaweza isiambulie hata shillingi wakati walipa kodi ndio wateja?

Je ni wakati wa kuangalia upya swala la kodi zetu maana 'Calvary Holdings' would have required to pay 30% of that $240 million something like $72 million dollars through Tanzania tax laws. Hizi ndio sababu wafanyabiashara kukwepa kodi sio Tanzania bali duniani, kama hatuwezi kupunguza kodi tunafanyaje kuzuia watanzania kukwepa kulipa kodi. Maana sisi ni maskini na hela inahitajika sana, hiyo $24 ambayo Jersey wanaipata ndiyo imetutoa macho kwenye sakata la rada kwa miaka mingi tu, wakati wao wanairudisha kiulaini sana.
Tatizo kwangu, ni serikali kuruhusu haya makampuni ya nje kumiliki asilimia mia moja.
 
Umenifundisha kitu, nikifikisha Milioni 150 kwenye account yangu naenda New Jersey kufungua kampuni na kuja kuinvest Tanzania na Africa, ili nikwepe hyo 30% hata mimi naiona kubwa sana
 
You cant force a company to limit its shares hivyo vitu vinatokana na ambitions za kampuni na huwezo wao wa kifedha kuliendesha, anyway ukinunua shares za vodafone automatically na wewe unakuwa mmoja wa wamiliki wa 82.8 shares za vodacom maana ni branch yao pengine inaendeshwa tofauti kwa sasa kwa sababu wazijuazo kibiashara.

Alikadhalika shares za makampuni kwenye dunia ya leo aijalishi unaishi wapi hili huweze kuzinunua. Hivyo kampuni kutotaka ku trade in dar stock exchange sio tatizo, hila kutolipa kodi ni tatizo kubwa sana.
 
Hapo umekurupuka, Tanzania kuna capital gain Tax ambayo lazima italipwa na yeyote anaeuza hisa zake, ilianza baada ya Zitto Kabwe kupiga kelele sana bungeni.
 
Ndio maana wenzetu wana namna tofauti wanavyo toza taxes, makampuni ambayo yapo established yanakuwa na kodi zake ambazo ndio kubwa, makampuni yanayoanza yanapewa 'grace period' ili kukuwa na ku-encourage businesses start ups, na investors hata kama ni makampuni wanatozwa capital gain taxes ambazo ni cheaper and better for the purposes of encouraging investments through organisation or individuals buying shares, bonds etc.
 
Hapo umekurupuka, Tanzania kuna capital gain Tax ambayo lazima italipwa na yeyote anaeuza hisa zake, ilianza baada ya Zitto Kabwe kupiga kelele sana bungeni.
What about corporate tax na shughuli kubwa ya hii kampuni ni ipi na hizo biashara zingine zipo chini ya kampuni gani.
 
Kodi ya 30%???? Hata nikiwa mimi nakimbilia kusajili Jersey!!! Tubadilike, hakuna mfanyabiashara atayekubali hii kitu kwa ulimwengu wa leo! Nakumbuka kitu kama hii ilitokea ulipouzwa mgodi wa uranium kwa Russians, watu walupiga sarakasi za kisomi mpaka serikali ikaambulia zero
 
Corporate TAX si inalipwa na Vodacom Tanzania, kwa nini hao wengine walipe na wao hawa operate Tanzania, wana-own shares tu.
 
Kodi za makampuni kwenye capitalism zipo around 28% to mid 40 ukifika Scandinavia, nchi kama UK Labour party walifikia hatua za kudai 50p meaning kila pound ya faida ilipiwe nusu, before they backed off.

Kumbuka kodi huwa azitozwi kabla kampuni aijatoa sehemu ya mapato ya kuendesha biashara zake, vile vile kodi zikiwa kubwa zina encourage most profitable organisation na wao kulipa mishahara mikubwa ili kumkomoa tax man, we just need to be a bit creative na makampuni madogo yanayochukua faida ndogo za millioni mia mpaka miambili kwa mwaka, hili ku encourage ujasiriamli na ulipaji wa kodi. Nchi kama Jersey ni ndogo na inaweka kodi chini kwa sababu hizi hizi ku- encourage evasions.
 
Corporate TAX si inalipwa na Vodacom Tanzania, kwa nini hao wengine walipe na wao hawa operate Tanzania, wana-own shares tu.
Nimekuuliza swali dogo sana what about his other named businesses zipo chini ya kampuni gani
from stakes in contract mining firm Caspian Mining, a Port in Dar es Salaam, extensive real estate in Tanzania and the Middle East and, of course, cash coming from the sale of his stake in Vodacom Tanzania
 
You cant force a company to limit its shares hivyo vitu vinatokana na ambitions za kampuni na huwezo wao wa kifedha kuliendesha, anyway ukinunua shares za vodafone automatically na wewe unakuwa mmoja wa wamiliki wa 82.8 shares za vodacom maana ni branch yao pengine inaendeshwa tofauti kwa sasa kwa sababu wazijuazo kibiashara.

Alikadhalika shares za makampuni kwenye dunia ya leo aijalishi unaishi wapi hili huweze kuzinunua. Hivyo kampuni kutotaka ku trade in dar stock exchange sio tatizo, hila kutolipa kodi ni tatizo kubwa sana.
Kuna nchi ambazo zina hiyo system.Mfano India, sheria haziruhusu "100 per cent Foreign Direct Investment".
 
Vitu kama hivyo vinaangalia mvuto, desperation, opportunity zilizopo ndani ya makampuni yanayoenda kule.

Uwezo wa na idadi ya investors waliopo (mfano tanzania ikija kampuni ambayo inataka ku-invest $100 mil, how many of us can be partners), let alone hawa jamaa wanaofanya exploration za majini hizo $100 mil, wana-gamble tu bila ya kujua matokeo. Zikija investment wanataka kujenga plant za mabillioni of dollars nani atakaeweza ingia ubia nao from get go.

Tatu makampuni nayo yanaangalia na bargaining power ya taifa wewe auna ajira, enough experts, kipato chako cha kodi ni kidogo halafu bado unataka kuleta na jeuri juu kwenye dunia ambayo there are so many countries in similar position to yours, why should they bother with you if they want to open a textile firm.

Sehemu pekee ambazo tunaweza kwenda na sera hizo ni kwenye madini na fuel resources. Kwenye madini sera hiyo hipo tayari kwa sababu kunawachache wenye huwezo wa kushiriki uchimbaji mdogo na size ya kati, lakini tukifika kwenye nanga za akina Barrick tutabaki tunaangalia tu dhahabu kwa muda mrefu sana, kwenye fuels ndio kabisa (well may be for now serikari inao huwezo wa kuendesha mgodi mkubwa) lakini si watanzania wakawaida.

The point ni kwamba sera hizo zina angalia na mazingira uliyokuwa nayo, kama India wanafanya hivyo ni kwa sababu wana enough skilled workers, soko lipo la kununua bidhaa (Lower end, middle and above ranges), enough billionaires to make partners, some companies head there mainly for tactical reasons such as cost reduction maana mishahara ya India ni chini na hakuna strong labor laws wakati wana army of skilled worker, compared to west where it the opposite it has protective labor laws au makampuni yanaenda kufuata natural resources.
 
Kwani ni dhambi mtu kuwa tajiri nchi hii? maana mtu akiwa tajiri asipoambia fisadi basi ataambiwa freemason, tax evasion ni moja ya mbinu za kijasiriamali.
 
Back
Top Bottom