UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Wakati mnacheza pamoja, ufisadi pia mlijifunza pamoja? Kwa hiyo na wewe ni fisadi kama yeye? Bandiko lako limeniachia maswali.Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.
Nimekuachia hiyo kazi wewe nenda uka VERIFY. Kumbe mna chuki za kifamilia??Rostam Aziz alimuandama sana mama yangu mzazi.
Kama anataka kujaribu ku-bully and victimise the next generation, that is up to him.
Na umeshaonyesha ukweli uko wapi kwasababu kama kwenda na ku-verify kwa registrar kama Rostam Aziz ni Harvard graduate wa ukweli itakuwa "ku-mess-up" naye, alipata degree huko kweli ?
I save na iwekee lamination. RA ni genius amewazidi na hamumkaribii kabisa. Wivu utawaua mkingali wadogoTENA HII COMMENT NAI-SAVE.
Hata nikiteguka, watu watajua waangalie wapi.
I am telling you that RA inherited his dad's fortune in the hides and skin export business. With his USA education purportedly Havard he managed to unlock and turn the inherited business and become a top industrialist in the country.Mpaka imebidi nirudi kwenye hii thread -- let us unpack this threat that you have made against me.
What are you implying when you say Rostam Aziz is strategic and that I should not, I think what you meant to say was, mess with him ?
Are you insinuating that Rostam Aziz and the rest of his alleged network (which allegedly includes past and present high-ranking officials in the Government of the United Republic of Tanzania) are capable of kidnapping, torture, and murder ?
I am telling you that RA inherited his dad's fortune in the hides and skin export business. With his USA education purportedly Havard he managed to unlock and turn the inherited business and become a top industrialist in the country.
Your souls are burning by jealousy and anger because you are ignorant on the ways you use your hard earned moneys against how RA uses. Most Tanzanians spend their monies in luxuries, construction of lavish houses, prostitution and clubbing.
Kwani hiyo RA alipofisadi hela hakiwahawia hao maofisa wa Serikali?. Je viwanda vyao viko wapi?? Acha wivu utapata kiharusi
Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.
Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na ulaya.Acha wa kuchukie watakavyo hawatakufikia asilani.Najua akili za ngulumbili watajua kuwa eti unanilioa kwa kukusifia,toka tulipocheza utotoni mimi na wewe hatujakutana tena ukubwani kwetu.
Mimi namshukuru sana mama yangu aliyechagua baba mzungu nikaziliwa mimi na akifanya kazi ya uinjinia baba yangu alifanya mimi na wewe tukutane kwakuwa baba zetu walikuwa marafiki. Ongeza bidii wanaokuchukia wafe kwa kihoro,kudadadeki
I am telling you that RA inherited his dad's fortune in the hides and skin export business. With his USA education purportedly Havard he managed to unlock and turn the inherited business and become a top industrialist in the country.
Your souls are burning by jealousy and anger because you are ignorant on the ways you use your hard earned moneys against how RA uses. Most Tanzanians spend their monies in luxuries, construction of lavish houses, prostitution and clubbing.
Kwani hiyo RA alipofisadi hela hakiwahawia hao maofisa wa Serikali?. Je viwanda vyao viko wapi?? Acha wivu utapata kiharusi
Kweli Mungu akupi vyote. Mwisho niseme Tz tuna safari ndefu sana. Ningependa mwenzako Tlaatlaah auone huu uzi wakoMola kanipa elimu,baba mzungu,wake 2,kipato cha kutosha,nyumba tanzania na nje ya tanzania,mke mmoja mtanzania na wa pili asiye mtanzania,kwanini nisimshukuru Mola wangu
I am telling you that RA inherited his dad's fortune in the hides and skin export business. With his USA education purportedly Havard he managed to unlock and turn the inherited business and become a top industrialist in the country.
Your souls are burning by jealousy and anger because you are ignorant on the ways you use your hard earned moneys against how RA uses. Most Tanzanians spend their monies in luxuries, construction of lavish houses, prostitution and clubbing.
Kwani hiyo RA alipofisadi hela hakiwahawia hao maofisa wa Serikali?. Je viwanda vyao viko wapi?? Acha wivu utapata kiharusi
NoAre you suggesting that this alleged network in addition to allegedly partaking in kidnapping, torture, murder, the embezzlement of state funds, and money laundering, also sexually assaults individuals ?
Just perish, RA and his family will prevail because they are re investing more than 70% of their fortune right here in Tanzania. Hence providing goods and services, employment and tax remittances to national coffersI will never in my life be jealous of someone like Rostam Aziz or anyone in that network.
Say whatever you want. The entire country now knows exactly what kind of man he is.
He and the rest of his syndicate will never recover from this.
What are you insinuating Chizi?Hapa ulisahau ukatumia ID hii ukaacha ile ya kwanza. Huwa sometimes kunakuwa na kujichanganya... 😀
Dua la kuku halimpati mwewe. Impoverishing ya wapi? Kufufua viwanda vya Morogoro vilivyokufa ni Impoverishing? Endeleni kupiga majunguImpoverishing a nation and then pretending to be industrialists --- maigizo tupu.
Just perish, RA and his family will prevail because they are re investing more than 70% of their fortune right here in Tanzania. Hence providing goods and services, employment and taxe remittances national coffers
Dua la kuku halimpati mwewe. Impoverishing ya wapi? Kufufua viwanda vya Morogoro vilivyokufa ni Impoverishing? Endeleni kupiga majungu
Wewe ni bongozozoMola kanipa elimu,baba mzungu,wake 2,kipato cha kutosha,nyumba tanzania na nje ya tanzania,mke mmoja mtanzania na wa pili asiye mtanzania,kwanini nisimshukuru Mola wangu
Dua la kuku halimpati mwewe. Impoverishing ya wapi? Kufufua viwanda vya Morogoro vilivyokufa ni Impoverishing? Endeleni kupiga majungu
Kwa hiyo yeye "hapana kuwa miji"/chorii kapeto?Ungetuelekeza tangu mapema aiseee!Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.
Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na ulaya.Acha wa kuchukie watakavyo hawatakufikia asilani.Najua akili za ngulumbili watajua kuwa eti unanilioa kwa kukusifia,toka tulipocheza utotoni mimi na wewe hatujakutana tena ukubwani kwetu.
Mimi namshukuru sana mama yangu aliyechagua baba mzungu nikaziliwa mimi na akifanya kazi ya uinjinia baba yangu alifanya mimi na wewe tukutane kwakuwa baba zetu walikuwa marafiki. Ongeza bidii wanaokuchukia wafe kwa kihoro,kudadadeki
Nyuzi zake huyo ni za kusifia mbususu na ku-beat trees/kupiga miti tu.Leo anatuchambulia mwanasiasa!?Aache vibweka.Niishie tu kusema," kweli Mungu hakupi vyote"
Inawezekana walikuwa wanacheza ki-baba na mama.Usiniulize nani alikuwa mama.Wenye ndugu wapo kimya.
ilikuwaje mkacheza wote ila wewe ukawa huna akili ?