Rostam hawezi kuwa mzalendo wa nchi hii kamwe

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Rostam kwa rangi yake TU hawezi kuwa mzalendo wa nchi hii kamwe na nitakuwa wa MWISHO kumuita mzalendo muhindi yule.

Polepole leo amecheza clip ULITONESHA kundi la wahuni walivyopanga kulitafuna taifa ili huku wakimplekea Jakaya taarifa ya kumtaka agombee urais wa nchi.

Mtandao huu huakushangaa kamwe hata ulivyomkuta Mh Jakaya amevalia sijui ni Pensi wenyewe ulitamka agombee urais achukue fomu.

Jakaya anaenda mbele zaidi anasema akauliza nitakwendaje Dodoma? Wahuni wakajibu ndege kko yaani means uwe na Boksa au Pensi wewe panda ndege usiyoijua kaikodi nani kachukue fomu.

Kwa ufupi mchizi anazali Kali mnoooo ila wahuni sio watu mwanawane.
 
Rostam kw rangi yake TU hawezi kuwa mzalendo wa nchi hii kamwe na ntakuwa wa MWISHO kumuita mzlendo muhimdi yule

Pole pole Leo amecheza clip ULITONESHA kundi la wahuni walivyopanga kulitafuna taifa Ili uku wakimplekea Jakaya taarifa ya kumtaka agombee urais wa nchi

Mtandao huu huakushangaa kamwe hata ulivyomkuta Mh Jakaya amevalia sjui ni Pensi wenyewe ulitamka agombee urais achukue fom

Jakaya anaenda mbele zaidi anasema akaukiza ntakwendaje Dodoma? Wahuni waajibu ndege Iko yaani means uwe na Bokisa au Pensi wewe panda ndege usiyoijua kaikodi nani kachukue fom

mkuu uzi wako umeliwa kichwa pandisha tena hat ndani ya nyuzi zingine
 
Bora angebaki kimya amefanya watu tuchimbue makaburi yaliyosahaulika.
 
Rostam kw rangi yake TU hawezi kuwa mzalendo wa nchi hii kamwe na ntakuwa wa MWISHO kumuita mzlendo muhimdi yule

Pole pole Leo amecheza clip ULITONESHA kundi la wahuni walivyopanga kulitafuna taifa Ili uku wakimplekea Jakaya taarifa ya kumtaka agombee urais wa nchi

Mtandao huu huakushangaa kamwe hata ulivyomkuta Mh Jakaya amevalia sjui ni Pensi wenyewe ulitamka agombee urais achukue fom

Jakaya anaenda mbele zaidi anasema akaukiza ntakwendaje Dodoma? Wahuni waajibu ndege Iko yaani means uwe na Bokisa au Pensi wewe panda ndege usiyoijua kaikodi nani kachukue fom

Kwa ufupi mchizi anazali Kali mnoooo ila wahuni sio watu mwanawane.
😂😂😂
 
JPM alikuwa ameshawamaliza hawa wahuni.::. Shida ni moja tu …. JPM alikuwa Ngosha

Kama angekuwa mtoto wa town Léo TZ ingekuwa mbali
 
Back
Top Bottom