Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Sijakupata mkuu.
Anatoa hizo bilions zake kwenye hisa na anazipeleka kwenye investment nyingne,
Ni kama unahamisha gari toka kkoo kupeleka posta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakupata mkuu.
Nimekuuliza swali dogo sana what about his other named businesses zipo chini ya kampuni gani
Unajua maana ya registered Holding company na characteristics zake abroad (ndio sababu ya kukuuliza hizo biashara zingine zipo chini ya mwamvuli gani), unafahamu sheria za tax UK, sababu za makampuni kufunguliwa Jersey.Hizo kampuni zote uliambiwa hazilipi kodi? au unakurupuka tu?
Huyu rostam amesajili kampuni yake njee huko jersey .ni kampuni hio ya nje ndio ili nunua shares za vodacom.
Sasa ni company hio hio ndio imeuza baadhi ya share zake...no bid deal hapa ni mali yake na wao kama shareholders waliingiza capital na nguvu zao kuifikisha vodacom hapa ilipo.
Mambo ya kawaida tu.
Tungekua tuna policy isiyo yumba ya uwekezaji hawa wasinge kwenda jersey kuusajili company. Lakini kutokua na policy madhubuti ya kulinda vitega uchumi ndio maana watu wanakwenda nje kufungua company then wakija hapa wanalindwa na sheria za kimataifa za uwekezaji.
Ibrahim Mo ni billiinare ambaye alikua anaanzisha makamouni ya simu then baada ya muda anauza share zake na ammetajirika sana na leo ni mmoja ya matsjiri wakubwa afrika.
Tuache uchoyo mtu akipata ni chake...na wewe kione mavi.
Unajua maana ya registered Holding company na characteristics zake abroad (ndio sababu ya kukuuliza hizo biashara zingine zipo chini ya mwamvuli gani), unafahamu sheria za tax UK, sababu za makampuni kufunguliwa Jersey.
Rostam makazi yake permanent ni wapi na kwanini akafungue a Holding company in Jersey. Huyu bwana si mlipa kodi na huko ni kukosa uzalendo, maendeleo hayawezi kuja kwa walipa kodi waaoendesha biashara ya ma-guest na faida zao tia maji maji (wafanya biashara ambao kutwa ulikuwa ukiwananga kwenye sakata la machine za edf), nchi za wenzetu wafanyabiashara kama hao hawana ata mpango nao hila hawa wenye kulipa mabillioni ndio mpango mzima. Kodi ya Rostam ya mwaka ingekuwa sawa na maelfu ya wafanyabiashara wadogo halafu tunaulizana sababu za umaskini.
Hakuna mtu mwenye dhambi kubwa kwenye uislamu kama mtu mnafiki wewe bibi inabidi uji chunguze maana utaungua vibaya sana siku hiyo.
Wewe wacha porojo, sababu ziko nyingi sana. Kumbuka kuna Tax evasion ambayo ni dhambi na kuna TAX avoidance ambayo si dhambi. Kama unaongelea kuhusu TAX avoidance, hiyo ni wazi na ni mbinu ya biashara kubwa kubwa zenye msingi mkubwa. Huwezi kujiona unalipa double taxation kwa sababu tu hujatumia mbinu za ku avoid. Utakuwa ni punguani.
Ku evade tax ndio dhambi, sasa wewe tuwekee ushahidi kuwa Kampuni za Rostam zime evade TAX si Tanzania tu na kwingine kokote zilipowekeza. Kumbuka Rostam anawekeza nchi nyingi na si Tanzania pekee.
Kama huna huo ushahidi, wewe kaa kimya wacha wanaojuwa kuicheza hiyo game waicheze, huna ulijualo zaidi ya kuhororoja tu.
Tatizo lako unakuja hapa kubwabwaja kwa kulishwa maneno usiyoyajua umejiuliza kwanini nilitumia maneno tax evasion, kulipa kodi ni uzalendo na sio maneno kama tax avoidance au kusema kavunja sheria.
Kukusaidia Rostam Aziz ni raia wa Tanzania hakuwa na sababu nyengine yeyote ya kufungua kampuni yake ya 'Calvary Holdings' in Jersey zaidi ya kukwepa kulipa kodi (hiyo ndio tax evasion) si kila mara lazima uvunje sheria kama ulivyokaririshwa na ndio sababu ya kusema kulipa kodi ni uzalendo maana at times it is just a moral issue.
