Umeandika kama unakimbizwa. Hebu kaa chini tulia andika habari yako kwa kina na ieleweke.Sasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri.Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais. Sasa wizara nzima ya Nishati ni Rostam. Rostam oyee. Tujifunze kwa huyu mwamba.
Atakuwa anafuatilia kongamano la Kitaifa Nishati Safi ya Kupikia hapo JNICCUmeandika kama unakimbizwa. Hebu kaa chini tulia andika habari yako kwa kina na ieleweke.
Au kama una chanzo ni vizuri ukakiweka tujisomee wenyewe
Inawezekana ila ana mapepe sana. Anakuwa kama wale waandishi wa habari wanaotaka wawe wa kwanza kuripoti kabla ya wengine. Mwisho wa siku habari zinakuwa hazijitosheleziAtakuwa anafuatilia kongomano la Kitaifa Nishati Safi ya Kupikia hapo JNICC
Aliyenacho ataongezewa ! Na asiyenacho atanyang’anywa na kile kidogo alichonacho !! Hayo yapo kwenye maandiko !! Kwahiyo tukae mkao wa kula. ! Dua la kuku halimpati mwewe !!Atakuwa anafuatilia kongamano la Kitaifa Nishati Safi ya Kupikia hapo JNICC
Sasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri. Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais.
Sasa wizara nzima ya Nishati ni Rostam. Rostam oyee. Tujifunze kwa huyu mwamba.
Nataka mwenye ufafanuzi wa hiliSasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri.
Ka Milard Ayo.Inawezekana ila ana mapepe sana. Anakuwa kama wale waandishi wa habari wanaotaka wawe wa kwanza kuripoti kabla ya wengine. Mwisho wa siku habari zinakuwa hazijitoshelezi
Kwa juu juu tu, Taifa Gas ndio wadhamini wakubwa wa Kongamano hilo, ambapo Lina lengo la kutumia gesi kama ni Nishati safi kupikia...Nataka mwenye ufafanuzi wa hili
Taifa Gas wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania
Maana huyu mleta uzi ndio kaandika hivyo sijamwelewa kabisa
Unaowaeleza waache lawama hawatokuelewa kabisa, kuna mengi ya kujifunza kwa Rostam Aziz kwa mtu yeyote anaetaka maendeleoSasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri. Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais...
Alishindwa tu kumfanya Lowassa awe presidaa wa Bongo
Ndo tujifunze kwao.Rostam kafanyaje mpaka kushawishi serikali nzima?Tusikubali awe na Monopoly kwenye gas, na pia tusikubali hawa Matajiri waungane dhidi yetu, kama Makampuni haya ya Simu za mikononi yanayotutesa na bei za Bando.
Soko la Nishati liwe huria ili tuwe tunachagua ya bei nafuu.
Wanaotutesa ni Mababu zetu waliogundua moto.
Msamehe amekuelewa.Tunaambiwa mara nyingi tusithubutu kuongea,kutoa ahadi,kuandika au kufanya kitendo chochote tukiwa na aidha huzuni sana au furaha sana.Na hata tukiwa tumelewa.Inawezekana ila ana mapepe sana. Anakuwa kama wale waandishi wa habari wanaotaka wawe wa kwanza kuripoti kabla ya wengine. Mwisho wa siku habari zinakuwa hazijitoshelezi
Alipata kura nyingi lakini hakuwa presidaaKiuhalisia Eddo alipata kura nyingi kumshinda magufuli huo ndio ukweli na magufuli anajua uhalisia ndio maana hadi dakika ya mwisho ikabidi awe humble kwa eddo, na Rostam ndio akamrudisha Eddo kundini au umesahau?