Rostam MUST Resign; CCM Must Act

Mwenyekiti hana ubavu, Katibu of course hana ubavu.. nazungumzia Kamati Kuu au Wabunge wa CCM si mwenzao huyo?

That is right. Kama Mwenyekiti hana ubavu, Katibu Mkuu hana ubavu, same applies to CC ambayo wiki chache zilizopita ilipitisha uamuzi wa kuiunga mkono serikali kumlipa mabilioni. So CC is out of equation, wabunge yaani bunge forget it, ndio maana walimuondoa Sitta na kumuweka Anna Makinda, so bunge is also out of equation.

That means conventional means of dealing with Dowans problem is out of equation. Kwa hiyo ukiangalia kwa makini unaona wazi kuwa Jamaa ameweza kuiweka serikali, chama na mahakama under his radder. Dowans has invested a lot, so the time has come for the investment to pay. Kama ukitegemea bunge, mahakama, serikali au chama, then forget it.
 

Of course na sisi we are not suprised kwa msimamo wako, Kwa sababu wewe ni kati ya wale wanaosema DOWANS walipwe.
We have to start with someone... na that someone is azizi.
 

dowans scandal to the party was brought by kikwete executed by rostam,.....and not apologize for dowans but also EPA and he must pay back all the monies plus the 50% interest
 
Jamani hili lijitu linaitwa Rostam mbona linatupeleka peleka puta puta hivi??!! AAAGRRR!

Hiv ktk watz mil 40 hakuna kabisa wa kujitoa mhanga kumshughulkia huyu mtu mmoja ??
ebu angalia :-

1.Serikal yote ipo mikononi mwake, kila analotaka ndio linatekelezwa,.!

2. Chama chake CCM ameshakiweka mfukoni, anachotaka ndio kinapitihwa na NEC yao..! ushaona wapi duniani mwanchama akashiktaki serikali ya chama chake na akabaki salama na nyadhifa zake kwenye chama ?? hii AJABU SANA,!! lkn ndo CCM ya sasa hiyo..sio kama ile ya enzi zetu za Mwl. kulikuwa hakuna upuuz kama huu!!

3. Amekuwa kama anamcontroll Rais, Yaan watu anaowataka yeye ndo wanakuwa kwenye wizara na nyadhifa anazotaka yeye..ili wafanye kazi yake. ndo maana tunaona viongoz wanatoa manene ya KIJINGA KINGA TU, MAMBO MAZITO WANATOLEA MAAMUZI NA KAULI NYEPESI NYEPESI TU!

4. Kila kukicha anatuibia kupitia makampuni yake ya kitapeli tapeli. Alituibia na CASPIAN tukalalamika wee lkn akalmba pesa taratiiibu, harafu akaja na Kagoda..tukalalamika weeee, lkn akachota pesa zetu kiulainiiii!! Akaleta Richmond tukalalamika weeee!! akalamba pesa zetu tena kiulainiii.. mpka ishu ilipokuwa tight, akaibadirisha Richmond na kuuita DOWANS amalizie pesa zililobakishwa na Richmond. Tumelalamika weeee. Lkn huyoo akaenda kuishitaki serikali ya chama chake na kujipa ushindi anataka amalizie kuzila zile Tsh 94 Bil zillizobaki, kamba hajaanzisha kampuni nyingine ya kutapeli tena!!

5. Tasisi zote nyeti kaisha ziwe kwapani (yaani kama mrembo na kipima joto chake kwapani) ..hakuna anayeweza walau kutaja jina lake au kmnyooshea kidole (achilia mbali kumkamata)..si TAKUKURU,si Usala wa Taifa, Si JWTZ, si Polisi na intelejensia zao, si Ikulu ,si mahakama na si Bunge (lenye CCM wengi)..vyote hivyo kinachoweza kumfanya chochote mtu huyu.

Wizi wa kodi zetu na rasilimalia kupitia kagoda,meremeta,Richmond na DOWANS ni mdogo sana kuliko wizi halisi unavyoodelea serikali..kila kitu kinaliwa na mafisadi, sijui wanipeleka wapi TZ, sijui watoto na wajuu wetu watakuata nini?

