Rostam ni Mfalme na mwamba hapa Tanzania

Rostam ni Mfalme na mwamba hapa Tanzania

Umeandika kama unakimbizwa. Hebu kaa chini tulia andika habari yako kwa kina na ieleweke.

Au kama una chanzo ni vizuri ukakiweka tujisomee wenyewe

Pia punguza uchawa/uteam sikuzote unaporipoti
Chanzo ni mimi mwenyewe. Jifunze kutoka kwa Rostam Aziz. ACHA MAKASIRIKO.leo serikali nzima ipo ukumbi wa Nyerere kwa ajili yake.
 
CCM siku hizi wanajua kula na matajiri siyo kama zile enzi za Nyerere. Wanajua kukuna na kukunwa.
 
Tusikubali awe na Monopoly kwenye gas, na pia tusikubali hawa Matajiri waungane dhidi yetu, kama Makampuni haya ya Simu za mikononi yanayotutesa na bei za Bando.

Soko la Nishati liwe huria ili tuwe tunachagua ya bei nafuu.

Wanaotutesa ni Mababu zetu waliogundua moto.

TAIFA GAS ndio msambazaji wa gas nafuu Tanzania kuliko kampuni yoyote yaani mitungi ya Taifa Gas na Mihan Gas ndio bei rahisi kuliko kampuni yeyote unayoifahamu kwa Tanzania
 
Point of corrections.
Rostam ni fisadi [emoji1655] na sio MWAMBA kama usemavyo
Sasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri. Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais.

Sasa wizara nzima ya Nishati ni Rostam. Rostam oyee. Tujifunze kwa huyu mwamba.

Tuna kitu cha kujifunza kwa Rostam Aziz. Binafsi nimejifunza kwake unyenyekevu as long as mtu unakuwa na objectives zako. Tuache lawama jamani.
 
Ndo tujifunze kwao.Rostam kafanyaje mpaka kushawishi serikali nzima?
Lobbying, ni jambo la kawaida na katiba yetu mpya liwekwe wazi ila sio apendelewe kuliko Lake Gas na wengineo.

Yeye ni Mfanyabuashara anaangalia profit sisi Wananchi nao tunaangalia affordabilty.
 
Ndio mfadhili mkubwa katika chama chemu.

Subiria uone 2024 and 2025 mapesa atakayomwaga katika chaguzi.
Safari ya USA alikuwepo, Ya Kenya alikuwepo
, Oman pia.

He is almost every where .ana nguvu sana awamu hii.

Kila anachotaka kinafanyika with no compromise.
 
Point of corrections.
Rostam ni fisadi [emoji1655] na sio MWAMBA kama usemavyo
Acha wivu. Rostam sio fisadi. Anapata michongo kihalali kabisa. Tutumie akili zetu kuandika project plan na umuhimu wake ili tupate fursa. Matatizo ya watu ndo fursa. Sasa Rostam kaja na nishati safi ili bibi zangu kule Mwajilyambiti wasikatwe mapanga tena. Maana wataondokana na kupuliza moto wa kuni.
 
Umeandika as if tupo wote dar.
Sasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri. Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais.

Sasa wizara nzima ya Nishati ni Rostam. Rostam oyee. Tujifunze kwa huyu mwamba.

Tuna kitu cha kujifunza kwa Rostam Aziz. Binafsi nimejifunza kwake unyenyekevu as long as mtu unakuwa na objectives zako. Tuache lawama jamani.
 
TAIFA GAS ndio msambazaji wa gas nafuu Tanzania kuliko kampuni yoyote yaani mitungi ya Taifa Gas na Mihan Gas ndio bei rahisi kuliko kampuni yeyote unayoifahamu kwa Tanzania
Safi sana lakini soko libaki huria kunasiku bei itapanda tutapata pa kukimbilia

Serikali iruzuku bei za mitungi ili watu wawe na mitungi zaidi mmoja.
 
Acha wivu. Rostam sio fisadi. Anapata michongo kihalali kabisa. Tutumie akili zetu kuandika project plan na umuhimu wake ili tupate fursa. Matatizo ya watu ndo fursa. Sasa Rostam kaja na nishati safi ili bibi zangu kule Mwajilyambiti wasikatwe mapanga tena. Maana wataondokana na kupuliza moto wa kuni.
Hiyo gas watapewa na kujaziwa bure? Au hao mabibi Sasa hivi nao washakua mamilionea?
 
TAIFA GAS ndio msambazaji wa gas nafuu Tanzania kuliko kampuni yoyote yaani mitungi ya Taifa Gas na Mihan Gas ndio bei rahisi kuliko kampuni yeyote unayoifahamu kwa Tanzania
Hiyo ni kwa dar labda na utofauti ni buku au buku mbili, Ila sehemu nyingi mikoani bei ni moja
 
Rostam ilikua ngumu kupenya soko la kenya sababu pale kulikua na Kitengela Gas ya Ruto enzi hizo akiwa naibu wa Rais na East African Spectre na Pan African Petroleum company zote za Raila Odinga ambazo husambaza gas na mafuta kenya yote hivo kenya isingempa kirahisi Rostam fursa ya kuwekeza kwenye Gas wakati vigogo wa Kenya ndio wameshikilia hiyo fursa.
 
Back
Top Bottom