Tofauti na tax avoidance ambapo mara nyingi ni international firms wanapoamua kuvuruga mahesabu yao ya ndani such as in transfer pricing ama kuweka head quarters of their businesses on lower corporate taxes nations, those of which are within tax treaty nations (huwezi kujua sana kuhusu hili mpaka upate accounts zao). Lakini hata hayo makampuni utakuta yana home-base ambapo mwanzilishi/waanzilishi wanalipa corporate tax fully ni during expansions tu ndio wanavuruga kupunguza tax.
Sasa wewe mtanzania unapoenda kufungua kampuni yako straight up in Jersey, automatically unakuwa a scrupulous character, in the midst avoiding paying taxes and reducing the amount of tax you have to pay where necessary.
Nyie ndio watetezi wa chama tawala humu ndani hiko chama kina maadili kweli umo ndani? maana issue hapa ni maadili than anything, ambapo wewe unatetea uvunjifu wake, ama kweli shibe mwana malevya njaa mwanamalegeza.
Nilisha kwambia ujui unachokiongea tax evasion ndio inaweza kuwa kosa au lisiwe kosa depending on the act.Ewee punguani, unaleta porojo bila ushahidi. Ni nini kinachomzuia Rostam au raia mwingine yeyote wa Tanzania kufunguwa kampuni Jersey, au kwingine kokote kwenye tax havens duniani?
Wacha kuwa punguani, rax havens haziko Jersey tu, zipo nyingi sana duniani. Hizo ni mbinu tu za kuweza kuhamisha mitaji na kuepuka kihalali Tax zisizokuwa na tija kwa biashara wala nchi.
Tanzania ni wapi inapowazuia raia wake kufunguwa makampuni au akaunti nje?
Usiwe -----, kuwa na muono mpana. Biashara ya kwako ndani unayoifanya wewe na mkeo na mkweo na wajukuu zako hata iweje haiwezi kukua, itabaki inazunguka hapo hapo. Ni lazima utoke nje ya himaya yako ukitaka kujiongezea mapato.
Faflukhta hundi Ulaya Ng'ombe Mwitu. Usiyesikia la muazini wala mteka maji msikitini.
Unachobisha ni nini? ewe punguani!
Ewee punguani, unaleta porojo bila ushahidi. Ni nini kinachomzuia Rostam au raia mwingine yeyote wa Tanzania kufunguwa kampuni Jersey, au kwingine kokote kwenye tax havens duniani?
Wacha kuwa punguani, tax havens haziko Jersey tu, zipo nyingi sana duniani. Hizo ni mbinu tu za kuweza kuhamisha mitaji na kuepuka kihalali Tax zisizokuwa na tija kwa biashara wala nchi.
Tanzania ni wapi inapowazuia raia wake kufunguwa makampuni au akaunti nje ya Tanzania?
Usiwe -----, kuwa na muono mpana. Biashara ya kwako ndani unayoifanya wewe na mkeo na mkweo na wajukuu zako hata iweje haiwezi kukuwa, itabaki inazunguka hapo hapo. Ni lazima utoke nje ya himaya yako ukitaka kujiongezea mapato.
Faflukhta hundi Ulaya Ng'ombe Mwitu. Usiyesikia la muazini wala mteka maji msikitini.
Unachobisha ni nini? ewe punguani!
Mkuu msamehe upambe sio kazi ndogo.ewe dada una maneno makali sana,. Jaribu kupunguza kidogo,,
Ewee punguani, unaleta porojo bila ushahidi. Ni nini kinachomzuia Rostam au raia mwingine yeyote wa Tanzania kufunguwa kampuni Jersey, au kwingine kokote kwenye tax havens duniani?
Wacha kuwa punguani, tax havens haziko Jersey tu, zipo nyingi sana duniani. Hizo ni mbinu tu za kuweza kuhamisha mitaji na kuepuka kihalali Tax zisizokuwa na tija kwa biashara wala nchi.
Tanzania ni wapi inapowazuia raia wake kufunguwa makampuni au akaunti nje ya Tanzania?
Usiwe -----, kuwa na muono mpana. Biashara ya kwako ndani unayoifanya wewe na mkeo na mkweo na wajukuu zako hata iweje haiwezi kukuwa, itabaki inazunguka hapo hapo. Ni lazima utoke nje ya himaya yako ukitaka kujiongezea mapato.
Faflukhta hundi Ulaya Ng'ombe Mwitu. Usiyesikia la muazini wala mteka maji msikitini.
Unachobisha ni nini? ewe punguani!