Rostam Azizi atuambie huu Mkataba ulihusu nini?

Rostum ni muhini tena hakuna mtuu muhuni kama yeye

Mtu pekee aliweza kumdhibit ni Jpm Mzalendo wa kweli wa taifa letuu
 
Kula chuma hicho
 

Attachments

  • #KataaWahuni.mp4
    7.3 MB
Mkuu hakuna Cha maana ambacho atasema mwenda pole alaf kikaitingisha ccm
mngekuwa hamjatingishika msingeelekeza wale vijana wawe wanazima mitandao kipindi slowslow anaongea. mnatia hadi aibu.
 
Ndiyo tatizo la kuchukua fedha kwa wafanya biashara kwa ajili ya uchaguzi;kwa sababu ukitafuta hela kwa watu wa aina hii utawalipa nini? utalazimika kuingia mikataba ya ajabu ajabu ili kurudisha fedha walizo kusaidia kuingia madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…