Rostam Aziz anajijua kuliko wewe na yeye anajijua kuwa ni jambazi tuambie zile silaha walizo kamatwa nazo familia yake na nyara za serikali zilikuwa za nini ?tena wakiwa ni matajiri kabisa ambao wana mitaji ya kufanya mambo halali ....utajiri wote wa Rostam azizi ni pesa za ufisadi huyo jamaa yupo juu ya sheria na haki yote anaua amtakaye na kumwacha ai amtakaye hakuna wa kumuuliza, kaua wengi sana huyo ..kuanzia migodini kafukia binadamu ...kaua na sumu wanavijiji kutoka migodi yake ...au unataka tupost picha hapa tukuonyeshe shehena ya silaha walizo kuwa wanamiliki kiharamu zile silaha nyingi vile maana yake wana mtandao wa kigaidi ..yeye na mdogo wake walikamatwa na bunduki zaidi ya 200Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.
Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na ulaya.Acha wa kuchukie watakavyo hawatakufikia asilani.Najua akili za ngulumbili watajua kuwa eti unanilioa kwa kukusifia,toka tulipocheza utotoni mimi na wewe hatujakutana tena ukubwani kwetu.
Mimi namshukuru sana mama yangu aliyechagua baba mzungu nikaziliwa mimi na akifanya kazi ya uinjinia baba yangu alifanya mimi na wewe tukutane kwakuwa baba zetu walikuwa marafiki. Ongeza bidii wanaokuchukia wafe kwa kihoro,kudadadeki
Kwani baba yako hakuwa mwanamtandao? Je angepata nafasi alizopata kirahisi tu? Lama fedha yake alifanyia mambo mengine shauri zenu. Acha kutujazia servers hapaContinue going back and forth with me so I can have the opportunity to fully discuss the extent of the criminality of his dealings with the government and please give me the chance to formally implicate the other members of wanamtandao.
HAHAHAHA Asante sana !!!Kwani baba yako hakuwa mwanamtandao? Je angepata nafasi alizopata kirahisi tu? Lama fedha yake alifanyia mambo mengine shauri zenu. Acha kutujazia servers hapa
What are you insinuating Chizi?
I think I am talking to a stressed up person who is envious of other people who have used their brains and few resources to rise and build economic empires. Jelousy is very poisonous than cyanideWho do you think you are talking to ?
I think I am talking to a stressed up person who is envious of other people who have used their brains and few resources to rise and build economic empires. Jelousy is very poisonous than cyanide
hivi nyara zinauzwa nchi zipi? na huwa wanalipwa kiasi gani kiasi cha kutajirikankuanzisha caspian construction?Rostam Aziz anajijua kuliko wewe na yeye anajijua kuwa ni jambazi tuambie zioe silaha walizo kamatwa nazo familia yake na nyara za serikali zilikuwa za nini ?tena wakiwa ni matajiri kabisa ambao wana mitaji ya kufanya mambo halali ....utajiri wote wa Rostam azizi ni pesa za ufisadi huyo jamaa yuoo juu ya sheria na haki yote anaua amtakaye na kumwacha ai amtakaye hakuna wa kumuuliza kaua wengi sana huyo ..kuanzia migodini kafukia binadamu ...kaua na sumu wanavijiji kutoka migodi yake ...au unataka tupost picha hapa tukuonyeshe shehena ya silaha walizo kuwa wanamiliki kiharamu zile silaha nyingi vile maana yake wana mtandao wa kigaidi ..yeye na mdogo wake walikamatwa na bunduki zaidi ya 200
Kuanzia early 2000 mpaka 2019 alikuwa anamiliki 35% ya hisa za Vodacom. Alipoziuza akalipa capital gain tax lwa Serikali.hivi nyara zinauzwa nchi zipi? na huwa wanalipwa kiasi gani kiasi cha kutajirikankuanzisha caspian construction?
Dadangu ShikamooKuna speculation kuwa kuna watu wanalipwa hela kuja kutetea CCM na serikali majukwaani na hiyo elfu 7 ndio fee.
Sasa sijui ni elfu 7 per post or per comment. And to a certain extent it is believable kwasababu mtu mpaka utete ufisadi, utekaji, na uuaji either ulipwe au wewe mwenyewe uwe-apart of such things.
Isn't it interesting kuwa watu wanaomuandama marehemu Rais Magufuli hapa JF sasa hivi sio hata CHADEMA but wa mama mitano tena ?
Bila kujua, wana-validate perspective ya Polepole ya mambo ya CCM A vs. CCM B na existence ya wanamtandao.
Wa-mama mitano tena ndio wenye nyuzi za kumponda Rais Magufuli haswa, kama ile ya Rais Magufuli aliua uchumi wa Tanzania lololololol vichekesho haswa.
Wanamtandao hutumia hasa hasa ubabe zaidi ya akili na ukatili wao ndio umewalinda miaka nenda rudi.
They are ruthless and bloodthirsty.
Huku kwetu Tanzania tumeamka salama; tunashindwa kujua kama nchi inakwenda mbele au inarudi nyuma. Kila kukicha afadhali ya jana..Tuzidishe maombi.Marahaba 🙂
Huku kwetu Tanzania tumeamka salama; tunashindwa kujua kama nchi inakwenda mbele au inarudi nyuma. Kila kukicha afadhali ya jana..Tuzidishe maombi.
uko sahihi asanteeeeKama mlicheza wote basi yeye ndiye alivunja bikra yako eneo la Mixx By Yas
Huo ni mtandao wa magenge ya madawa ya kulevya pia ...uwezi kufanya hiyo biashara kama siyo member wao pia agenda ya hayo magenge ya kihalifu yenye kufanya hizo biashara ni kupandikiza watu wao serikalini na kukamata dola ya nchi zisizo kuwa makini ....sasa hivi serikalini ya tanzania ipo chini ya hayo magenge ya kihalifu ndiyo maana mnaona wahalifu awaguswi isipokua wakosoaji wa uhalifu ...mtoto wa Kikwete ni member wa wauza unga ulimwenguni piahivi nyara zinauzwa nchi zipi? na huwa wanalipwa kiasi gani kiasi cha kutajirikankuanzisha caspian construction?
Si bora basi ingekuwa 7k per post/comment wangepata maisha kwa kupost uharo mwingi humu. Malipo ni 7k per day! Yes, a whole day!Kuna speculation kuwa kuna watu wanalipwa hela kuja kutetea CCM na serikali majukwaani na hiyo elfu 7 ndio fee.
Sasa sijui ni elfu 7 per post or per comment. And to a certain extent it is believable kwasababu mtu mpaka utete ufisadi, utekaji, na uuaji either ulipwe au wewe mwenyewe uwe-apart of such things.
Maskini! Inaonesha jinsi hii system na hawa watu wanamu-exploit kila mtu tu.Si bora basi ingekuwa 7k per post/comment wangepata maisha kwa kupost uharo mwingi humu. Malipo ni 7k per day! Yes, a whole day!
Yaani ukiwaona akina mwashambwa na akina tlaahtlah wanazurura ovyo masaa 24 kwenye kila uzi wakimwaga utaahira wao humo ujue wanapambania 7k. No wonder wanalazimika kufungua multiple IDs ili waongeze kipato waweze ku survive kesho yake.