Rostam MUST Resign; CCM Must Act

Rostam MUST Resign; CCM Must Act

Mwnakijiji 'Kinyonga anaweza kujibadili na kuwa kambale'?

I'm not certain the decision taken will have any meaningful outcome. RA has tested the national cake for years,he knows that his business is well connected with positions in ruling party and government. His assertion that the decision is based on 'business focus' should be ignored.

The fact is, the mounting pressure across political spectrum is too big to resist, the only option is to disappear from political and news headlines for sometime. RA will continue to fight behind the stage to protect his interest against the legal arm.
RA has siphoned enough money at disposal for his person gain.
As long as he is around and exonerated, he remains powerful as ever and the chance of retaliating is imminent.

The state organs should go further to question him on his many dubious deal which has plunged the nation into chaos.
Stepping down is not a enough, however it's suffice to say something is better than nothing. It's a clear message to other leaders that vox populi,vox dei
 
Nguruvi, alichofanya Rostam is to try to go five steps ahead of some of us. His move was strategic for his own future and those of his closest confidants. Kujiuzulu kwake hakujabadili lolote kuhusu CCM, nothing. Kwani tatizo la CCM halikuwa RA au EL au AC bali ni system nzima ya chama kilivyo sasa kwani kwa kadiri mashine imeharibika kinachokobolewa kitatoka kimeharibika, haijali nafaka zinatoka shamba gani!

Lakini kujiuzulu kwake kumetoa nafasi mbili tu:

Justice to find him - kama atabakia nchini
Evading Justice - kwa sababu za kibiashara ataamua kuhamishia maskani yake nje ya nje.

Kuna sababu.... I love chase game.. he has made his move and so will we.
 
MM I got this news leo nikiwa kazini, and i have to say this is the best news that i received in a long time. However, lazima tufahamu Rostam hajajiuzuru sababu ya kujivua gamba . Bali Symbion Energy wamemsukuma ajiuzulu, sababu Symbion wamefanya strategic merger with Dowans ambayo mmiliki wake ni RA na kwa sababu symbion energy ni kampuni tayari ina matatizo na corruption huko Afghanistan na kwingineko duniani, hivyo kuplay defense lazima wamemlazimisha RA ajiuzulu. Hivyo basi RA hakuwa na choice yoyote zaidi ya kujiuzuru. Wote tunajua ni kiasi gani RA is arrogant, asingeweza kuachia nafasi hiyo kichwa kichwa.

Now baada ya kuachia nafasi, we need more from him. Moja, we need our money, Tanzania government should terminate the deal with Symbion Energy sababu it doesnt comply na sheria ya manunuzi ya Tanzania, we need to prosecute him for Richmond. Na kwa Symbion Energy that was a marriage from hell, it is a ticking bomb.
 
Mzee Mwanakijiji;2225340]
Lakini kujiuzulu kwake kumetoa nafasi mbili tu:
Justice to find him - kama atabakia nchini
Evading Justice - kwa sababu za kibiashara ataamua kuhamishia maskani yake nje ya nje.
Kuna sababu.... I love chase game.. he has made his move and so will we.
Absolutely!
Unajua huyu jamaa alifikia mahali akaudharau umma kama alivyoidharau kamati ya Mwakyembe ilipomwita na kukataa.
Alifikia mahali akadhani yeye ndiye Tanzania. Bado ana nguvu za ushawishi wa kifedha na kimbinu lakini ameelewa kuwa kuna wakati wenye nchi watasema bila kujificha au kumuone aibu.
Ni kweli system yote ni mbovu lakini kitendo cha huyu Mkiburi na jeuri kusema naachia ngazi kina ujumbe mkubwa.
MM I got this news leo nikiwa kazini, and i have to say this is the best news that i received in a long time. However, lazima tufahamu Rostam hajajiuzuru sababu ya kujivua gamba . Bali Symbion Energy wamemsukuma ajiuzulu, sababu Symbion wamefanya strategic merger with Dowans ambayo mmiliki wake ni RA na kwa sababu symbion energy ni kampuni tayari ina matatizo na corruption huko Afghanistan na kwingineko duniani, hivyo kuplay defense lazima wamemlazimisha RA ajiuzulu. Hivyo basi RA hakuwa na choice yoyote zaidi ya kujiuzuru. Wote tunajua ni kiasi gani RA is arrogant, asingeweza kuachia nafasi hiyo kichwa kichwa.
Now baada ya kuachia nafasi, we need more from him. Moja, we need our money, Tanzania government should terminate the deal with Symbion Energy sababu it doesnt comply na sheria ya manunuzi ya Tanzania, we need to prosecute him for Richmond. Na kwa Symbion Energy that was a marriage from hell, it is a ticking bomb.
Unazidi kutia mashaka kuhusu wasi wasi wangu wa mgao ambao hauna maelezo ya kueleweka. Baada ya kuuza Dowans kwa Symbion, akaja Hillary Clinton! kukagua jenereta!!!