Kama vyoooote hivyo tunavitegemea vimeshindwa, sasa waTZ tufanyaje?? Hakika hatuwezi kuacha UPUUZI huu ukiendelea kukomaa siku hadi siku. Basi tuutmie nguvu ya UMMA..au Jasili mmoja (natamani..ningekuwa na uwezo ningefanya mimi) ajitolee na sisi tutamuunga mkono kwa Nguvu zote.

Naami ingekuwa nchi za kiislamu huyu mtu wangekuw wamesha muua zamani sana, yaan hata kwa kujitoa mhanga wangempoteza duniani. Hata nchi zingine zilizo makini na maslahi ya Taifa mfano Kenya tu au Rwanda, Mtu kama huyu wasinge mwachia aendelee kunyea watu!! mpaka wengine wanafikiia... SIJUI WATZ TUMELOGWA, NA ALIYETULOGA AMEKUFA!! mmmh! BADO SIAMINI KAMA TUMELOGWA...NAAMINI TUNAWEZA!!!!
 
Mkubwa, jibu ni moja tu, PESA!, Tanzania kila mtu yuko madarakani kwa ajili ya pesa, na Rostam ndiye anazo za kumwaga!
 
Spirit ya Waafrika sio kama ya waarabu - siku kumi watu wanakomaa hapo hapo - Tahrir square. Angalia Zimbwabwe, Ivory Cost
 
Mkubwa, jibu ni moja tu, PESA!, Tanzania kila mtu yuko madarakani kwa ajili ya pesa, na Rostam ndiye anazo za kumwaga!
Hana pesa wewe! sema anajua kuiba pesa actually NITAPELI LA TAIFA!
 
wewe naona unaichezea serikali na vyombo vyake, yaani bado hujui tu kwamba huyu jamaa hajadiliki?.

kifupi
RA = Serikali + CCM + Takukuru + Usalama wa Taifa + Police inteligensia + JWTZ.

Ukinibishia mtafute KAGODA au Mjomba wake Do-Once watakuhakikishia haya ninayosema.

.
 
aiseee nchi ishauzwa hii!
 
hatuna Ujanja mjanja yeye aliyeweka Kita Kitu Kila mtu Mfukoni hata Waandishi wa habari na Wanasheria wote chali mfukoni Mwake, CCM ndio usiseme, kama umesoma Rai ya Leo ndio utajua watanzania walivyowabovu , hata waandishi wanaaandika Pumba na kuweka majina yao hawa ndio wa kwanza kuchoma moto kwa kuwa wanashirikiana na jambazi alfu tuje kwa Salva Rweyemamu aliyemuuzia magazeti na kuwa wakala wa Dowans
 
WATANZANIA WENZANGU WAPOLE KAMA MIMI TUNAWEZA KUMSHUGHULIKIA RA ... ILI MRADI TUKIAMUA.

TUMEWEZA MENGI MAZITO KTK HISTORIA. NAFARIJIKA KWANI NAJUA SIKU MOJA TUTAAMUA NA HATUTASHINDWA!

MFANO TU... HIVI UNAJUA TUNAMWINGIZIA SHS NGAPI KWA SIKU KUPITIA VODACOM?

HUONI KUWA NI JAMBO RAHISI MNO KUMSUSIA YEYE NA WOTE WANAOSHIRIKIANA NAE KIBIASHARA?

TUNAWEZA NA SIKU IPO NA IKIJA ATATUHESHIMU. I HAVE A DREAM OF TZ TAKING A TURN

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE
:msela:
 
Hivi hili lijamaa li ROSTAm kwa siku linaongelewa mara ngapi hivi kweli linalala labda linalalala kwa kuwa ni usiku si kwamba lina usingizi, naamini uenda familia lishaamisha kwa sasa
 
Naamini ni swala la timing tu, tunaweza kumshinda mafia huyo ni vibaraka wake wote. Time will tell...
 
sisi watanzania wenye nguvu ya umma ndio wenye uwezo wa kumshughurikia Rostam la hasha hakuna wa kucheza nae
tuamke kama misri na tunisia walahi rostam hata baki ni lazima akimbie nchi

mapinduziiii daimaaaaa:sick:
 
RA anatakiwa kufukuzwa Bungeni na kushitakiwa kwa sheria ya uhujumu uchumi.
 
Yana mwisho, ni mbingu peke yake itakayoishi milele; lakini hawa wachumia tumbo historia haitawaacha salama, ni lazima iwashughulikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…