Rostam Mungu akulinde na akuzidishie utajiri

Anaweza akakufanya matusi.

Nani ?

Nilishachagua kuishi maisha yangu bila uoga.

Sialiki majeruhi au kifo lakini wanamtandao na cronies wao wakinifanyia kitu chochote watakuwa wanajiabisha tu mbele ya dunia nzima.

Wanamtandao will be proving to the world that the allegations about them being rapists, kidnappers, and murderers are without a shadow of a doubt true.
 
Duh 😇
 

Labda wameco-opt ID za zamani (allegedly). Either kwa kuwalipa ku-post mambo yao or even better kuzinunua kabisa (allegedly) ?

Hiyo option 2 is actually smart kwasababu ukijaza ID mpya tu watu wangegundua haraka zaidi (allegedly).
 
Hivi uhalisia haswa wa hii narrative ya buku 7 ni kitu gani? Maana naona imekuwa ikitajwatajwa sana jukwaani
Hii kitu iliasisiwa na Polepole wakati akiwa katibu mwenezi wa CCM taifa,ali recruit vijana wengi wasio na ajira, waitetee CCM mitandaoni kwa ujira wa shilingi 7,000 per post, mara jf ikavamiwa na machawa wa CCM wakawa wanashindana kupost humu na kuvuta buku saba kila post. Polepole alipoondolewa uenezi akaja Shaka na utaratibu wake, CCM ikaanza kudorora, Shaka akaondolewa akaletwa Sofia, akashindwa kabisa!,sisi makada wa CCM, nikiwemo mimi tukajitolea kusaidia
View: https://youtu.be/YcaZuXTEgec?si=wYSI3gNCfunOL-CE bure!,watu wakadhani navuta huku 7!
P
 
Huwa unavuka vipi barabarani kwa akili hii?Mshukuru sana Muumba umeweza kusurvive hadi leo.
Huu ndiyo ukweli mchungu ambao watu hawataki kuusikia. RA ni Havard graduate aliye changanya utajiri wa marehemu baba yake kwenye sekta ya ngozi (hides and skin export) na ukaribu na wanasiasa wa Tanzania. Tuache wivu na Rostam, yupo Kenya, SA, South Sudan na Dubai na kote huko anafanya biashara kubwa
 
Watu wa CCM mnapenda kudandia mashule ya watu. Huwa mnajua tunaweza kwenda kwa ma-registrar wa mashule mnayotajataja na kuverify ?
 
Ni vitu vikubwa sana,Mungu akubariki sana

Utaumia sana kwa kuambiwa ukweli.Roho mbaya haijengi,ukiona mwenzsko kaendelea,na wewe tafuta mbinu uendelee,acha kupoteza wakati kwa kumsema vibaya,
Hata kujificha umeshindwa.
Umekuja na li ID lingine😂😂

Hii mbinu sio mpya kaka, Jaribu kujikaza kwenye ID ile ile.
 
Nenda ka verify. Don't messup with RA, bongo ipo na yuko strategic

Rostam Aziz alimuandama sana mama yangu mzazi.

Kama anataka kujaribu ku-bully and victimise the next generation, that is up to him.

Na umeshaonyesha ukweli uko wapi kwasababu kama kwenda na ku-verify kwa registrar kama Rostam Aziz ni Harvard graduate wa ukweli itakuwa "ku-mess-up" naye, alipata degree huko kweli ?
 
Unfortunately haya maombi jinsawa na kupiga kelele
 
Ahaa, hii imeeleweka vema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…