RA anacheza na akili zetu sana, kacheza na Richmond, Dowans na sasa Symbion ndio maana nasema hakuna kushangilia hadi pale atakapokabiliwa na mkono wa sheria. Hakuna sababu ya kutomfikisha mbele ya sheria, ana mengi ya kufafanua au kujibu.
Tatizo ni kuwa ana mbinu sana nyingine ni chafu na wahusika wanamuogopa. Ametajwa kwenye mpango wa tindikali wa mwandishi wa habari, akatajwa katika 'plot' ya Mwakyembe, kuna nini kimetokea!!!! Hakuna cha CCM,PCCB, DCI, Polisi au Usalama wa taifa wote wanamuogopa.
 
Tatizo DPP hataki kumchunguza kwa jambo lolote. Lakini umefika wakati wa kumlazimisha DPP kufanya kazi yake vinginevyo watu wengine watamsaidia.
 
Hapo ndipo unaponifurahisha mkuu mzee mwanakijiji! Siku zote umekua makini!
 
Tatizo DPP hataki kumchunguza kwa jambo lolote. Lakini umefika wakati wa kumlazimisha DPP kufanya kazi yake vinginevyo watu wengine watamsaidia.
patamu hapo! Tungependa kujua hao wa kumsaidia. I believe si wa kutoka nchi hii, ama serikali hii
 
Hotuba ya kujivua gamba ilitolewa Februari 5, 2011; sisi tulitaka ajiuzulu before that na sababu zilikuwa wazi hasa baada ya ujio wa yule jamaa Al Adawi. Hayo mambo yao ya kuvuana gamba hayahusiani kabisa na haja na ulazima wa Rostam kujiuzulu. Lakini kilichonitibua mimi ni kuwa hakuoma radhi hata kwa jambo moja! Kwa hili kanikera.
 
Huu Utabiri wa MMKJ on 2nd February 2011 naona umetimia baada ya MIEZI MITANO TU!
 
Tatizo DPP hataki kumchunguza kwa jambo lolote. Lakini umefika wakati wa kumlazimisha DPP kufanya kazi yake vinginevyo watu wengine watamsaidia.
Nadhani pia limekuwa ni tatizo letu wananchi, tumekuwa tunawaona wanasiasa zaidi na kutojishughulisha na watendaji kama DCI,PCCB Dir, Mkuu wa Polis n.k Hawa wote ni vikwazo sana.

DCI ana mashtaka mengi tu mezani lakini ameyakalia kimya, ukimsikia ujue kuna mpinzani kakamatwa.
Hivi tuhuma zote zinzomkabili RA hata zile zenye harufu ya uhalifu kama madai ya Mwakyembe hakuna hata moja inayoweza kufikishwa mahakamani!!! DCI ana la kutuambia, kama anaogopa apishe ofisi wenye wenye uthubutu wafanye kazi.

Katiba itakayoandikwa nadhani izingatie mambo kama ya DCI na wengine. Wawajibike mahali pengine na si Ikulu.
 
Duh, Mwanakijiji unatisha. yametiamia. i am so happy but i feel its not enough, arudishe pesa zetu, afilisiwe.
 
that ain't gonna happen; sorry to disappoint you.
unyenyekevu na utii kwa hii serikali ya ccm utatutokea puani naamini ata mungu anatudhibu kwa upole wetu wakutochukua hatua madhubuti za kuonyesha nia ya dhati kwamba tumechoka udhalimu ... infinite solution ni walio madarakani wa step down kwa maanufa ya taifa ili wenye mawazo mapya waweze reform hii ni aibu kwa kweli ... usingizi gani tumelala ndugu zangu.....
 
wengine wana wasiwasi na uteuzi wa mh. Jaji Mkuu kama ana ubavu na endapo majaji/mahakimu walioko chini yake atawapa 'a go ahead' kumfanya lolote LA
Absolutely!
RA anacheza na akili zetu sana, kacheza na Richmond, Dowans na sasa Symbion ndio maana nasema hakuna kushangilia hadi pale atakapokabiliwa na mkono wa sheria. Hakuna sababu ya kutomfikisha mbele ya sheria, ana mengi ya kufafanua au kujibu.
Tatizo ni kuwa ana mbinu sana nyingine ni chafu na wahusika wanamuogopa. Ametajwa kwenye mpango wa tindikali wa mwandishi wa habari, akatajwa katika 'plot' ya Mwakyembe, kuna nini kimetokea!!!! Hakuna cha CCM,PCCB, DCI, Polisi au Usalama wa taifa wote wanamuogopa.

Japo mwendo ni mdogo lakini hili pia linawezekana, si kwa system ya sasa bali escalating external pressure is promising something!

Back
Top Bottom