The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Na alisaini kama nani kwenye nchi hii?GT
Hakuna asiyemjua Rostam.kwamba ni moja ya genge la wahalifu hapa nchi wanaonufaika na serikali dhaifu.
Rostam alikuwa timu lowasa amabalo ni kati ya magenge ya wahuni hapa nchini yanayoteketeza mali za umma.
Walienda na Saa100.US kusaini huu.maktaba je ulihusu nini? Anaweza kuja hadharani na kutuambia.
View attachment 3431194View attachment 3431195
Hii ni maajabu..mhuni mkubwa yuleNa alisaini kama nani kwenye nchi hii?
Laana i juu yake na kizazi chakeMhuni wa kiajemi, alimmaliza mtanganyika yule mzee wa suspender
Kama dalaliNa alisaini kama nani kwenye nchi hii?
Jana mtandao umetajwa akashindwa kabisa kulala bila kusema😂GT
Hakuna asiyemjua Rostam.kwamba ni moja ya genge la wanaonufaika na serikali dhaifu.
Rostam alikuwa timu Lowasa amabalo ni kati ya magenge ya wahuni hapa nchini yanayoteketeza mali za umma.
Walienda na Samia.US kusaini huu.maktaba je ulihusu nini? Anaweza kuja hadharani na kutuambia.
View attachment 3431194View attachment 3431195
ila slow slow anawapa za uso sana. sijui nani atazibuliwa kwenye press inayofuata.Jana mtandao umetajwa akashindwa kabisa kulala bila kusema😂
Kwenye press ijayo ataongea ambayo hawangependa yasemwe.. Lakini kabla yake atamjibu rostam kwanza kubalance equationila slow slow anawapa za uso sana. sijui nani atazibuliwa kwenye press inayofuata.
Kwenye hiyo picha Kuna mtu anatoa macho tu sijui kama hata anaelewa kinachosainiwa hapoGT