Rostam ni Mfalme na mwamba hapa Tanzania

Rostam ni Mfalme na mwamba hapa Tanzania

Imagine ameishinikiza Serikali iandae kongamano la kitaifa ya nishati ya kupikia huku kukiwa na mgao mkali wa maji na umeme nchi nzima lakini hakuna anayeongelea.
Kama katoa pesa yako shida iko wapi?
 
Hubby no way. Inabidi tu sasa tujifunze kwa Rostam. Kwani baby wewe hautaki kumiliki vitalu vya gas ?Na kuwa king maker kwa kila utawala ?Inabidi tufanye biashara sasa hadi vitukuu wa vilembwe wetu waikute. Positive vibes tu leo honey [emoji173]
Hubby? Dunia imekwisha
Wote nyie ni eva, inakuaje tena mnaitana hubby?
 
Sasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri. Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais.

Sasa wizara nzima ya Nishati ni Rostam. Rostam oyee. Tujifunze kwa huyu mwamba.

Tuna kitu cha kujifunza kwa Rostam Aziz. Binafsi nimejifunza kwake unyenyekevu as long as mtu unakuwa na objectives zako. Tuache lawama jamani.
Huyu ndiyo kiongozi mkuu kwa sasa akishirikiana na mzee wa msonga. Kweli nchi hii haikuwa tayari kwa rais wa sasa
 
Safari ya USA alikuwepo, Ya Kenya alikuwepo
, Oman pia.

He is almost every where .ana nguvu sana awamu hii.

Kila anachotaka kinafanyika with no compromise.
Aliporudi ccm kuomba msamaha wakati wa jiwe wapo niliowaambia hiyo ni inside job inakuja kufanyika muda si mrefu tutapata majibu, maana katika vita mojawapo ya medani muhimu ni kutafuta ambush ili ushinde kirahisi.
 
Serikali inayofanya kazi Kwa maelekezo ya mtu mmoja mmoja almradi ana nguvu Ni Serikali gani? Obvious ni Serikali dhaifu.
Anatoka pesa zake Kwa reward gani? Misitake kuingiza nchi kwenye majaribu.
Hili hatuwezi kulizuia tena kwa sasa serikali ni yake yeye na associates wake tunaowafahamu fika!
 
Safari ya USA alikuwepo, Ya Kenya alikuwepo
, Oman pia.

He is almost every where .ana nguvu sana awamu hii.

Kila anachotaka kinafanyika with no compromise.
Sisi tuendele kuwekeza kwenye industry ya wakata mauno
Na kufungua mabar,lounge

Ova
 
Tusikubali awe na Monopoly kwenye gas, na pia tusikubali hawa Matajiri waungane dhidi yetu, kama yalivyo haya Makampuni ya Simu za mikononi yanayotutesa na bei za Bando.

Soko la Nishati liwe huria ili tuwe tunachagua ya bei nafuu.
Hata Kenya ni yeye !
 
Yeah....naona mambo ya cartel' ndo yamepiga hodi Tz.... kazi iendelee.
 
Back
Top Bottom